Lakini wao na hata vizazi vyao hata kesho awalali njaa na wala sio walamba chumvi. Wapigania UHURU walipigania maslai yao binafsi na vizazi vyao na sio maslai ya waafrika wote.Hii si jamii ya walamba asali:
Nyerere, Seif, Mtikila, Malema, Mandela, Tutu na wa namna hiyo.
Watu hao walisukwa sukwa maisha yao yote.
Hao si Madelu na genge lake.
Haieleweki unasema nini au husemi nini. Ukombozi unahitaji watu wenye ufahamu zaidi ya wako mjomba. Zaidi sana dhamira. Maji kukuzidi kimo ni jambo la kheri tu.Amsha amsha ya watz ni hadi wakati wa uchaguzi
Nani mwenye ufahamu sasaHaieleweki unasema nini au husemi nini. Ukombozi unahitaji watu wenye ufahamu zaidi ya wako mjomba. Zaidi sana dhamira. Maji kukuzidi kimo ni jambo la kheri tu.
Mtikila, Seif, Tutu, na hata Malema wawaona mle pia?Lakini wao na hata vizazi vyao hata kesho awalali njaa na wala sio walamba chumvi. Wapigania UHURU walipigania maslai yao binafsi na vizazi vyao na sio maslai ya waafrika wote.
Acha watu akili ziwakae sawa kwanza!! Tope lote likiisha kichwani ndo watajielewa!!
Bila hata wapinzani sheria kandamizi zikija wataingia barabarani wenyewe!!
Haiingii akilini eti mtu ukikandamizwa mpaka umsubirie mwanasiasa aje akutetee?? Ni akili tu unakuwa huna!!!
Sheria kandamizi zikija kila mtu toka nje piga kelekele tunaonewa!! Hilo ndo Taifa la watu majasiri wanaojielewa!! Siyo kumtegemea mtu fulani kukusemea, big noo!!!
Comment yako ilikuwa muhimu mkuu.Nasubiri comment ya Erythrocyte
Ukweli usemwe tu wakishindwa waachie ngazi washike wengine na sio kuzila wakati posho na marupurupu unapokea....hata Kama watz wajinga lkn sio hivi wafanyavyo viongoziComment yako ilikuwa muhimu mkuu.
Uchawa wa aina ya kina Jumbe Brown na wenzao hauwezi kuwa na nafasi katika jamii iliyostaarabika.
Nakuelewa sana unamaanisha sana!!
Watu wakishakamatwa vizuri wakaanza kujipgania wenyewe hapo ndo penyewe!! Wapinzani kaeni kimya kabisa kwa sasa!! Acha watawala waafanye watakavyo mpaka watanzania akili zitakapowakaa sawa, waingia barabarani wenyewe!!
Ukweli usemwe tu wakishindwa waachie ngazi washike wengine na sio kuzila wakati posho na marupurupu unapokea....hata Kama watz wajinga lkn sio hivi wafanyavyo viongozi
Tukizihalalisha siasa zetu kuwa sawa na za akina Madelu, sisi na walamba asali tofauti itakuwa nini?Siasa ndivyo zilivyo...
Mkuu,Watu kama wewe na wenzio mliangaziwa hata mwaka uliopita. Hii comment #7:
View attachment 2332327
ya uzi huu wa mwaka jana:
CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya
Waungwana Kulikoni?
Cc: antimatter, Kalunya
Mkuu,
Wananchi wakishachoka hawahitaji kuhamasishwa na yeyote.
Kwenye ule uchaguzi wa Oktoba 28, 2020, kulikua na matukio kadhaa ambayo ni somo tosha.
Mkijaribu kuiba tena 2025, ndo mtajua hamjui
Ni msiba wa siasa
LICHA ya vumbi la kimbunga cha uchaguzi mkuu kutulia baada ya kuwapa ushindi wabunge 264 wanaoanza mkutano Dodoma, bado linaendelea kuacha makovu na maumivu kwa wagombea, akiwamo Zuberi Kuchauka, ambaye mali zake zimeharibiwa.www.ippmedia.com
"He will win who knows when to fight and when not to fight"Bwana antimatter zingatia:
CHADEMA: Tanzania itakombolewa na wenye Moyo
Ni vigumu kuwa na mikakati ya kuwahami wahanga? Ila mnawataka watu wamwagike mitaani?
Kwa akili hizi endeleeni kusubiria dodo kwenye minazi.
"He will win who knows when to fight and when not to fight"
Sun Tzu
"The greatest victory is that which requires no battle.”
Sun Tzu
My position is not Chadema's though..By definition, "opportunists are those who think they can have it, the easy way."
Namwelewa sana Prof. Lwaitama, - "ni heri kufa nikipigania haki kuliko kufa kwa Malaria."
What makes you think whoever may associate you anyhow with any party or Chadema so to speak?My position is not Chadema's though..
Mie siyo mwanachama. Usije ukachukulia mawazo yangu binafsi kama ya hicho chama!
Makini sanaTufike mahali tutoleane uvivu wenyewe kwa wenyewe. Tufike mahali panya wamfunge paka kengele.
"Enyi viongozi wetu madarakani, mliochagua kukaa kimya na kututelekeza kondoo wenu, tokeni madarakani washike wenye kudhamiria."
Ikumbukwe wavumao baharini papa lakini na wengine wapo.
Imekuwa kuwalaumu vijana kwa kuendekeza mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa, lakini je vijana hawa kwa uongozi upi wasimame imara wapi?
Ya nini kuendelea kumlaumu dobi, wakati kaniki ni rangi yake?
Misahafu inasema "nitampiga mchungaji na kondoo wa kundi watatawanyika."
Kondoo wametawanyika nani wa kuwakusanya?
Viongozi wanaohofia kufa au jela tafadhali wapishe madarakani. Damu mpya zipo. Hatuhitaji vyama vipya. Tubanane na hawa hawa. Hawataki kutoka madarakani, shime wanathaura tuanze kwa kuwafurusha wao kwanza.
Ziko wapi kauli zao? Iko wapi mikakati yao? Ziko wapi dira zao? Yako wapi maono yao? Nini tufanye au tuanzie wapi?
Ninakazia: tuna matatizo ya kiuongozi zaidi kuliko ya kujitoa kwa wafuasi.
Tumung'unye maneno hadi lini?
Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu
Mfano wa habari kamili ni huu:
CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya