Mahakama kupitia Jaji Mkuu imjibu Makonda. Kukaa kimya wananchi wataamini asemayo

Tupende tusipende, Makonda amesema kweli. Na ajiandae kulipia gharama za kusema ukweli. Sio mahakama tu ambayo mambo hayaeleweki...ni karibu kila eneo. Wamemuacha muheshimiwa afanye kazi peke yake. Very disappointing
Udhaifu unaanzia au unetengenezwa na executive muhimili wa mama yenu mnae enda nae kama si kutembea nae .
 
Paul Makonda, Mwenezi wa CCM akiwa anazunguka nchi nzima kwa misafara mirefu kuliko kiongzi yeyote na kusikiliza kero na kuwalalamikia CCM wenzake kwa kutofanya kazi. Mwanzo alianza na kulalamikia CHADEMA, AKAJA KWA MBOWE SASA wana CCM wenzie.

Makonda amewaambia wananchi na kuwaagiza wasipeleke kesi mahakmani kwakuwa hawana hela kama yeye ili kununua haki na kwamba hata yeye alidhulumiwa nyumba masaki lakini akaona asiende mahakamani maana hatapata haki.

Juzi hapa Makonda alielimishwa na Mh AG Eliezer Feleshi ambaye kama watu hawajui FELESHI ndiye Mshauri mkuu wa Nchi ya Tanzania. Sasa Makonda kampanda kichwani, Mahalkama na AG, wamekaa kimya.

Hii kauli ya Makonda tunaweza kuitazama kwa angle nyingi lakini inauvua nguo mfumo wa haki nchini. Na unfortunately ni kauli ya kweli kabisa. Ndio, ni kauli ngumu lakini inaakisi tatizo la mfumo wetu wa utoaji haki.

Anachosema Makonda ni kuwa bila kuwa na pesa na connection, sahau HAKI. Ninachopingana na Makonda ni kuwa haki ipo serikalini, hii sio kweli. Wala serikali sio chombo cha kutoa haki, chombo cha haki ni mahakama/judiciary. Ni muhimili unaojitegemea. Tunahitaji kujenga mfumo wa mahakama ulio huru na unaosimamia kweli na usioegemea upande wowote. Rostam Aziz alisema kuhusu Mfumo wa mahakama kuwa umeoza akaambiwa akanushe Chap Sasa Mwenezi anaonesha panapovuja na ndio Uhalisia.

Mfumo ambao haki siyo upendeleo bali ni fursa inayoweza kupatikana na kila mtu. Ni muhimu sasa, zaidi ya wakati wowote, kutafuta suluhu na kufanya mahakama zetu kuwa huru.Mbona Kenya wanaweza? Hawa si ni wenzetu tu wa eneo hili la Afrika mashariki?

Makonda anasema mfumo wetu wa utoaji haki umeoza, inawezekana ni kweli. Basi turekebishe huo mfumo, tusiukimbie na kutengeneza mfumo mwingine. Hiyo sio solution.
Alicho kisema makonda kilipaswa kuongelewa na wapinzani, kukiongea yeye kinaweka sura mbaya kwa mama na serikali yake yenye mihimili mitatu na inaongizwa na chama chao.
 
Tupende tusipende, Makonda amesema kweli. Na ajiandae kulipia gharama za kusema ukweli. Sio mahakama tu ambayo mambo hayaeleweki...ni karibu kila eneo. Wamemuacha muheshimiwa afanye kazi peke yake. Very disappointing
Amekinanga chama chake kinacho ongoza serikali na mihimili yake
 
Paul Makonda, Mwenezi wa CCM akiwa anazunguka nchi nzima kwa misafara mirefu kuliko kiongzi yeyote na kusikiliza kero na kuwalalamikia CCM wenzake kwa kutofanya kazi. Mwanzo alianza na kulalamikia CHADEMA, AKAJA KWA MBOWE SASA wana CCM wenzie.

Makonda amewaambia wananchi na kuwaagiza wasipeleke kesi mahakmani kwakuwa hawana hela kama yeye ili kununua haki na kwamba hata yeye alidhulumiwa nyumba masaki lakini akaona asiende mahakamani maana hatapata haki.

Juzi hapa Makonda alielimishwa na Mh AG Eliezer Feleshi ambaye kama watu hawajui FELESHI ndiye Mshauri mkuu wa Nchi ya Tanzania. Sasa Makonda kampanda kichwani, Mahalkama na AG, wamekaa kimya.

Hii kauli ya Makonda tunaweza kuitazama kwa angle nyingi lakini inauvua nguo mfumo wa haki nchini. Na unfortunately ni kauli ya kweli kabisa. Ndio, ni kauli ngumu lakini inaakisi tatizo la mfumo wetu wa utoaji haki.

