Hapana Mimi si mmoja wao,Niliwahi kuandika uzi huu:
Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
Maudhui yake yangali yanaishi. Maudhui yake yanawaakisi vyema watu kama wewe.
Inafahamika mnatumia njia zote kuhakikisha kuna mifarakano.
Wewe ni mmoja wa walamba asali?
Kwanini basi usingependa kuona tuna viongozi waliodhamiria kuona tunawatia adabu walamba asali kwa vitendo, bila kuchoka wala kukoma?Hapana Mimi si mmoja wao,
Hao wanaotaka kuingi kuna mtu kawafunga wasiingie?Ukisema "mliwaita" unakusudia kuwasema kina nani hao waliowaita wenzao?
Vicious cycle taslimu. Yaani ujinga endelevu si ndiyo huu sasa?
Tufanye waliitwa wasaliti hivyo sasa wamenuna. Basi si wapishe waingie kina Mtikila, Malema, Seif, Nyerere, Tutu na wa namna hiyo wasiokuwa na utoto kama unaoona wewe ni mali mno?
Kwamba:
"Maandamano muanzishe ccm wenyewe huko ndani kwani mkianzisha nyie hayatakuwa maandamano?"
Kama namwona Mwigulu akikushangilia kweli kweli. Kama si nduguyo yumkini ni mfuasi wake nguli kabisa.
tafuteni upinzan wenu au mfufuen mrema aendelee kusema ccm nji hii ni chama kizuri.
Wapi analaumiwa nani? Ni upuuzi kudhani analaumiwa mtu kwenye kujizatiti kusonga mbele:Hao wanaotaka kuingi kuna mtu kawafunga wasiingie?
Si watafute njia yao na mtaji wa kisiasa upo ndio kama huu wajitokeze wataungwa mkono sio lazima wapishwe.
Ni upuuzi kulaumu wengine wakati wewe hufanyi kitu.
Nani wa kumfunga paka kengele,kwani walamba asali awajui hatuna umoja wa kupinga wayatakayo.Kwanini basi usingependa kuona tuna viongozi waliodhamiria kuona tunawatia adabu walamba asali kwa vitendo, bila kuchoka wala kukoma?
Hatuna umoja? Huu umoja unatoka mbinguni? Huu umoja ni wa watu wangapi wakifika ndiyo sasa tutakuwa tumekamilika?Nani wa kumfunga paka kengele,kwani walamba asali awajui hatuna umoja wa kupinga wayatakayo.
Watu wanaza singeli,na bongo fleva Saa ngapi wawe na umojaHatuna umoja? Huu umoja unatoka mbinguni? Huu umoja ni wa watu wangapi wakifika ndiyo sasa tutakuwa tumekamilika?
Kama nchi tuko vibaya, nani mwenye kubeba dhima ya ukombozi wetu?
Siyo siri. Tuliopo tunatosha. Tuliwahitaji kina Mtikila, Nyerere, Tutu na wa namna hiyo kuliko wakati mwingine wowote.
Ninakazia viongozi waliopo ni muhimu kujitathmini. Vinginevyo atalaumiwa sana dobi.
Huku ndiko kumlaumu dobi sasa. Kwani viongozi wa caliber za kina Malema, Mtikila au hata Seif unawaona wapi?Watu wanaza singeli,na bongo fleva Saa ngapi wawe na umoja
Sasa mkuu hii ya kulindima huku halafu ukiwa invisible huoni kama wasting time
Try to make your life better na ndicho kinachotokea kwa sasa
Kwenye Jamii zijazojitambuaHuku ndiko kumlaumu dobi sasa. Kwani viongozi wa caliber za kina Malema, Mtikila au hata Seif unawaona wapi?
Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?
Shujaa hufia vitani.
Jamii zinazijitambua zinatokea mbingu ipi?Kwenye Jamii zijazojitambua
Kenya na sisi ni tofauti ya ideology.Wao ni moto sisi ni baridi.Mfano mwanamke wa Kenya ukiweza ishi nae ujengewe mnaraJamii zinazijitambua zinatokea mbingu ipi?
Kenya na sisi tofauti si watu bali viongozi.
Habari ndiyo hiyo.
Hii si jamii ya walamba asali:Walamba asali waliwafukuza wakoloni Ili walambe wao asali
Kenya na sisi ni tofauti ya ideology.Wao ni moto sisi ni baridi.Mfano mwanamke wa Kenya ukiweza ishi nae ujengewe mnara
Hawa ni watz pia:Sio kwa watz hata viongozi wanajua hili
Amsha amsha ya watz ni hadi wakati wa uchaguziHawa ni watz pia:
View attachment 2332196
Kukataa kuwa tuna ombwe kimikakati ni kujidanganya mchana kweupe:
Uzoefu wa Zanzibar 2020 - Tuna ya Kujifunza, yatasaidia kwa Ukombozi