Uchaguzi 2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

Tunduma wanalipa kodi na maji ni lazima ikiwa ni haki ya wapiga kura cha ajabu magufuli kawatishishia kuchukua kodi zao kupeleka chato kisa endapo watamchagua mpinzani
Nasisitiza Kama akibahatika kupita tena aache tumekuwa bila maji na maccm zaidi ya miaka 60 hakuna kipindupindu Wala Kufa maji tunatoboa wenyewe kwa mashine kwani tumepungukiwa nini?
Apeleke Chato mbona hakuna maji na yeye kawa mbunge miaka 20,Chato haijaizidi na haitakuja kuizidi chochote Tunduma,nibembeleze mtu mwenye wajibu wake kisa nini?
 
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea ccm inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya usaliti. Ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya chama wajumbe walimpiga chini. Sasa Dr. Magufuli analazimisha wananchi wamchague mtu ambaye siyo chague lake. Inawezekana mzee Magu anampango wa kumpa uwaziri au unaibu kama wote wawili watapita maana bado ni kitendawili.

Sasa kwa tabia ile ya kulazimisha wananchi wamchague Silinde itachochea uvunjifu wa amani maana wananchi hawatamchagua, na kwa kuwa yeye anamtaka, itabidi vyombo vya dola vilazimishe kama kawaida, hapo ndio hofu yangu kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani.

Mh. Magufuli kama unataka nchi yetu ibaki salama uwe makini kwa kauli zako na pia acha kulazimisha ili wananchi wafanye maamuzi yao.

Maendeleo yanachama kwa mtazamo wa DR Magufuli.

======

DKT. MAGUFULI: MKINICHANGANYIA SILETI MRADI WA MAJI

Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema katika muhula ujao ameshaweka mipango ya kupeleka maji Ireje yaweze kufika Tunduma.

Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.

Amesema miaka mitano iliyopita aliwabembeleza na hii ni mara ya mwisho yeye kuwaomba watu wa Tunduma. Amesema hawatishi ila moyo unauma kuona wanamchanganyia.

Amesema ili wapate maji ni lazima wamchague David Silinde, mgombea ubunge wa Tunduma kwa tiketi ya CCM ambaye ni mbunge wa Momba anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CHADEMA.

wajinga mbona Arusha maji yameenda, mbona Kilimanjaro mpaka vijijini lami wakati wanachagua wapinzani kila siku? Mbona Kawe kuna Maji! Hizi siasa wanatumia kwa washamba tu pesa nyingi sio hata zetu ni mosaada au mikopo😂
 
yaani huo ndio ukweli bila chenga.....tusifanye kosa kuchagua uponzaniuponzani......Kura ni siri yako.
unacho takiwa kufanya unaweza kuwaunga wakati wa kampeni lkn siku ya kupiga kura...wewe pigia tu CCM hakuna atakeye juwa .....maliza kazi
 
Kodi kwenye majimbo ya upinzani wanachukua lakini hawataki kupeleka maendeleo huko

Hivi tunapo tangazia Dunia kwamba Tanzania ni Taifa linalo ruhusu vyama vya upinzani kustawi tunamaanisha nini? Mbona tunayo yaona na kusikia ni mambo tofauti kabisa yenye kuhashiria kutaka vyama vya upinzani vife kabisa ikiwezekana katika awamu hii!!

Je,lengo la kuruhusu vyama vya upinzani lilikuwa ni kuhadaa Dunia/wahisani ili waendelee kutupatia misaada wakiwa na amani kwamba Tanzania inaheshimu demokrasia na upinzani to the letter, wakati dalili zinaonyesha hiyo si kweli hats kidogo, ukweli wa mambo wapinzani wanachukuliwa kama vile ni: maadui, wasaliti, watu wasio kuwa uzalendo wa kweli, wapinga maendeleo you name it.

