Mahakama kupitia Jaji Mkuu imjibu Makonda. Kukaa kimya wananchi wataamini asemayo

Paul Makonda, Mwenezi wa CCM akiwa anazunguka nchi nzima kwa misafara mirefu kuliko kiongzi yeyote na kusikiliza kero na kuwalalamikia CCM wenzake kwa kutofanya kazi. Mwanzo alianza na kulalamikia CHADEMA, AKAJA KWA MBOWE SASA wana CCM wenzie.

Makonda amewaambia wananchi na kuwaagiza wasipeleke kesi mahakmani kwakuwa hawana hela kama yeye ili kununua haki na kwamba hata yeye alidhulumiwa nyumba masaki lakini akaona asiende mahakamani maana hatapata haki.

Juzi hapa Makonda alielimishwa na Mh AG Eliezer Feleshi ambaye kama watu hawajui FELESHI ndiye Mshauri mkuu wa Nchi ya Tanzania. Sasa Makonda kampanda kichwani, Mahalkama na AG, wamekaa kimya.

Hii kauli ya Makonda tunaweza kuitazama kwa angle nyingi lakini inauvua nguo mfumo wa haki nchini. Na unfortunately ni kauli ya kweli kabisa. Ndio, ni kauli ngumu lakini inaakisi tatizo la mfumo wetu wa utoaji haki.

Anachosema Makonda ni kuwa bila kuwa na pesa na connection, sahau HAKI. Ninachopingana na Makonda ni kuwa haki ipo serikalini, hii sio kweli. Wala serikali sio chombo cha kutoa haki, chombo cha haki ni mahakama/judiciary. Ni muhimili unaojitegemea. Tunahitaji kujenga mfumo wa mahakama ulio huru na unaosimamia kweli na usioegemea upande wowote. Rostam Aziz alisema kuhusu Mfumo wa mahakama kuwa umeoza akaambiwa akanushe Chap Sasa Mwenezi anaonesha panapovuja na ndio Uhalisia.

Mfumo ambao haki siyo upendeleo bali ni fursa inayoweza kupatikana na kila mtu. Ni muhimu sasa, zaidi ya wakati wowote, kutafuta suluhu na kufanya mahakama zetu kuwa huru.Mbona Kenya wanaweza? Hawa si ni wenzetu tu wa eneo hili la Afrika mashariki?

Makonda anasema mfumo wetu wa utoaji haki umeoza, inawezekana ni kweli. Basi turekebishe huo mfumo, tusiukimbie na kutengeneza mfumo mwingine. Hiyo sio solution.

Pia Soma:
- Paul Makonda: Maskini Ukizulumiwa Haki Usikimbilie Mahakamani" Mahakama Wajitafakari
Jaji Mkuu mwenyewe sasa
 
Paul Makonda anaamsha Agenda muhimu ya changamoto zilizopo kwny Vyombo vya sheria

badala ya kujadili agenda husika watu wanaanza kumjadili Makonda

hivi kweli unamhitaji Paul kujua kuwa kuwa Masikini hapa nchini ni tiketi ya kukosa haki yako kwny vyombo vya sheria ?

Paul Makonda ni Mwanasiasa mahiri sana kwny uamshaji wa mijadala lakini bahati mbaya yupo zama za uchawa badala ya watu kujadili hoja husika wanamjadili Yeye

Huenda Paul hadi kwa sasa ndio Katibu Mwenezi bora na mwenye Mvuto kuliko waliowahi kutokea tangu kuanzishwa kwa hiki cheo
 
Mahakama ni mhimili wa dols unaojitegemea na sio waajiriwa wa serikali
We jamaa hujaelewa kabisa nilichokwambia sasa nataka uniambie Jaji Mkuu, Majaji na Mahakimu nani anatoa idhini ya kuwapa hivyo vyeo mpaka Mwanasheria Mkuu wa Serekali boss wake ni nani? Hio Civics Mbwembwe tu Si imeandikwa kwenye Katiba Mahakama sio chombo huru IPO chini ya Serekali wanaajiriwa wote wa Mahakama kuanzia CJ na wengine wote wanaomfuatia wapo chini ya Serekali kasome vizuri Civics yako ya Form 2, Mahakama haipo huru mbele ya Serekali kwanini? Kwa sababu Serekali IPO juu ya Mahakama mifano IPO ukitaka chunguza utagundua, utaambiwa tu kuna mihimili ya mitatu Serekali inayojitegemea Ila sio kweli kwamba Mahakama inajitegemea yenyewe Mahakama haijitegemei Mahakama IPO chini ya Serekali
 
Paul Makonda, Mwenezi wa CCM akiwa anazunguka nchi nzima kwa misafara mirefu kuliko kiongozi yeyote na kusikiliza kero na kuwalalamikia CCM wenzake kwa kutofanya kazi. Mwanzo alianza na kulalamikia CHADEMA, AKAJA KWA MBOWE SASA wana CCM wenzie.

