Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Rafiki wa rucy magufuri hujambo....ukweli ni kuwa waliopata ajira asilimia kubwa walikuwa ni watu kutoka kanda ya ziwa...ukweli usemwe japo ni mchungu....magufuri alikuwa na ukabira...angalia alivyokuwa akiwafanyia watu wa kaskazini......alipenda kusifiwa..paramagamba kabudi anasema raisi amemtoa jalalani, hivi kweli chuo kikuu ni jalalani?.........Mbona watu wengi sana wamepata ajira kipindi cha Magufuli...wewe hauajiriki uwezo ni tatizo
Kumbe wwe hata hujuwi unataka nini!? Kwa kifupi hueleweki kama una kwenda ama una rudi!!Mimi sina tatizo la ajira. Namshukuru Mungu kwa hilo. Concern yangu ni jamii kwa ujumla.
Watu wenye legitimacy legacy huwa hawaangaiki kuitunza, mfano ni Hayati Mwalimu Nyerere. Hakuna anayelazimisha lakini kila mtu anaelewa hilo. Njoo sasa kwa bwana Jiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Those who touch our lives, stay in our hearts forever."
"Wanaogusa maisha yetu, hukaa katika mioyo yetu milele"
Taifa lililojaa watu wajingawajinga wanajua nini?Naomba niwe wa kwanza kunyosha mikono kwamba nimepita huko mitandao mingine nimejionea mabandiko ya huyu mwamba.
Nikaona aibu nikasema ngoja nirudi tu WhatsApp. Wakati nachungulia status, nikakutana tena na mabandiko.
Nimeamua kuzima simu yangu na kulala, hivi huu uzii ndio namalizia kupost ili nimalizie kulala.
Hii siku sio nzuri kwangu kabisa, ni legacy gani yenye nguvu kiasi hiki. Yaani hadi vitoto vinapost status za huyu jamaa.
Jamaa alikuwa muovu sanaUnakosa ajira kwa sababu ni incompetent sio sababu ya Magufuli.
Nani anahangaika kati yetu na nyie mliojaa chuki?Sasa mnaangaikia nini kama mungu wenu hawezi kufutwa, hofu inatoka wapi?
Mimi halijaandikwa kwa dhahabu kwenye moyo wangu. Acha kunisemea.Magufuli ataishi milele..
Jina lake limeandikwa kwa wino wa dhahabu katika
mioyo ya watanzania walio wengi,
Mwenyewe alikiri kuwa bajatoa ajira, wewe unademuka tuMbona watu wengi sana wamepata ajira kipindi cha Magufuli...wewe hauajiriki uwezo ni tatizo
Mnatumia nguvu kubwa sana ku-discredit legacy yake, na bado mmefeli pakubwa. Mtakufa kwa chuki mbuzi nyie.Watu wenye legitimacy legacy huwa hawaangaiki kuitunza, mfano ni Hayati Mwalimu Nyerere. Hakuna anayelazimisha lakini kila mtu anaelewa hilo. Njoo sasa kwa bwana Jiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania siyo wajinga. Wanaona na wanafanya comparison. People can tell the difference. The more they try to tarnish his image, the more ordinary people miss him and appreciate himNaomba niwe wa kwanza kunyosha mikono kwamba nimepita huko mitandao mingine nimejionea mabandiko ya huyu mwamba.
Nikaona aibu nikasema ngoja nirudi tu WhatsApp. Wakati nachungulia status, nikakutana tena na mabandiko.
Nimeamua kuzima simu yangu na kulala, hivi huu uzii ndio namalizia kupost ili nimalizie kulala.
Hii siku sio nzuri kwangu kabisa, ni legacy gani yenye nguvu kiasi hiki. Yaani hadi vitoto vinapost status za huyu jamaa.
Yupo anaongoza malaika huko kuzimu.Mungu amrehemu huyu mwamba..
Sikumuona Yesu, Eliya wala Musa lakini kumuona Magufuli
ni kama nimeona wote.
Ndiyo ujue sasa kuwa watu hawana habari na huyo mungu wenu. Tuko bize na ishu za msingiKwanza Kwa maneno ya mama janeth it's like ,SSH,ilikuwa asiende chato, so ni km kalazimishwa tu...yaani serikali haikuwa na mpango,ndyo maana kanisa katoliki wao wakachukua nafasi hyo km kuendesha misa.
Hayo ni yako mkuuVON BISMACK ni Mungu gani unamuongelea hapa? Labda mungu wa wasukuma, Mfalme Zamaridi. Mungu tunayemuabudu kwenye vitabu vitakatifu kama Biblia na Korani hawezi kutoa zawadi kwa Watanzania ya Rais anayeharibu uchumi, mwizi, mwongo, mtekaji na muuaji.
Na kukuthibutishia kuwa Magufuli hakutoka kwa Mungu wa Ibrahim, Yakobo na Isaka, ndiyo maana mara baada ya kufanikisha wizi wa kura za uchaguzi Mkuu wa 2020, akanyakuliwa na kutupwa jehanam ndani ya siku 114 tu.
Muache Mungu wetu usimhusishe na shetani wa Chato
Wakati ingependeza zaidi Kama Mama Samia ndiyo angekua wa kwanza kumpigia simu Mama Janet na kumfariji na kumuulizia mipango ya maandalizi! Na inaonekana Mama Samia alikua hana mpango wa kwenda,na alisha mteuwa Mpango kwenda kumuwakilisha! Lakini Mpango akamtonya Mama Janet ampigie mwenyewe Rais labda atajisikia aibu! Na kweli mpango wa Makamo wa Rais ukafanya kazi na Mama akaibuka chato!!Kwanza Kwa maneno ya mama janeth it's like ,SSH,ilikuwa asiende chato, so ni km kalazimishwa tu...yaani serikali haikuwa na mpango,ndyo maana kanisa katoliki wao wakachukua nafasi hyo km kuendesha misa.
Na wewe ni Mtanzania?Mimi halijaandikwa kwa dhahabu kwenye moyo wangu. Acha kunisemea.
Hapana ni mrundi kama MarehemuNa wewe ni Mtanzania?
Wewe ulitaka je?Naomba niwe wa kwanza kunyosha mikono kwamba nimepita huko mitandao mingine nimejionea mabandiko ya huyu mwamba.
Nikaona aibu nikasema ngoja nirudi tu WhatsApp. Wakati nachungulia status, nikakutana tena na mabandiko.
Nimeamua kuzima simu yangu na kulala, hivi huu uzii ndio namalizia kupost ili nimalizie kulala.
Hii siku sio nzuri kwangu kabisa, ni legacy gani yenye nguvu kiasi hiki. Yaani hadi vitoto vinapost status za huyu jamaa.
Wanaompenda mimi mbona siwaoni zaidi ya sukuma gang pekee?Wivu na chuki unazo wewe ila tambua tu magufuli alipendwa sana tu ndugu
Ficha upuuzi wakoHe definitely fits the definition
He is gone, dead forever, misukule tu ndiyo mumebaki kulialia.Hayo ni yako mkuu
Tupo huru kupenda au kutokupenda.
Binafsi magufuli ni kiongozi wakuigwa.
Nawewe chagua kiongozi wako anayekufaa.
Kuiba kura ndio nini ? Walioiba kura ni jirani zako, jaama zako, ulionao huko mtaani lkn sio Magufuli....