Hatutaki kuheshimu ushauri wa Baba wa Taifa aliye wahi kusema kwamba vyama vya upinzani vina umuhimu wa pekee kufanya Chama tawala kisijisahau i.e pawepo check and balance - Nyerere alikuwa sahihi kabisa, kwa bahati mbaya inaelekea washauri wa current administration hilo hawalioni, ndio maana NEC inafikia hatua ya kuhengua a good number of oppostion candidates unceremoniously hawajui kwamba kitendo hicho kinaweza kumuharibia sifa Kimataifa Dr.Magufuli, tusifanye mambo ya kuiwekea doa Taifa letu.
 
mbona tupo tunduma kwa miaka mingi na tuhai na maji tunakunywa, mwambie asitufokee 28/10/2020 tuna jambo letu. Amerusumbua vya kutosha ni zamu yake akapumzike hatutaki rais mbaguzi sisi
 
Raisi wangu, huna haki ya kuwalazimisha wapiga kura, wampigie kura mtu wa chaguo lako. Hii u ayofanya ni BLACK MAIL
 
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea ccm inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya usaliti. Ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya chama wajumbe walimpiga chini. Sasa Dr. Magufuli analazimisha wananchi wamchague mtu ambaye siyo chague lake. Inawezekana mzee Magu anampango wa kumpa uwaziri au unaibu kama wote wawili watapita maana bado ni kitendawili.

Sasa kwa tabia ile ya kulazimisha wananchi wamchague Silinde itachochea uvunjifu wa amani maana wananchi hawatamchagua, na kwa kuwa yeye anamtaka, itabidi vyombo vya dola vilazimishe kama kawaida, hapo ndio hofu yangu kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani.

Mh. Magufuli kama unataka nchi yetu ibaki salama uwe makini kwa kauli zako na pia acha kulazimisha ili wananchi wafanye maamuzi yao.

Maendeleo yanachama kwa mtazamo wa DR Magufuli.

======

DKT. MAGUFULI: MKINICHANGANYIA SILETI MRADI WA MAJI

Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema katika muhula ujao ameshaweka mipango ya kupeleka maji Ireje yaweze kufika Tunduma.

Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.

Amesema miaka mitano iliyopita aliwabembeleza na hii ni mara ya mwisho yeye kuwaomba watu wa Tunduma. Amesema hawatishi ila moyo unauma kuona wanamchanganyia.

Amesema ili wapate maji ni lazima wamchague David Silinde, mgombea ubunge wa Tunduma kwa tiketi ya CCM ambaye ni mbunge wa Momba anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CHADEMA.

Vyama nitaasisi au mali zawatanzania kodi pia nimali zawatanzania sijuwi nimuhuni gani au beberu gani nchini anaweza kuzuia haq yawatanzania tuungane tumfurushe nchi sio maliyake binafsi
 
Akwende. Na maji take..miaka 54 hatyna maji anajua tuliishije?
Pumbavu
 
wajinga mbona Arusha maji yameenda, mbona Kilimanjaro mpaka vijijini lami wakati wanachagua wapinzani kila siku? Mbona Kawe kuna Maji! Hizi siasa wanatumia kwa washamba tu pesa nyingi sio hata zetu ni mosaada au mikopo😂

tps://mpayukaji.blogspot.com/2017/01/utabiri-wa-mwaka-huu-wa-mlevi.html
 
Haleti maji kwani atapita? Mbona amejiwekea umiliki wa hii nchi? Hata itokee bahati mbaya akapita, kupeleka maji maeneo ya nchi yetu ni kwa maamuzi yake? Jiwe bwana, haachi kushangaza watu.
 
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea ccm inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya usaliti. Ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya chama wajumbe walimpiga chini. Sasa Dr. Magufuli analazimisha wananchi wamchague mtu ambaye siyo chague lake. Inawezekana mzee Magu anampango wa kumpa uwaziri au unaibu kama wote wawili watapita maana bado ni kitendawili.