Makonda amewaambia wananchi na kuwaagiza wasipeleke kesi Mahakmani kwakuwa hawana hela kama yeye ili kununua haki na kwamba hata yeye alidhulumiwa nyumba lakini akaona asiende mahakamani maana hatapata haki.

Juzi hapa Makonda alielimishwa na Mh AG Eliezer Feleshi ambaye kama watu hawajui FELESHI ndiye Mshauri Mkuu wa Nchi ya Tanzania. Sasa Makonda kampanda kichwani, Mahakama na AG, wamekaa kimya.

Hii kauli ya Makonda tunaweza kuitazama kwa angle nyingi lakini inauvua nguo mfumo wa haki nchini.

Na unfortunately ni kauli ya kweli kabisa. Ndio, ni kauli ngumu lakini inaakisi tatizo la mfumo wetu wa utoaji haki.

Anachosema Makonda ni kuwa bila kuwa na pesa na connection, sahau HAKI.

Ninachopingana na Makonda ni kuwa haki ipo serikalini, hii sio kweli. Wala serikali sio chombo cha kutoa haki, chombo cha haki ni mahakama/judiciary. Ni muhimili unaojitegemea.

Tunahitaji kujenga mfumo wa mahakama ulio huru na unaosimamia kweli na usioegemea upande wowote.

Rostam Aziz alisema kuhusu Mfumo wa Mahakama kuwa umeoza akaambiwa akanushe chap sasa Mwenezi anaonesha panapovuja na ndio Uhalisia.

Mfumo ambao haki siyo upendeleo bali ni fursa inayoweza kupatikana na kila mtu. Ni muhimu sasa, zaidi ya wakati wowote, kutafuta suluhu na kufanya mahakama zetu kuwa huru. Mbona Kenya wanaweza? Hawa si ni wenzetu tu wa eneo hili la Afrika Mashariki?

Makonda anasema mfumo wetu wa utoaji haki umeoza, inawezekana ni kweli. Basi turekebishe huo mfumo, tusiukimbie na kutengeneza mfumo mwingine. Hiyo sio solution.

Pia Soma:
- Paul Makonda: Maskini Ukizulumiwa Haki Usikimbilie Mahakamani" Mahakama Wajitafakari
Professor Ibrahim Juma Jaji Mkuu wa Tanzania hana ubavu wa kumjibu Makonda yeye mwenyewe yupo hapo kinyume cha Katiba hivyo anajua anafadhiliwa na CCM kwa malengo wanayoyajua .
 
Inasikirtisha sana mtu anayekula shahara mkubwa, watoto washasoma, upo na mke tu na mke ana wadhifa mkubwa TAMISEMI, mna mafao kwa mwezi mkijumlisjha si chini ya milioni 10, una gari la kustaafu, nyumba na mshahatra 80% ya jaji aliyeko madarakani.
 
Haki inapatikana mbinguni tu, hapa duniani hakuna mtu msafi wa kutoa haki. Wote wachafu, kama sio mla rushwa basi atakuwa mzinzi, muonevu, wana vimada kibao uzinzi mtupu!!!

Haki hutolewa na mtu msafi asiye na makando kando.

Sasa nani msafi? Kuna wazinzi, wasaliti wa ndoa zao, waonevu, watesi n.k, hao ndio binaadamu, ukiwatizama usoni kama wema kweli lakini ni waovu balaa,
kila mtu ana vimada wa pembeni nje na ndoa,
Sote tujirekebishe tuwe wasafi ili tuwaokoe wananchi.
 
Kama kazi yake ni kutoa haki halafu hakitoi kina tofauti gani na genge la wahuni?
Kama kuna chama ambacho ndicho kimeunda serikali na kinachopaswa kuisimamia serikali na hakifanyi hivyo,hicho ni chama cha siasa au ni genge la wahuni!!??
 