Anachosema Makonda ni kuwa bila kuwa na pesa na connection, sahau HAKI. Ninachopingana na Makonda ni kuwa haki ipo serikalini, hii sio kweli. Wala serikali sio chombo cha kutoa haki, chombo cha haki ni mahakama/judiciary. Ni muhimili unaojitegemea. Tunahitaji kujenga mfumo wa mahakama ulio huru na unaosimamia kweli na usioegemea upande wowote. Rostam Aziz alisema kuhusu Mfumo wa mahakama kuwa umeoza akaambiwa akanushe Chap Sasa Mwenezi anaonesha panapovuja na ndio Uhalisia.

Mfumo ambao haki siyo upendeleo bali ni fursa inayoweza kupatikana na kila mtu. Ni muhimu sasa, zaidi ya wakati wowote, kutafuta suluhu na kufanya mahakama zetu kuwa huru.Mbona Kenya wanaweza? Hawa si ni wenzetu tu wa eneo hili la Afrika mashariki?

Makonda anasema mfumo wetu wa utoaji haki umeoza, inawezekana ni kweli. Basi turekebishe huo mfumo, tusiukimbie na kutengeneza mfumo mwingine. Hiyo sio solution.
Rostam aziz alisema kiongozi wa serikali anaweza kumuagiza jaji kutoa uamuzi serikali inataka. Je inahusiana vipi na kauli ya makonda kusema mwananchi bila hela hapati haki mahakamani. Hapo naona ni upotoshaji tu wa kile anamaanisha makonda katika kuikodoa mahakama.
 
Kwenye hili nko upande wa mwenezi... mahakama ijitafakari... Mwenezi hajawahi toa point kubwa kuliko hii
Sema serikali ijitafakari kweni mahakama ni muhimili mmoja kati ya mihimili mitatu katika serikali inayoongozwa na CCM
 
Bado najiuliza kwa nini jaji mkuu alipewa extension ya miqka miwili wakati muda wake wa kupumzika ulishafika. Hamna mtu wa kuvaa ggatu vyake kati ya watanzania milioni 60??
 
Paul Makonda, Mwenezi wa CCM akiwa anazunguka nchi nzima kwa misafara mirefu kuliko kiongzi yeyote na kusikiliza kero na kuwalalamikia CCM wenzake kwa kutofanya kazi. Mwanzo alianza na kulalamikia CHADEMA, AKAJA KWA MBOWE SASA wana CCM wenzie.

Makonda amewaambia wananchi na kuwaagiza wasipeleke kesi mahakmani kwakuwa hawana hela kama yeye ili kununua haki na kwamba hata yeye alidhulumiwa nyumba masaki lakini akaona asiende mahakamani maana hatapata haki.

Juzi hapa Makonda alielimishwa na Mh AG Eliezer Feleshi ambaye kama watu hawajui FELESHI ndiye Mshauri mkuu wa Nchi ya Tanzania. Sasa Makonda kampanda kichwani, Mahalkama na AG, wamekaa kimya.

Hii kauli ya Makonda tunaweza kuitazama kwa angle nyingi lakini inauvua nguo mfumo wa haki nchini. Na unfortunately ni kauli ya kweli kabisa. Ndio, ni kauli ngumu lakini inaakisi tatizo la mfumo wetu wa utoaji haki.

Anachosema Makonda ni kuwa bila kuwa na pesa na connection, sahau HAKI. Ninachopingana na Makonda ni kuwa haki ipo serikalini, hii sio kweli. Wala serikali sio chombo cha kutoa haki, chombo cha haki ni mahakama/judiciary. Ni muhimili unaojitegemea. Tunahitaji kujenga mfumo wa mahakama ulio huru na unaosimamia kweli na usioegemea upande wowote. Rostam Aziz alisema kuhusu Mfumo wa mahakama kuwa umeoza akaambiwa akanushe Chap Sasa Mwenezi anaonesha panapovuja na ndio Uhalisia.

Mfumo ambao haki siyo upendeleo bali ni fursa inayoweza kupatikana na kila mtu. Ni muhimu sasa, zaidi ya wakati wowote, kutafuta suluhu na kufanya mahakama zetu kuwa huru.Mbona Kenya wanaweza? Hawa si ni wenzetu tu wa eneo hili la Afrika mashariki?

Makonda anasema mfumo wetu wa utoaji haki umeoza, inawezekana ni kweli. Basi turekebishe huo mfumo, tusiukimbie na kutengeneza mfumo mwingine. Hiyo sio solution.
Makonda yupo vizuri amewashauri vizuri watu kuwa kutokana na mfumo wetu wa utoaji haki ukiwa maskini ni vigumu sana kupata haki yako. Hii ndiyo sababu watu wanalilia katiba mpya ili uhuru wa watu uwe na thamani. Makonda ni mzoefu ktk nyanja zote, kisisa na kiutendaji serikalini anajua vizuri sana mambo ya navyoendeshwa na kusema kweli mifumo imekufa, Mty anaweza kukaa mahabusu hata miaka kumi na Jaji anaona sawa tu.
 
