ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nasisitiza Kama akibahatika kupita tena aache tumekuwa bila maji na maccm zaidi ya miaka 60 hakuna kipindupindu Wala Kufa maji tunatoboa wenyewe kwa mashine kwani tumepungukiwa nini?Tunduma wanalipa kodi na maji ni lazima ikiwa ni haki ya wapiga kura cha ajabu magufuli kawatishishia kuchukua kodi zao kupeleka chato kisa endapo watamchagua mpinzani
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea ccm inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya usaliti. Ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya chama wajumbe walimpiga chini. Sasa Dr. Magufuli analazimisha wananchi wamchague mtu ambaye siyo chague lake. Inawezekana mzee Magu anampango wa kumpa uwaziri au unaibu kama wote wawili watapita maana bado ni kitendawili.
Sasa kwa tabia ile ya kulazimisha wananchi wamchague Silinde itachochea uvunjifu wa amani maana wananchi hawatamchagua, na kwa kuwa yeye anamtaka, itabidi vyombo vya dola vilazimishe kama kawaida, hapo ndio hofu yangu kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani.
Mh. Magufuli kama unataka nchi yetu ibaki salama uwe makini kwa kauli zako na pia acha kulazimisha ili wananchi wafanye maamuzi yao.
Maendeleo yanachama kwa mtazamo wa DR Magufuli.
======
DKT. MAGUFULI: MKINICHANGANYIA SILETI MRADI WA MAJI
Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema katika muhula ujao ameshaweka mipango ya kupeleka maji Ireje yaweze kufika Tunduma.
Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.
Amesema miaka mitano iliyopita aliwabembeleza na hii ni mara ya mwisho yeye kuwaomba watu wa Tunduma. Amesema hawatishi ila moyo unauma kuona wanamchanganyia.
Amesema ili wapate maji ni lazima wamchague David Silinde, mgombea ubunge wa Tunduma kwa tiketi ya CCM ambaye ni mbunge wa Momba anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CHADEMA.
Kodi kwenye majimbo ya upinzani wanachukua lakini hawataki kupeleka maendeleo huko
Humu hamna kiongozi kabisa ! hivi ilikuwaje Kikwete na ujanja wake akatuletea mtu huyu ?
Vyama nitaasisi au mali zawatanzania kodi pia nimali zawatanzania sijuwi nimuhuni gani au beberu gani nchini anaweza kuzuia haq yawatanzania tuungane tumfurushe nchi sio maliyake binafsi
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea ccm inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya usaliti. Ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya chama wajumbe walimpiga chini. Sasa Dr. Magufuli analazimisha wananchi wamchague mtu ambaye siyo chague lake. Inawezekana mzee Magu anampango wa kumpa uwaziri au unaibu kama wote wawili watapita maana bado ni kitendawili.
Sasa kwa tabia ile ya kulazimisha wananchi wamchague Silinde itachochea uvunjifu wa amani maana wananchi hawatamchagua, na kwa kuwa yeye anamtaka, itabidi vyombo vya dola vilazimishe kama kawaida, hapo ndio hofu yangu kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani.
Mh. Magufuli kama unataka nchi yetu ibaki salama uwe makini kwa kauli zako na pia acha kulazimisha ili wananchi wafanye maamuzi yao.
Maendeleo yanachama kwa mtazamo wa DR Magufuli.
======
DKT. MAGUFULI: MKINICHANGANYIA SILETI MRADI WA MAJI
Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema katika muhula ujao ameshaweka mipango ya kupeleka maji Ireje yaweze kufika Tunduma.
Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.
Amesema miaka mitano iliyopita aliwabembeleza na hii ni mara ya mwisho yeye kuwaomba watu wa Tunduma. Amesema hawatishi ila moyo unauma kuona wanamchanganyia.
Amesema ili wapate maji ni lazima wamchague David Silinde, mgombea ubunge wa Tunduma kwa tiketi ya CCM ambaye ni mbunge wa Momba anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CHADEMA.
wajinga mbona Arusha maji yameenda, mbona Kilimanjaro mpaka vijijini lami wakati wanachagua wapinzani kila siku? Mbona Kawe kuna Maji! Hizi siasa wanatumia kwa washamba tu pesa nyingi sio hata zetu ni mosaada au mikopo😂
Mzee Baba anatia huruma. Kwao Chato wananchi wana shida kubwa ya maji safi, yeye kakimbilia traffic lights na Chato International Airport.
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea ccm inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya usaliti. Ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya chama wajumbe walimpiga chini. Sasa Dr. Magufuli analazimisha wananchi wamchague mtu ambaye siyo chague lake. Inawezekana mzee Magu anampango wa kumpa uwaziri au unaibu kama wote wawili watapita maana bado ni kitendawili.
Sasa kwa tabia ile ya kulazimisha wananchi wamchague Silinde itachochea uvunjifu wa amani maana wananchi hawatamchagua, na kwa kuwa yeye anamtaka, itabidi vyombo vya dola vilazimishe kama kawaida, hapo ndio hofu yangu kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani.
Mh. Magufuli kama unataka nchi yetu ibaki salama uwe makini kwa kauli zako na pia acha kulazimisha ili wananchi wafanye maamuzi yao.
Maendeleo yanachama kwa mtazamo wa DR Magufuli.
======
DKT. MAGUFULI: MKINICHANGANYIA SILETI MRADI WA MAJI
Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema katika muhula ujao ameshaweka mipango ya kupeleka maji Ireje yaweze kufika Tunduma.
Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.
Amesema miaka mitano iliyopita aliwabembeleza na hii ni mara ya mwisho yeye kuwaomba watu wa Tunduma. Amesema hawatishi ila moyo unauma kuona wanamchanganyia.
Amesema ili wapate maji ni lazima wamchague David Silinde, mgombea ubunge wa Tunduma kwa tiketi ya CCM ambaye ni mbunge wa Momba anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CHADEMA.
Kodi za Tunduma zitaenda wapi na zitafanya nini? Nilikuwa na wasiwasi na sera ya majimbo, sasa naanza kuona logic yake!Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.
Mkurugenzi aliteuliwa na nani? Kwa nini hakumtumbua!CHADEMA mnadaiwa 2.5billion za miradi ya maji, hatuwezi kuendelea kupoteza pesa za umma kwa kupalilia majizi.
una uhakika na hilo ulilosema kwamba Chato wana shida ya maji? ThibitishaMzee Baba anatia huruma. Kwao Chato wananchi wana shida kubwa ya maji safi, yeye kakimbilia traffic lights na Chato International Airport.
Hii misukule ina shida mahali!Ni Tanzania nimeona Rais anaweza kukutukana au kukutisha na bado kura ambayo ni siri yako ukampigia!Hili zee chizi na limewakamata washenzi kibao wanaliunga mkono asilimia mia, ingekua nchi nyingine kwa kauli hii hata uchaguzi angekua ashafutwa. Kwa kweli sijui watu wanaomsupport ni vilaza wa level gani, waafrika tuna matatizo makubwa sana kichwani
Kodi za Tunduma zitaenda wapi na zitafanya nini? Nilikuwa na wasiwasi na sera ya majimbo, sasa naanza kuona logic yake!