Magazeti ya Mabeberu yameanza chokochoko El País wamuita John Magufuli, the African Bolsonaro. Nini kipo nyuma ya tuhuma hizi ?

Magazeti ya Mabeberu yameanza chokochoko El País wamuita John Magufuli, the African Bolsonaro. Nini kipo nyuma ya tuhuma hizi ?

Kwenye pambano la ngumi shabiki hatakiwi kusema iga mbinu za mpinzani wako!!!

Hispania watu waliokufa kwa corona Huwezi linganisha na Tanzania walikuwa wanakufa mabarabarani Kama kuku wa mdondo wapambane na hali yao .Nchi zilizokuwa zikiongoza kwa Vifo vya corona ulaya Hispania imo Baada ya Italia !!!
Kwa takwimu za sasa Spain ndiyo inaongoza kwa Europe. Ilishaipita Italy kwa sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilikuwa nasikiliza KBC asubuhi nikasikia wanaitaja nchi moja kati ya zile za Scandinavia aidha Denmark au Norway siikumbuki inafuata hatua kama za Tanzania. Hawakuwa na lockdown wala nini, ila maisha yaliendelea. Sasa mnakuja na hoja kana kwamba Tanzania pekee ndio imefuata utaratibu huo. Acheni siasa maji taka tunataka nchi iwe na wanasiasa shupavu wenye hoja nzito zenye tija kwa jamii.
Sent from Geneva_ Switzerland
Hiyo nchi Ni Sweden,hakuna lockdown,hakuna kupeleka mgonjwa hospital,Raia wanajimwaga mitaani Kama hakuna kilichotokea,Kama hakuna Corona

Lakini Waswidish wamepewa miongozo ya kujilinda na Covid19,Kama vile social distance nk,

Waswidish wanafuata miongozo waliopewa na Wataalamu,..Je Watanzania wanafata miongozo ya Wataalamu jinsi ya kujipima na huu Ugonjwa?
 
kwa ufupi.
reli ya sgr ni reli ya kisasa itakayo chochea uchumi na kuongeza ajira.itahudumia mikoa yoote ya central corridor na nchi jirani kama congo,burundi,rwanda na uganda.

mradi wa bwawa la jnhpp utazalisha umeme mwingi na wa gharama ndogo.bidhaa za viwandani zitashuka bei kwa sababu gharama za uzalishaji na usafirishaji(sgr)zitakuwa chini sana.
kumbuka viwanda vinatumia umeme.

tatizo kubwa la nchi za africa ni wizi.ufisadi,rushwa na mikataba mibovu.
rais magufuli kajitahidi sana kwa upande huu kudhibiti ufisadi kiasi mpaka wapinzani kukosa sera.kwa kuwa kila eneo magufuli anashughulika nalo aachi kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
KarekebishaJe hiyo mikataba mibovu, walioiingia wenyewe na hao mabeberu ?!.

Hakuna kitu .

Odhis *
 
Hiyo nchi Ni Sweden,hakuna lockdown,hakuna kupeleka mgonjwa hospital,Raia wanajimwaga mitaani Kama hakuna kilichotokea,Kama hakuna Corona

Lakini Waswidish wamepewa miongozo ya kujilinda na Covid19,Kama vile social distance nk,

Waswidish wanafuata miongozo waliopewa na Wataalamu,..Je Watanzania wanafata miongozo ya Wataalamu jinsi ya kujipima na huu Ugonjwa?
Labda unaishi Uganda sasa hivi kila redio,tv, gazeti, hata hapa JF juu hapo angalia vizuri kuna mwongozo. Sasa kwanini wapinzani wapinge mpango ambao unafanywa na nchi nyingine kwa mafinikio? Kwa nini wasishauri kuuboresha badala ya kuubeza?
 