Rostam Azizi alisema mahakama za bongo ni utopolo, maamuzi yote yanatoka juu majaji wapo kama pambo tu.
 
Kwanza alikuwa Rostam Aziz.

Pili Paul Makonda.

Tunahitaji mtu wa tatu kukamilisha Utatu Mtakatifu wa Ian Fleming hapo.
 
Ki ukweli mahakamani haki hakuna. Simkubali Makonda na mambo yake ila kwenye hili yupo sawa kabisa.
 
Mahakama waliimaliza wenyewe CCM sasa wanaona kila mtu analia wana tafuta pa kujificha. Anafahamu CCM haijawahi kupendwa lakini vijana chungu mzima wanao tafuta ajira wana kadi za unanchama wa ccm.
 
Sasa tunajua hasara za kukaa gizani. Ukikosa upinzani bungeni na mabarazani, ukakosa uhuru wa habari, ukakosa wana harakati huru, unastawisha CHAWA kila mahali.

- Sasa tunajua wananchi wanaona bora dikteta kuliko demokrasia, yaani bora shibe ya gerezani kuliko njaa ya uraiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupende tusipende, Makonda amesema kweli. Na ajiandae kulipia gharama za kusema ukweli. Sio mahakama tu ambayo mambo hayaeleweki...ni karibu kila eneo. Wamemuacha muheshimiwa afanye kazi peke yake. Very disappointing
Jamii isiyo staarsbika haihitaji uhuru wote.
 
Kifuatacho Makonda atakuja ropoka kuwa "sio kila asemacho Rais ni kweli nyie msikilizeni zaidi Mwenyekiti wa CCM mama yetu Samia"
Kisha washabiki wake watamshangilia.
This man is totally confused.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Paul Makonda, Mwenezi wa CCM akiwa anazunguka nchi nzima kwa misafara mirefu kuliko kiongzi yeyote na kusikiliza kero na kuwalalamikia CCM wenzake kwa kutofanya kazi. Mwanzo alianza na kulalamikia CHADEMA, AKAJA KWA MBOWE SASA wana CCM wenzie.

Makonda amewaambia wananchi na kuwaagiza wasipeleke kesi mahakmani kwakuwa hawana hela kama yeye ili kununua haki na kwamba hata yeye alidhulumiwa nyumba masaki lakini akaona asiende mahakamani maana hatapata haki.

Juzi hapa Makonda alielimishwa na Mh AG Eliezer Feleshi ambaye kama watu hawajui FELESHI ndiye Mshauri mkuu wa Nchi ya Tanzania. Sasa Makonda kampanda kichwani, Mahalkama na AG, wamekaa kimya.

Hii kauli ya Makonda tunaweza kuitazama kwa angle nyingi lakini inauvua nguo mfumo wa haki nchini. Na unfortunately ni kauli ya kweli kabisa. Ndio, ni kauli ngumu lakini inaakisi tatizo la mfumo wetu wa utoaji haki.

Anachosema Makonda ni kuwa bila kuwa na pesa na connection, sahau HAKI. Ninachopingana na Makonda ni kuwa haki ipo serikalini, hii sio kweli. Wala serikali sio chombo cha kutoa haki, chombo cha haki ni mahakama/judiciary. Ni muhimili unaojitegemea. Tunahitaji kujenga mfumo wa mahakama ulio huru na unaosimamia kweli na usioegemea upande wowote. Rostam Aziz alisema kuhusu Mfumo wa mahakama kuwa umeoza akaambiwa akanushe Chap Sasa Mwenezi anaonesha panapovuja na ndio Uhalisia.

Mfumo ambao haki siyo upendeleo bali ni fursa inayoweza kupatikana na kila mtu. Ni muhimu sasa, zaidi ya wakati wowote, kutafuta suluhu na kufanya mahakama zetu kuwa huru.Mbona Kenya wanaweza? Hawa si ni wenzetu tu wa eneo hili la Afrika mashariki?

Makonda anasema mfumo wetu wa utoaji haki umeoza, inawezekana ni kweli. Basi turekebishe huo mfumo, tusiukimbie na kutengeneza mfumo mwingine. Hiyo sio solution.

Pia Soma:
- Paul Makonda: Maskini Ukizulumiwa Haki Usikimbilie Mahakamani" Mahakama Wajitafakari

Kwani asemayo ni uongo? Kosa lake ni kusema akiwa ccm, ila anachosema ni ukweli, kuna watu wangapi wanamlalamikia huko nje na issue zao zilikuwa rahisi tu za kimahakama?
 
Back
Top Bottom