Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Uzuri ni kwamba magazeti ya Tanzania yamedharauliwaNimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Nadhani haujafahamu kuwa kwa watu wa vijijini ndani ndani, ni rahisi kupata habari katika TV kuliko katika gazeti. Huo umbali usikutishe, unaweza ukapata habari za Uarabuni kupitia TV kwa urahisi kuliko kupitia gazetiHuko kwenu mwinduro bonde ndani ndani kuna al jazeera!
Wajinga sana hawa wamiliki wa vyombo vya habariWatashindana lakini hawatashinda.
Huko kwenu mwinduro bonde ndani ndani kuna al jazeera!
Basi angalau angeandikwe fent pageYaani unataka Mgeni akipona tu na kurudi nyumbani aandikwe front page?. Ameshapona shukuru Mungu basi.
Kama alivyokunya mwenyekit wako na kutumia kongote kutao mabaki ya mavi mtaron kisha akaenda kulala kwa pressure huku haamin kama upinzani bado upo wakat alisema 2020 hautakuwepo.Yaani Jana Serikali nimeipongeza sana, ilijua namna ya kuruka ule mtego. CHADEMA walikusanya watu kila kona kwenda kumpokea Lissu licha ya katazo la polisi. Wakajua polisi watazuia yale maandamano ili itokee vurugu wapate headlines na sympathy kama walivyozoea. Matokeo yake wameachwa wamecheza movie yao, walivyomaliza wakaenda kukojoa wakalala. Leo wameamka wanataka vyombo vya habari vyote viripoti upuuzi wakati tuna msiba wa kitaifa.
Ndugu yangu na wanabodi. Msiba huu ni mzito na ni machungu kwa binadamu yeyote mwenyewe upeo wa kujitambua. R.I.P. WBMKapa.Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Sasa kwa akili yako unaona kuna upinzani hapa? Au kuna vikundi tu vya wahuni. Subiri baada ya Oct.28 tutajua kama kuna huo upinzani ama la.Kama alivyokunya mwenyekit wako na kutumia kongote kutao mabaki ya mavi mtaron kisha akaenda kulala kwa pressure huku haamin kama upinzani bado upo wakat alisema 2020 hautakuwepo.
Watashindana lakini hawatashinda.
ITV, UTV, STAR TV, CLAUDS , channel ten Jana wameonesha taarifa ya TALHata taarifa za habari wameminya ivi ivo, hadi ITV wanaojiita superbrand ovyo kabisa.
Mungu awabariki sana mabeberuTumeiona live coverage Al-Jazeera, BBC, Sauti ya Ujerumani, VOA nk inatosha.
Unahangaika kweli kweli
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Ulitaka habari iwe Lisu ili iweje, watanzania walio wengi wameona kupitia Simu, vyombo vya habari vinafahamu wanachokifanya ndio maana hawajawa wajinga kiasi hicho msiba kama huu wa kitaifa uharibiwe na makuwaidi na watanzania 90% hawamfahamu Lissu ila Mkapa wanamfahamuNimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Bila wao tungepata tabu Sana na wakoloni weusi furaha yao kutuona tukilia kila sikuMungu awabariki sana mabeberu
Mwananchi linatoshaNimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Kwa study ipi?Ulitaka habari iwe lisu ili iweje,watanzania walio wengi wameona kupitia Simu,vyombo vya habari vinafahamu wanachokifanya ndio maana hawajawa wajinga kiasi hicho msiba kama huu wa kitaifa uharibiwe na makuwaidi na watanzania 90% hawamfahamu lissu ila mkapa wanamfahamu.
Ni woga tu Ila siyo kwamba hawajui katua.Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Naona mmeipenda hii!Kuna Azam na Star times na zote zina Alijazira tena hulipii