Naishi Bongo Mkuu, Watanzania wako careless, hawafati miongozo waliyopewa na Wataalamu,kuhusu social distance,ndio zero kabisa
 
Tanzania bado tuna changamoto nyingi maeneo mengi bado hayana huduma ya maji safi, afya, barabara, maslahi ya watumishi wa umma nk. Tulitegemea wapinzani waishupalie hoja moja wapo au zote kwa kuibana serikali ili maeneo yenye shida hizo yapatiwe ufumbuzi na serikali. Lakini cha kushangaza wapinzani wao wanakomalia hoja za kitoto toto sana. Hakuna chama chenye hoja ya kutetea maslahi ya wananchi zaidi ya maslahi ya matumbo yao.
From Geneva_Switzerland
Kama kweli unaishi Tanzania nadhani unajua wapinzani kipindi hiki wanapitia changamoto zipi, hayo mambo watayaongelea wapi? Kwa sasa mfalme anataka yeye tu ndiye asikike

Kama una kumbuka vizuri kuna mtu alipiga picha nyufa za sehemu flani na kuifahamisha jamii then akakamatwa, sasa hayo ya kusema kijiji au sehemu flani hakuna maji unadhani jiwe atapenda habari hiyo(hizo). Angalia hata taarifa za habari zilivyokosa mvuto, yote hiyo ni kuwa wanatoa habari za kumfurahisha jiwe kwani kinyume na hapo unaingia matatizoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata Bolsonaro nchi yake wanatoa updates. Tanzania tunaishia kuambiwa tu ugonjwa unapungua. Hii issue ya Coronavirus Rais ataabika kama ilivyokuwa issue ya Korosho.
 
Kama nchi haijatangaza takwimu zozote maana yake ni kuwa hakuna mabadiliko katika takwimu za awali. Wao wanalazimisha maambukizi mapya na vifo vipya ili iweje?
Yemen Ilikuwa na takwimu za mgonjwa mmoja zaidi ya mwezi, mbona hawaikushutumu?
Tanzania kutokuwa na lockdown kumeathiri nini?
Hawa Watu Kuna wanachotafuta Ila Mpaka Sasa wameishakikosa kwa Tanzania.
 
Nchi masikini tupu zisizo na muelekeo.

What a loss to humanity!
Hata zile zenye mwelekeo, hazijatoa takwimu za kweli. Waathirika wengi katika hizo nchi unazofikiri zinajali "humanity" zinaficha ukweli, kwa mfano Nu yok... watu ambao wameathirika kwa wingi ni weusi na walatino, lakini unachosikia ni walioathirika na waliokufa. Ambacho husikii ni wale ambao wakifika hospitali na ishara zote za korona kumi tisa, haswa weusi na walatino, wanarudishwa nyumbani bila kupata tiba! Na ni nchii Tajiri au? Na hiyo ni "Humanity"?

Save the pity to yourself
 
Bora hata Bolsonaro nchi yake wanatoa updates. Tanzania tunaishia kuambiwa tu ugonjwa unapungua. Hii issue ya Coronavirus Rais ataabika kama ilivyokuwa issue ya Korosho.
Hana afadhali yoyote ni kuwa angrweza kuzuia hizo takwimu angezuia tu zisitangazwe, lakini taasisi za kule ni imara kuliko huku,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri kuna watu wamekosa dili. Tumeona haya machapisho wakati Mh.Raisi alivyo wasurutisha wezi wa dhahabu.
Hivi sasa kunauwezekano mabeberu wa huko hispania wamekosa kuja kulima kwenye shamba la bibi. Ukumbuke shamba la bibi, hakuna lisilo kosekana.
Aluta Continua
 
Kama kweli unaishi Tanzania nadhani unajua wapinzani kipindi hiki wanapitia changamoto zipi, hayo mambo watayaongelea wapi? Kwa sasa mfalme anataka yeye tu ndiye asikike

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi sikia wapinzani wakitoka bungeni kwa ajili ya maji, barabara, maslahi ya watumishi au chochote cha maana. Juzi wamekacha bunge sisi wananchi wa kawaida tumenufaika na nini? Kama muelewa nadhani utajua nini namaanisha ila kama oye oye endelea.
From Geneva_Switzerland
 
Back
Top Bottom