Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Sera zipo nzuri na zinafanya kazi,kama Sera zisingekuwepo Nchi ingekuwa bankrupt.Nampongeza Mama kwa kuupiga mwingi,kama una uchungu hata wewe unaweza organize maandamano hapo ulipo.Wapi analaumiwa mtu? Mbona iko wazi? Uko madarakani huna sera au ufumbuzi toka wachukue wengine.
Hili lina apply kote serikalini na upinzani. Kama kumtoa Mwigulu hatua ya kwanza ni kuanza na wewe uliye hodhi namna yetu ya kulianzisha tatizo liko wapi kuanza na wewe?
Hakuna aliyekaa kimya, walioteseka ni Mbowe na Lissu, na walipata michango ya hali na mali kuanzia matibabu ya Lissu hospitali mpaka michango ha mawakili kwenye kesi ya Mbowe, hakuna aliyekaa kimya.Acha wakae kimya wameteseka sana awamu iliyopita wakati sisi tulikaa kimya waliteseka pekee yao
Walipotaka watz waandamane nani alitoka?Hakuna aliyekaa kimya, walioteseka ni Mbowe na Lissu, na walipata michango ya hali na mali kuanzia matibabu ya Lissu hospitali mpaka michango ha mawakili kwenye kesi ya Mbowe, hakuna aliyekaa kimya.
SAMIA& Mwigulu wafanya biashara wengi hawalipo kodi,na Maafisa wa TRA kazi yao Ku under evaluate nankuchukua rushwa huku wakilipwa mishahara minono.
Nashauri VAT iongezeke hadi 30% na corporate tax iwe 45% hii Nchi inachezewa sana na Wafanyabiashara.
Nakazia ✍️✍️✍️Acha wakae tu kimya na wenyewe ni binadamu wamepiga kelele sana, watanzania wakaishia kuwadharau na kuwaona kama wendawazimu au waliokosa cha kufanya!!
Kwa sababu walichokuwa wanapigania ni kwa ajili ya wote lakini wakaonekana wehu, sasa acha watawala wafanye watakacho mpaka akili ziwakae sawa!!
Siku mkiambiwa bungeni kunahitajika kuwa na wapinzani wengi sana ili sheria za hovyo za kumgandamiza mwananchi zisipitishwe kirahisi muelewe wanaamanisha nini!!
Wakipiga kelele tunahitaji katiba mpya kwa ajili kuweza kuweka dira mpya ya nchi yetu muelewe wanamaanisha nni!!
Watawala kamatieni hapo hapo,, ongezeni kodi zaidi, wakihoji waambieni waende Somalia kabisa,, hamna namna!!
Kuna majukwaa ya aina nyingi kwenye kufikisha ujumbe, mwanasiasa anao uwanja mpana zaidi wa kusemea ikiwemo majukwaa, tofauti nasi tunaotegemea mitandao ya kijamii pekee.Hapana kwa sasa wakae kimya kabisa!! Acha kwanza mtanzania ajitambue!! Hakuna kitu kigumu kama kumpigia mbuzi zeze acheze!! Ni sawa na kupaka upepo rangi!!
Nasema waongeze kodi zaidi na zaidi, mfumuko wa bei uende juu kabisa!!! Hadi mtanzania akili itakapo mkaaa sawa aamke kwenye huo usingizi wa pono!!
Kama kipindi hicho ilikuwa ukiongea unapitia mateso ila wao wakachagua mateso kwa kuongea ni ajabu hivi sasa hakuna mateso kwa kuongea halafu et wao ndio wamechagua kutokuongea.Acha wakae kimya wameteseka sana awamu iliyopita wakati sisi tulikaa kimya waliteseka pekee yao
Asiyekuwa mzima mbona utakuwa wewe?We sio mzima kweli,yani asimie a step down kwa kuwa wewe umandika Uzi,hivi huoni mfano hata huko Sir lanka?.
Unaonekana ni sehemu ya tatizo, hufanyi chochote hapo ulipo, halafu bado hutaki na wengine wafanye chochote, wewe ni mfano wa fikra dumavu za hili taifa zilizo mtaji wa CCM.Walipotaka watz waandamane nani alitoka?
Acheni janja janja nyinyi. Wapinzani mliwaita wasaliti na mkawashawishi waunge mkono juhudi za mwendazake wengi wakahama mkafurahi sasa mnataka nini tena?
Maandamano muanzishe ccm wenyewe huko ndani kwani mkianzisha nyie hayatakuwa maandamano?
Mtu mmoja pekee hawezi leta mabadiliko kama haungwi mkono na wengine.Tozo ziongezweUnaonekana ni sehemu ya tatizo, hufanyi chochote hapo ulipo, halafu bado hutaki na wengine wafanye chochote, wewe ni mfano wa fikra dumavu za hili taifa zilizo mtaji wa CCM.
Wapinzani wasilaumiwe tena naomba waendelee kukaa kimya mambo yanavyozidi kuharibika, maana nasi tulikaa kimya wakati wakiteswa na utawala dhalimu. Lisu, Mbowe, Zitto msiwatetee watz acheni wanyooshwe kisawa sawa na tozo, bei juu nk, maana awakusimama nanyi wakati mkiteswa
Jibu unaloUtawala upi huo wa kidhalimu?
Hakuna jambo lolote litakaloanzishwa likose viongozi, na kiongozi hawezi kufanya jambo peke yake bila wafuasi, huu ndio muda wa kuungana.Mtu mmoja pekee hawezi leta mabadiliko kama haungwi mkono na wengine.Tozo ziongezwe
Mtu mmoja pekee hawezi leta mabadiliko kama haungwi mkono na wengine.Tozo ziongezwe
Sio kwa watz hata viongozi wanajua hiliHakuna jambo lolote litakaloanzishwa likose viongozi, na kiongozi hawezi kufanya jambo peke yake bila wafuasi, huu ndio muda wa kuungana.