Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Kwa takwimu za sasa Spain ndiyo inaongoza kwa Europe. Ilishaipita Italy kwa sana tu.Kwenye pambano la ngumi shabiki hatakiwi kusema iga mbinu za mpinzani wako!!!
Hispania watu waliokufa kwa corona Huwezi linganisha na Tanzania walikuwa wanakufa mabarabarani Kama kuku wa mdondo wapambane na hali yao .Nchi zilizokuwa zikiongoza kwa Vifo vya corona ulaya Hispania imo Baada ya Italia !!!
Sent using Jamii Forums mobile app