Unategemea nini kwa Mahakama ambazo hazitoe hukumu mpaka zipewe maelekezo kutoka ikulu? CCM ni laana, ndiyo iliyotufikisha hapa. CCM imewafanya wananchi wote kuwa watumwa, haki za mwananchi zinadhulumiwa kuzidi hata wakati nchi ikiwa chini ya ukoloni!!