Mkuu umetoa uzi muhimu sana,nchi yetu sasa ina Tabaka ambao wapo above law's, sheria ya barabarani ni kwa watumiaji wote regardless wewe ni nani,angalia jinsi hizi SU, ST, gari za jeshi na tiss yaani wao sheria hizi haziwahusu kabisa, why haya mambo yanaibuka miaka hii, kipindi cha president Nyerere (rip)wenye haki ya blue lights walikua wanna tu, na misafara yao ilikua hauzidi 3 cars, Yaani sweeper, main car for Subject na security, sasa hata igp, cdf, spika etc etc eti wana blue lights, kuishi ndani ya nchi hii kunakatanisha tamaa ya maisha