Magumu yetu Viongozi wa Upinzani mkwepe lawama vipi?

Wabingo wenyewe wengi vichwa vya kwa sasa ni Simba na Yanga tu.
 
Wabingo wenyewe wengi vichwa vya kwa sasa ni Simba na Yanga tu.
Kwani hawa walikuwa wa lini?

Your browser is not able to display this video.
 
Lawama zielekezwe kwa wenye madaraka sio upinzani
 
Hao wote kuna aliepigwa risasi 32? Kama risasi ni tamu mwilini nawewe wasemee watz
August 2021:

Kwani wewe ulipigwa risasi ngapi mkuu?

Msingi wa hoja ni wazi, anayeogopa kufa au jela apishe wasioyaogopa hayo. Hao tupo wengi tu.
 
Lawama zielekezwe kwa wenye madaraka sio upinzani
Kupisha uongozi haiwezekani kama mtu kaishiwa mawazo? Walamba asali siyo wa kulaumu ni wa kufurusha. Kuwalumu ni dua la kuku.

Iko wapi mikakati ya kuwa furusha walamba asali? Hayo ndiyo majukumu ya viongozi. Huna mikakati unapisha wenye nayo kistaarabu:

Wakati wanakamatwa, wanapigwa, wanateKwa na kuuawa nyie mlikua wapi?
 
Wakati wanakamatwa, wanapigwa, wanateKwa na kuuawa nyie mlikua wapi?
Mada umesoma ndugu mjumbe? Kwani wewe ulikuwa wapi? Tulipokuwa sisi yameelezwa kinaga ubaga:

"Viongozi wanaohofia kufa au jela tafadhali wapishe madarakani. Damu mpya zipo. Hatuhitaji vyama vipya. Tubanane na hawa hawa. Hawataki kutoka madarakani, shime wanathaura tuanze kwa kuwafurusha wao kwanza."

Ndiyo maana tunataka sasa watupishe madarakani ili wawe tulipokuwa wakati tutakapokuwa sisi tunakamatwa na kuuwawa.

Ninakazia: Uongozi siyo marupurupu yake pekee.
 
Anzisha chama chako ili hao wasiokutetea wapukutike.Uwe kiongozi mpambanaji,mwanaharakati na usiyeogopa kuswekwa selo na kuitwa gaidi.Waharibu mali zako(sidhani kama unamiliki hata chawa tu),wachukue hela kwenye akaunti zako na kukudhalilisha.Anzisha chama chako utupikie ubwabwa tule.
 
Yako kwenye mada usiwe mvivu wa kusoma:

"Viongozi wanaohofia kufa au jela tafadhali wapishe madarakani. Damu mpya zipo. Hatuhitaji vyama vipya. Tubanane na hawa hawa. Hawataki kutoka madarakani, shime wanathaura tuanze kwa kuwafurusha wao kwanza."

Wapumzike ili wasiwekwe selo, kuitwa magaidi wala kuharibiwa mali zao (bila shaka wana mali zaidi ya chawa). Wasichukue pesa kwenye account zao wala kuwadhalilisha.

Wapo wasioogopa hayo na ndiyo watakaotuvusha:

Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

Kumbuka vyama hivi si mali binafsi.

Ninakazia: tutabanana hapa hapa.
 
Hakuna kubanana.Joto ni jingi/mingi/lingi sana.Usikwepe.Acha uvivu.Hata Hashimu Rungwe alianzisha chama chake.Anzisha chama chako uwe likamanda likuuu/likuuubwaa!
 
Hakuna kubanana.Joto ni jingi/mingi/lingi sana.Usikwepe.Acha uvivu.Hata Hashimu Rungwe alianzisha chama chake.Anzisha chama chako uwe likamanda likuuu/likuuubwaa!
Uvivu ni kuogopa joto. Uongozi si fursa. Uongozi ni sacrifice. Huwezi ku sacrifice toka.

Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

Hatoki mtu hapa, hutaki kukufurusha ni sehemu ya mchezo. Ukalinde heshima, mali na account zako kwa raha zako.

Kama kiongozi huwezi chagua tu unayotaka. Huku hata kufa kumo. Usitegemee kulamba asali tu.
 
Baba, jiongelee wewe. Usisubirie mwanaume mwezio aje akusemee. Toka nje paza sauti
 
Baba, jiongelee wewe. Usisubirie mwanaume mwezio aje akusemee. Toka nje paza sauti
Yawezekana kiswahili ni kigumu au madhara ya ule uchawa wetu sasa. Unafiki au kujifanya waumini kindaki ndaki wa watu au wa vile vyama vyetu, tena kupindukia 😂😂.

"Magumu yetu" hiki ni kiswahili - si "yangu" au ya "yule" au "wale" peke yao.

"Yetu" - hapa ni wote sisi tusiokuwa walamba asali.

Au wewe ni mlamba asali ndugu?

Habari ndiyo hiyo.
 
Shida ni tukipata tunasahau hata ni nini kilitufanya tutafute
 
Shida ni tukipata tunasahau hata ni nini kilitufanya tutafute
Zama hubadilika. Mikakati hubadilika kutokana na yatokanayo.

Katika zama hizi wanahitajika viongozi wenye mikakati yenye kujibu yakiwamo haya:

Ninakazia: Bila organization hatuwezi kutoboa.
 
Nakazia ✍️✍️✍️
Ili next time wananchi wakiambiwa ni muhimu wapinzani kuwemo Bungeni waelewe, siyo kuleta zile kauli za kihuni kama:
'...wapinzani walituchelewesha sana...!'
Yule jamaa alikuwa na fix sana, nahisi atatumalizia Kuni huko aliko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha imekuwaje mnalialia tena? Si mnapumua nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…