Paul Makonda, Mwenezi wa CCM akiwa anazunguka nchi nzima kwa misafara mirefu kuliko kiongozi yeyote na kusikiliza kero na kuwalalamikia CCM wenzake kwa kutofanya kazi. Mwanzo alianza na kulalamikia CHADEMA, AKAJA KWA MBOWE SASA wana CCM wenzie.

Makonda amewaambia wananchi na kuwaagiza wasipeleke kesi Mahakmani kwakuwa hawana hela kama yeye ili kununua haki na kwamba hata yeye alidhulumiwa nyumba lakini akaona asiende mahakamani maana hatapata haki.

Juzi hapa Makonda alielimishwa na Mh AG Eliezer Feleshi ambaye kama watu hawajui FELESHI ndiye Mshauri Mkuu wa Nchi ya Tanzania. Sasa Makonda kampanda kichwani, Mahakama na AG, wamekaa kimya.

Hii kauli ya Makonda tunaweza kuitazama kwa angle nyingi lakini inauvua nguo mfumo wa haki nchini.

Na unfortunately ni kauli ya kweli kabisa. Ndio, ni kauli ngumu lakini inaakisi tatizo la mfumo wetu wa utoaji haki.

Anachosema Makonda ni kuwa bila kuwa na pesa na connection, sahau HAKI hasa kwenye mahaama. Yeye anaamini anazidiwa fedha na GSM ndio maana nyumba ya masaki kasamehe.

Ninachopingana na Makonda ni kuwa haki ipo serikalini, hii sio kweli. Wala serikali sio chombo cha kutoa haki, chombo cha haki ni mahakama/judiciary. Ni muhimili unaojitegemea.

Tunahitaji kujenga mfumo wa mahakama ulio huru na unaosimamia kweli na usioegemea upande wowote.

Rostam Aziz alisema kuhusu Mfumo wa Mahakama kuwa umeoza akaambiwa akanushe chap sasa Mwenezi anaonesha panapovuja na ndio Uhalisia.

Mfumo ambao haki siyo upendeleo bali ni fursa inayoweza kupatikana na kila mtu. Ni muhimu sasa, zaidi ya wakati wowote, kutafuta suluhu na kufanya mahakama zetu kuwa huru. Mbona Kenya wanaweza? Hawa si ni wenzetu tu wa eneo hili la Afrika Mashariki?

Makonda anasema mfumo wetu wa utoaji haki umeoza, inawezekana ni kweli. Basi turekebishe huo mfumo, tusiukimbie na kutengeneza mfumo mwingine. Hiyo sio solution.

Pia Soma:
- Paul Makonda: Maskini Ukizulumiwa Haki Usikimbilie Mahakamani" Mahakama Wajitafakari

Umewahi kukutwa na case yoyote Mahakamani? Au ndugu yako amewahi kukutwa na kosa lolote?

Kama bado ndio maana ujaelewa hoja ya makonda
 
Makond ni Abunuasi anayekata tawi la mti alilokalia lakini kuna uweli kwenye baadhi ya mambo anayoongea, hasa hili la utoaji haki hapa nchini. Hata saa mbovu kuna wakati husema ukweli.
 
Mahakama iliharibika zaidi kipindi cha mwenda zake, ila mpaka sasa mahakama ya Rufaa majaji bado wanajitahidi sana ila mpaka ufike huko tayari umeshakaa ndani au mda umepita ile mbaya
 
Unasemaje na kutolea mfano wa kenya wakati hapo majuzi tu Rais wao Mh William Ruto alipinga maamuzi ya mahakama na kusema kuwa mahakama zinapindisha sheria na hivyo hata fuata amri zao?

Mimi nipo nasimama na mzalendo wa kweli wa Taifa letu ,msema kweli,kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara na Rais mtarajiwa kuanzia
2030 Mheshimiwaa Paul Christian Makonda.
Huyu huyu aliyezuiwa kwenda nchi za watu, kwa kuwanyima wadanganyika haki ya kuishi au kuna mwingine.
Maigizo ya karne, mtu aliyekuwa anaratibu wasiojulikana, eti ndiye jaji wa watu waliotekwa.
Na mazuzu yanashangilia, only in Tanzagiza.

Sent from my TECNO CK7n using JamiiForums mobile app
 
Kwani kasema uongo, kuanzia serikali kuu, bunge na mahakama...hakuna kitu!!
 
Back
Top Bottom