Sasa kwa tabia ile ya kulazimisha wananchi wamchague Silinde itachochea uvunjifu wa amani maana wananchi hawatamchagua, na kwa kuwa yeye anamtaka, itabidi vyombo vya dola vilazimishe kama kawaida, hapo ndio hofu yangu kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani.

Mh. Magufuli kama unataka nchi yetu ibaki salama uwe makini kwa kauli zako na pia acha kulazimisha ili wananchi wafanye maamuzi yao.

Maendeleo yanachama kwa mtazamo wa DR Magufuli.

======

DKT. MAGUFULI: MKINICHANGANYIA SILETI MRADI WA MAJI

Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema katika muhula ujao ameshaweka mipango ya kupeleka maji Ireje yaweze kufika Tunduma.

Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.

Amesema miaka mitano iliyopita aliwabembeleza na hii ni mara ya mwisho yeye kuwaomba watu wa Tunduma. Amesema hawatishi ila moyo unauma kuona wanamchanganyia.

Amesema ili wapate maji ni lazima wamchague David Silinde, mgombea ubunge wa Tunduma kwa tiketi ya CCM ambaye ni mbunge wa Momba anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CHADEMA.

Mzee Baba anatia huruma. Kwao Chato wananchi wana shida kubwa ya maji safi, yeye kakimbilia traffic lights na Chato International Airport.
 
Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.
Kodi za Tunduma zitaenda wapi na zitafanya nini? Nilikuwa na wasiwasi na sera ya majimbo, sasa naanza kuona logic yake!
 
Mzee Baba anatia huruma. Kwao Chato wananchi wana shida kubwa ya maji safi, yeye kakimbilia traffic lights na Chato International Airport.
una uhakika na hilo ulilosema kwamba Chato wana shida ya maji? Thibitisha
 
Hili zee chizi na limewakamata washenzi kibao wanaliunga mkono asilimia mia, ingekua nchi nyingine kwa kauli hii hata uchaguzi angekua ashafutwa. Kwa kweli sijui watu wanaomsupport ni vilaza wa level gani, waafrika tuna matatizo makubwa sana kichwani
Hii misukule ina shida mahali!Ni Tanzania nimeona Rais anaweza kukutukana au kukutisha na bado kura ambayo ni siri yako ukampigia!
Sijui akili za watanzania zinafanyaje kazi!Kwa nchi za watu,kwa kauli hiyo asingechaguliwa!
 
Kodi za Tunduma zitaenda wapi na zitafanya nini? Nilikuwa na wasiwasi na sera ya majimbo, sasa naanza kuona logic yake!

SERA YA MAJIMBO SIO MBAYA ITAFANYA KILA SEHEMU WAPELEKE MAENDELEO KWA KASI HAKUTAKUWA NA HII KUTISHIANA ....HUYU SIO TU KAONDOA NGUVU KWENYE HALMASHAURI BALI KAWAPORA HADI VYANZO VIDOGO VIDOGO VYA MAPATO.................INGEKUWA WANA VYANZO VYAO TUNDUMA SIO WATU WA KUSHINDWA HATA KUJIWEKEA MIRADI YA MAJI KWA PESA ZA HALMASHAURI

SERA YA MAJIMBO UZURI WAKE NI KUWA SERIKALI KUU BADO INA UWEZO KUPELEKA MISAADA NA RUZUKU ZA KITAIFA KWENYE MAENEO YATAKAYOKUWA NA UHITAJI KWAKUA KUNA VYANZO VYA MAPATO VITAJUWA NI VYA SERIKALI KUU
BADO WATAENDELEA KUSIMAMIA MIRADI MIKUBWA YA KITAIFA YA KIMIKAKATI.
 
Hivi mbunge anahusiana vipi na maendeleo ya jimbo? Wakina DED, DAS, RC wako wapi maana ndio wanaosimamia kodi zetu! Lwa hiyo hii ulaghai wa huyu baba ukoje??
Tais anasimamia Mbunge????!? Tangu lini??
 
Back
Top Bottom