Mahakama kupitia Jaji Mkuu imjibu Makonda. Kukaa kimya wananchi wataamini asemayo

Tupende tusipende, Makonda amesema kweli. Na ajiandae kulipia gharama za kusema ukweli. Sio mahakama tu ambayo mambo hayaeleweki...ni karibu kila eneo. Wamemuacha muheshimiwa afanye kazi peke yake. Very disappointing
Udhaifu unaanzia au unetengenezwa na executive muhimili wa mama yenu mnae enda nae kama si kutembea nae .
 
Alicho kisema makonda kilipaswa kuongelewa na wapinzani, kukiongea yeye kinaweka sura mbaya kwa mama na serikali yake yenye mihimili mitatu na inaongizwa na chama chao.
 
Tupende tusipende, Makonda amesema kweli. Na ajiandae kulipia gharama za kusema ukweli. Sio mahakama tu ambayo mambo hayaeleweki...ni karibu kila eneo. Wamemuacha muheshimiwa afanye kazi peke yake. Very disappointing
Amekinanga chama chake kinacho ongoza serikali na mihimili yake
 
Rostam aziz alisema kiongozi wa serikali anaweza kumuagiza jaji kutoa uamuzi serikali inataka. Je inahusiana vipi na kauli ya makonda kusema mwananchi bila hela hapati haki mahakamani. Hapo naona ni upotoshaji tu wa kile anamaanisha makonda katika kuikodoa mahakama.
 
Kwenye hili nko upande wa mwenezi... mahakama ijitafakari... Mwenezi hajawahi toa point kubwa kuliko hii
Sema serikali ijitafakari kweni mahakama ni muhimili mmoja kati ya mihimili mitatu katika serikali inayoongozwa na CCM
 
Bado najiuliza kwa nini jaji mkuu alipewa extension ya miqka miwili wakati muda wake wa kupumzika ulishafika. Hamna mtu wa kuvaa ggatu vyake kati ya watanzania milioni 60??
 
Makonda yupo vizuri amewashauri vizuri watu kuwa kutokana na mfumo wetu wa utoaji haki ukiwa maskini ni vigumu sana kupata haki yako. Hii ndiyo sababu watu wanalilia katiba mpya ili uhuru wa watu uwe na thamani. Makonda ni mzoefu ktk nyanja zote, kisisa na kiutendaji serikalini anajua vizuri sana mambo ya navyoendeshwa na kusema kweli mifumo imekufa, Mty anaweza kukaa mahabusu hata miaka kumi na Jaji anaona sawa tu.
 
Rostam Azizi alisema mahakama za bongo ni utopolo, maamuzi yote yanatoka juu majaji wapo kama pambo tu.
 
Kwanza alikuwa Rostam Aziz.

Pili Paul Makonda.

Tunahitaji mtu wa tatu kukamilisha Utatu Mtakatifu wa Ian Fleming hapo.
 
Ki ukweli mahakamani haki hakuna. Simkubali Makonda na mambo yake ila kwenye hili yupo sawa kabisa.
 
Mahakama waliimaliza wenyewe CCM sasa wanaona kila mtu analia wana tafuta pa kujificha. Anafahamu CCM haijawahi kupendwa lakini vijana chungu mzima wanao tafuta ajira wana kadi za unanchama wa ccm.
 
Kwani Jaji Mfawidhi, Jaji Mkuu Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, anasema nini kuhusu hili?
Yeye mara nyingi maboresho yake huwa yamejikita katika majengo bora[emoji16], msikilize nyakati zote akizungumzia maboresho utaona ni majengo tu.
 
Sasa tunajua hasara za kukaa gizani. Ukikosa upinzani bungeni na mabarazani, ukakosa uhuru wa habari, ukakosa wana harakati huru, unastawisha CHAWA kila mahali.

- Sasa tunajua wananchi wanaona bora dikteta kuliko demokrasia, yaani bora shibe ya gerezani kuliko njaa ya uraiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupende tusipende, Makonda amesema kweli. Na ajiandae kulipia gharama za kusema ukweli. Sio mahakama tu ambayo mambo hayaeleweki...ni karibu kila eneo. Wamemuacha muheshimiwa afanye kazi peke yake. Very disappointing
Jamii isiyo staarsbika haihitaji uhuru wote.
 
Kifuatacho Makonda atakuja ropoka kuwa "sio kila asemacho Rais ni kweli nyie msikilizeni zaidi Mwenyekiti wa CCM mama yetu Samia"
Kisha washabiki wake watamshangilia.
This man is totally confused.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 


Kwani asemayo ni uongo? Kosa lake ni kusema akiwa ccm, ila anachosema ni ukweli, kuna watu wangapi wanamlalamikia huko nje na issue zao zilikuwa rahisi tu za kimahakama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…