- Thread starter
- #81
Na huo ndiyo ulio ukweli mchunguMakini sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huo ndiyo ulio ukweli mchunguMakini sana
Kwani hawa walikuwa wa lini?Wabingo wenyewe wengi vichwa vya kwa sasa ni Simba na Yanga tu.
Lawama zielekezwe kwa wenye madaraka sio upinzaniTufike mahali tutoleane uvivu wenyewe kwa wenyewe. Tufike mahali panya wamfunge paka kengele.
"Enyi viongozi wetu madarakani, mliochagua kukaa kimya na kututelekeza kondoo wenu, tokeni madarakani washike wenye kudhamiria."
Ikumbukwe wavumao baharini papa lakini na wengine wapo.
Imekuwa kuwalaumu vijana kwa kuendekeza mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa, lakini je vijana hawa kwa uongozi upi wasimame imara wapi?
Ya nini kuendelea kumlaumu dobi, wakati kaniki ni rangi yake?
Misahafu inasema "nitampiga mchungaji na kondoo wa kundi watatawanyika."
Kondoo wametawanyika nani wa kuwakusanya?
Viongozi wanaohofia kufa au jela tafadhali wapishe madarakani. Damu mpya zipo. Hatuhitaji vyama vipya. Tubanane na hawa hawa. Hawataki kutoka madarakani, shime wanathaura tuanze kwa kuwafurusha wao kwanza.
Ziko wapi kauli zao? Iko wapi mikakati yao? Ziko wapi dira zao? Yako wapi maono yao? Nini tufanye au tuanzie wapi?
Ninakazia: tuna matatizo ya kiuongozi zaidi kuliko ya kujitoa kwa wafuasi.
Tumung'unye maneno hadi lini?
Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu
Mfano wa habari kamili ni huu:
CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya
Kwanini wasipishe madarakani? Kwamba walipiga kelele hawakusikilizwa? Labda hakupiga vya kutosha?
Mbona hawa walisikilizwa?
Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu
Wito wa kiungwana, waliopo kama yamewashinda waweke manyanga chini wakae pembeni. Viongozi wenye kudhamiria wapo.
August 2021:Hao wote kuna aliepigwa risasi 32? Kama risasi ni tamu mwilini nawewe wasemee watz
Kupisha uongozi haiwezekani kama mtu kaishiwa mawazo? Walamba asali siyo wa kulaumu ni wa kufurusha. Kuwalumu ni dua la kuku.Lawama zielekezwe kwa wenye madaraka sio upinzani
Wakati wanakamatwa, wanapigwa, wanateKwa na kuuawa nyie mlikua wapi?Tufike mahali tutoleane uvivu wenyewe kwa wenyewe. Tufike mahali panya wamfunge paka kengele.
"Enyi viongozi wetu madarakani, mliochagua kukaa kimya na kututelekeza kondoo wenu, tokeni madarakani washike wenye kudhamiria."
Ikumbukwe wavumao baharini papa lakini na wengine wapo.
Imekuwa kuwalaumu vijana kwa kuendekeza mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa, lakini je vijana hawa kwa uongozi upi wasimame imara wapi?
Ya nini kuendelea kumlaumu dobi, wakati kaniki ni rangi yake?
Misahafu inasema "nitampiga mchungaji na kondoo wa kundi watatawanyika."
Kondoo wametawanyika nani wa kuwakusanya?
Viongozi wanaohofia kufa au jela tafadhali wapishe madarakani. Damu mpya zipo. Hatuhitaji vyama vipya. Tubanane na hawa hawa. Hawataki kutoka madarakani, shime wanathaura tuanze kwa kuwafurusha wao kwanza.
Ziko wapi kauli zao? Iko wapi mikakati yao? Ziko wapi dira zao? Yako wapi maono yao? Nini tufanye au tuanzie wapi?
Ninakazia: tuna matatizo ya kiuongozi zaidi kuliko ya kujitoa kwa wafuasi.
Tumung'unye maneno hadi lini?
Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu
Mfano wa habari kamili ni huu:
CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya
Mada umesoma ndugu mjumbe? Kwani wewe ulikuwa wapi? Tulipokuwa sisi yameelezwa kinaga ubaga:Wakati wanakamatwa, wanapigwa, wanateKwa na kuuawa nyie mlikua wapi?
Anzisha chama chako ili hao wasiokutetea wapukutike.Uwe kiongozi mpambanaji,mwanaharakati na usiyeogopa kuswekwa selo na kuitwa gaidi.Waharibu mali zako(sidhani kama unamiliki hata chawa tu),wachukue hela kwenye akaunti zako na kukudhalilisha.Anzisha chama chako utupikie ubwabwa tule.Tufike mahali tutoleane uvivu wenyewe kwa wenyewe. Tufike mahali panya wamfunge paka kengele.
"Enyi viongozi wetu madarakani, mliochagua kukaa kimya na kututelekeza kondoo wenu, tokeni madarakani washike wenye kudhamiria."
Ikumbukwe wavumao baharini papa lakini na wengine wapo.
Imekuwa kuwalaumu vijana kwa kuendekeza mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa, lakini je vijana hawa kwa uongozi upi wasimame imara wapi?
