LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kasoma upepo songwe, na tunduma amehutubia wengi waliosombwa vijijiniLabda kwa kuwa Lissu kaidindishia TUME .....!!
Wamempa ukweli wake na acha akasirike mpaka apasuke tuondokane na huyo balaa. Watanzania wanahitaji kiongozi mwenye akili siyo hawa wa kuokoteza tunaoletewa kwenye viroba.Naona leo kaongea kwa hasira sana sijui wamemvuruga nini?
Huyu ni Rais na sio RahisiHuyu sio Raisi kabisaaa!!!
Kauli za Magufuli ni za kitoto sana. Mzee kapanic mpaka sasa, anafikiri tuko enzi za "ndiyo mzee".Kwahiyo Tunduma mpaka leo hakuna maji?
Magufuli atang'olewa bila huruma , sasa aendelee kuwadanganya na U DC tuone atautoa wapiKwa nini suala la kuhama chama Chadema wanasumbuka sana wakati CCM ni kawaida tuu? Katika majimbo karibu yote, Mgombea wa Chadema akishinda lazima wana CCM wamepigia kura, sababu CCM ni wengi.
Raisi anayegombea uraisiYeye ni Raisi bado anapokea kero toka kwa wanachi akiwemo Lisu na kuzifanyia kazi
Kuna kero ingine? mwambieni Lisu aendelee kuzitoa ili Raisi aliyeko madarakani azifanyie kazi
Bila kumchagua mgombea wa CCM hatutajenga daraja mto Mbutu katika uchaguzi ule alishinda mgombea wa CCM upinzani ukapeleka pingamizi mahakamani mbunge aliyeshinda akatenguliwa ubunge naye alikata rufaa akarudishiwa ubunge wake na Mahakama ya rufaniHilo ni pingamizi tosha hata kama atachaguliwa. Akumbuke Igunga kipindi kileeee
Dawa ni kunyima kura ccm kabisa, kwani magu atakaa milele?mwaka huu mkikosea kuchagua mbuge wa upinzani imekula kwenu miaka 5, mtasahauliwa kwa kila kitu,
dawa pekee mwaka huu ni kuchagua Rais wa CCM Wabunge wa CCM na Madiwani wa CCM mkifanya hivyo mtakuwa mmejihakikishia maendeleo.vinginevyo tusije kulaumiana
'Lakini msinichanganyie, mkiniletea hao, nasema maji hamyapati. Lazima tuambizane ukweli na mimi nazungumzaga ukweli.'
Na anasema maendeleo hayana Chama
Sasa Nimeshagundua kuwa Tundulisu sio rais bali ni mwakilishi wa wananchi anaeelezea kero za wananchi kisha Rais Magufuli anazitatua
Kwahiyo bunge lililovunjwa hasa ccm hawakufanya vyema siyoYeye ni Raisi bado anapokea kero toka kwa wanachi akiwemo Lisu na kuzifanyia kazi
Kuna kero ingine? mwambieni Lisu aendelee kuzitoa ili Raisi aliyeko madarakani azifanyie kazi