Magufuli, a Man of the People

Wanajaribu maadui zake kufuta Kwa nguvu lefancy yake lakini haiwezekani.

Wao wafanye yao tu...na mbaya zaidi Kwa kuwa hawakupigiwa kura ,Kwa hyo Kwa kipindi hiki wasipofanya mambo ya maendeleo hakuna wa Kuja kuwauliza zaidi watasema tulikuwa ndo tunajipanga.

Wao badala wafanye kazi,kazi yao ni kupambana na marehemu...ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
 
Kwanza Kwa maneno ya mama janeth it's like ,SSH,ilikuwa asiende chato, so ni km kalazimishwa tu...yaani serikali haikuwa na mpango,ndyo maana kanisa katoliki wao wakachukua nafasi hyo km kuendesha misa.
 
Wazee wa kikundi flan watakataa ila alikuwa ni best president
 
Kumkubali jiwe inabidi akili yako iwe kama hii. Ila poa tu hakuba jamii ambayo haina watu kama wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…