Ya nini kuendelea kumlaumu dobi, wakati kaniki ni rangi yake?
Misahafu inasema "nitampiga mchungaji na kondoo wa kundi watatawanyika."
Kondoo wametawanyika nani wa kuwakusanya?
Viongozi wanaohofia kufa au jela tafadhali wapishe madarakani. Damu mpya zipo. Hatuhitaji vyama vipya. Tubanane na hawa hawa. Hawataki kutoka madarakani, shime wanathaura tuanze kwa kuwafurusha wao kwanza.
Ziko wapi kauli zao? Iko wapi mikakati yao? Ziko wapi dira zao? Yako wapi maono yao? Nini tufanye au tuanzie wapi?
Ninakazia: tuna matatizo ya kiuongozi zaidi kuliko ya kujitoa kwa wafuasi.
Tumung'unye maneno hadi lini?
Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu
Mfano wa habari kamili ni huu:
CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya
Anzisha chama chako ili hao wasiokutetea wapukutike.Uwe kiongozi mpambanaji,mwanaharakati na usiyeogopa kuswekwa selo na kuitwa gaidi.Waharibu mali zako(sidhani kama unamiliki hata chawa tu),wachukue hela kwenye akaunti zako na kukudhalilisha.Anzisha chama chako utupikie ubwabwa tule.
Hakuna kubanana.Joto ni jingi/mingi/lingi sana.Usikwepe.Acha uvivu.Hata Hashimu Rungwe alianzisha chama chake.Anzisha chama chako uwe likamanda likuuu/likuuubwaa!Yako kwenye mada usiwe mvivu wa kusoma:
"Viongozi wanaohofia kufa au jela tafadhali wapishe madarakani. Damu mpya zipo. Hatuhitaji vyama vipya. Tubanane na hawa hawa. Hawataki kutoka madarakani, shime wanathaura tuanze kwa kuwafurusha wao kwanza."
Wapumzike ili wasiwekwe selo, kuitwa magaidi wala kuharibiwa mali zao (bila shaka wana mali zaidi ya chawa).
Kumbuka vyama hivi si mali binafsi.
Ninakazia: tutabanana hapa hapa.
Uvivu ni kuogopa joto. Uongozi si fursa. Uongozi ni sacrifice. Huwezi ku sacrifice toka.Hakuna kubanana.Joto ni jingi/mingi/lingi sana.Usikwepe.Acha uvivu.Hata Hashimu Rungwe alianzisha chama chake.Anzisha chama chako uwe likamanda likuuu/likuuubwaa!
Baba, jiongelee wewe. Usisubirie mwanaume mwezio aje akusemee. Toka nje paza sautiWe need to wake up, wao pamoja nasi; naona wametekwa na yale maneno "siasa za kistaarabu" matokeo yake wamegeuka mabubu.
Muhimu kwangu waangalie principles zao, wajue wanachoongea ni cha kweli wasimuonee mtu, ili huo ustaarabu usigeuke ububu wa kukalia kimya uonevu.
Naona pia jinsia ya kiongozi wa taifa tuliyenaye imewavuruga psychology zao, wameshatekwa inawezekana wanahisi wakiongea wataonekana wanamuonea.
Yawezekana kiswahili ni kigumu au madhara ya ule uchawa wetu sasa. Unafiki au kujifanya waumini kindaki ndaki wa watu au wa vile vyama vyetu, tena kupindukia 😂😂.Baba, jiongelee wewe. Usisubirie mwanaume mwezio aje akusemee. Toka nje paza sauti
Shida ni tukipata tunasahau hata ni nini kilitufanya tutafuteAcha wakae tu kimya na wenyewe ni binadamu wamepiga kelele sana, watanzania wakaishia kuwadharau na kuwaona kama wendawazimu au waliokosa cha kufanya!!
Kwa sababu walichokuwa wanapigania ni kwa ajili ya wote lakini wakaonekana wehu, sasa acha watawala wafanye watakacho mpaka akili ziwakae sawa!!
Siku mkiambiwa bungeni kunahitajika kuwa na wapinzani wengi sana ili sheria za hovyo za kumgandamiza mwananchi zisipitishwe kirahisi muelewe wanaamanisha nini!!
Wakipiga kelele tunahitaji katiba mpya kwa ajili kuweza kuweka dira mpya ya nchi yetu muelewe wanamaanisha nni!!
Watawala kamatieni hapo hapo,, ongezeni kodi zaidi, wakihoji waambieni waende Somalia kabisa,, hamna namna!!
Zama hubadilika. Mikakati hubadilika kutokana na yatokanayo.Shida ni tukipata tunasahau hata ni nini kilitufanya tutafute
Yule jamaa alikuwa na fix sana, nahisi atatumalizia Kuni huko aliko.Nakazia ✍️✍️✍️
Ili next time wananchi wakiambiwa ni muhimu wapinzani kuwemo Bungeni waelewe, siyo kuleta zile kauli za kihuni kama:
'...wapinzani walituchelewesha sana...!'
Fix?Yule jamaa alikuwa na fix sana, nahisi atatumalizia Kuni huko aliko.