Magufuli siyo shujaa wa Afrika, Kikwete ni shujaa wa Afrika

Wote hao ni majizi tu
 
Usimfananishe Vasco Da Gama na vitu vya kipumbavu.
 
Tofautisha figurative speech, rhetoric na factual statement.

Hiyo statenent ya "I don't know" inaweza kumaanisha "There is no reason to be that way", ila wewe umekariri kuwa I don't know lazima imaanishe "Sijui"
Trying to force your own interpretation be common to all of us
 
Itachukua miaka mingi sana Magufuli kuaacha kuwatandika wana chadema
 
Itachukua miaka mingi sana Magufuli kuaacha kuwatandika wana chadema
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
 
Doctor Ulimboka sijui kwanini anabisha hizo sifa.
 
Cheo cha 'Ushujaa wa Afrika' kina vigezo muhimu sana walioingia ni kama kumi hivi akiwemo Hayati Mwalimu Nyerere

Kwangu Mimi binafsi namuona Mzee Jakaya Kikwete kama ni mmoja wa Maraisi wapenda Demokrasia katika Bara la Afrika.
 
Doctor Ulimboka sijui kwanini anabisha hizo sifa.
tatizo lako doctor ulizingua mwenyewe, tokea lini mamba kashikwa macho akatulia? lazma akushughulikie. Doctor uligusa pabaya, ila pole kwa kile kichapo.
 
Kikwete pia si shujaa wa Africa kwa lipi hasa? Shujaa wa Africa ni Baba wa Taifa pekee yake.
Shujaa wa Africa ni tundu lisu ambaye ameteuliwa kuwa kiongozi wa shogas barani africa na ulaya.
 
tatizo lako doctor ulizingua mwenyewe, tokea lini mamba kashikwa macho akatulia? lazma akushughulikie. Doctor uligusa pabaya, ila pole kwa kile kichapo.
Na mimi nalijua hilo kila utawala lazima wawepo watu wasiojulikana wenye kuwashughulikia watu.
 
Cheo cha 'Ushujaa wa Afrika' kina vigezo muhimu sana walioingia ni kama kumi hivi akiwemo Hayati Mwalimu Nyerere

Kwangu Mimi binafsi namuona Mzee Jakaya Kikwete kama ni mmoja wa Maraisi wapenda Demokrasia katika Bara la Afrika.
Unamzungumzia JK huyu huyu aliyemnyamazisha Doctor Ulimboka?
Kikwete angeondoka madarakani na kutuachia ccm isiyotegemea nguvu ya dola kuendelea kuwa madarakani angekuwa kafanya jambo kubwa sana.
 
Fyoko je wee ni kikwekwe mwanae au kuwadi wake kiasi cha kutoona ukweli na kusambaza uongo?
 
Sijaona mtu kwenye hii mada ambaye amecomment kwa kupinga hoja nilizoweka ubaoni kuwa!

1. Kikwete Kuwapiga m23 siyo jambo la kishujaa na zuri sana kwa mustakbali wa Afrika?
2. Kikwete Kurudisha amani Comoro kwa kuwapiga waasi wa kule siyo jambo la kishujaa na zuri sana kwa mustkbali wa Afrika?
3. Kikwete Kuleta upatanishi Kenya na kusaidia kuzuia vita vya wenyewe kwa wenyewe siyo jambo zuri sana kwa mustakbali wa Afrika?
4. Kikwete Kusuluhisha Mgogoro madagascar na kupelekea kupatikana amani siyo jambo zuri sana kwa mustkbali wa Afrika?
 
Wakati wa Magufuli niliwahi kuandika humuhumu JF kuwa Tanzania hatujawahi kuwa na Rais kama Kikwete na Hatutampata mwingine wa kumlinganisha nae kwa miaka mingi sana ijayo.
 
Hizo hoja hazipingiki. Ngoja niongezee...

Kikwete ali influence mipango bora na kabambe kuwahi kutokea barani Afrika, akiwa na Obama, akiwa na Bill Gates na wengineo wenye maamuzi duniani alisikilizwa na akapata alichokikusudia. Vingi vilikuwa kwa manufaa ya Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…