Mahakama kupitia Jaji Mkuu imjibu Makonda. Kukaa kimya wananchi wataamini asemayo

Kama wewe ni jaji ebu jaribuni kutenda haki acha maneno mengi! Makonda yupo sahihi kabisa.
 
Hili la mahakama hata marehemu Magufuli alishawapiga nyundo sema kwa lugha ya kiuongozi tu namna wanavyoshughulikia kesi za watu na kutoa hukumu.
 
Kama wewe ni jaji ebu jaribuni kutenda haki acha maneno mengi! Makonda yupo sahihi kabisa.
Hayupo sahihi, Vijana UVCCM acheni mihemko?
Hivi ikitokea unatoka kuoga hapo kwenye nyumba yenu ya urithi unapoishi na shemejiyo, unafika chumbani unatoa taulo, ghafla anakuja binti wa kaka yako amevaa kanga moja, anakuomba nauli aende matembezi mliman city , ghafla mamayake anakuja chumbani anapiga kelele umebaka binti , binti kwa woga anasem aumembaka, wananchi wanakubonda na mawe wewe ni mbakaji kwakuwa wakikupeleka mahakamani hakuna haki, hii itakuwa sawa?
 
Jaji Mkuu kumjibu makonda itakuwa ni kujidhalilisha , hapa labda Jaji Kiongozi au TLS au mrajisi wa mahakama Kuu
 
Huwa nashangaa eti mahakama nao wanaomba bajeti serikalini wakati hakuna kazi wanafanya ni aibuuu saaana kwa mahakama hawana historia yoyote ya kazi waliofanya badala ya kazi kudhurumu masikini.
 
Walengwa ni Mawakili, wao ndiyo wamjibu Makonda, maana kasema wananunuliwa na upande pinzani, kuvuruga haki, Mawakili wa Tz siyo sawa na Kenya watakaa kimya kama kondoo tu, juzi tu wakili Tabora kaenda kituoni kufuatilia mteja wake kawekwa ndani, mawakili kimyaaaaa! Sheria sasa ni fani imejaa vilaza wengi tofauti na zamani.
 
Inaonekana makonda ana nguvu zaidi ya huo muhimili🙄
 
UVCCM mnawashwa!
Wakili anaandika hukumu?
Wakili anachukua ushahidi?
Wakili anapokea vielelezo?
Akinunuliwa na upande wa pili, kama UVCCM mlivyozoea kwenye tume za chaguzi, hakuna nafasi ya rufaa?
 
Nilikuwa na kesi ya nyumba ikapigwa tarehe miezi mitatu baada ya hapo ikapigwa miezi sita baadaye.
Nikazunguka mbuyu ndani ya wiki mbili nilikuwa na removal order na police escort juu.
NB ni miaka kumi nabili iliopita
 
Mkuu,
Watu wa Kenya usiwaongelee kwenye huu ukanda, mfumo wao wa mahakama uko vzr sana.
Katika hilo sakata, angalia hata namna Jaji mkuu anavyomwambia hazarani Rais athibitishe hoja yake. Unahisi Jaji mkuu wa kwetu anaweza kujibizana na Rais kwa hapa kwetu? Huo ndio utofauti mkubwa uliopo, na mabishano ya Jaji mkuu na Rais wa Kenya yanatosha sana kutuonesha kwamba Jaji hakumpendelea Rais Ruto wakati wa kesi ya kupinga matokeo dhidi ya Raila.
 
Ukweli ndo huo,tukisema wasomi wa Nchi hii ni sifuri bibi sifuri mnaanza oo tumewadharau.
Kiko wapi😜.
Makonda sio chizi mjue.

Ndo wajue wakuu wa taasisi,kujilekebisha na kuacha kujifungamanisha na vyama vya siasa.
Kutwa kutaka kumfulahisha mteuzi na kuenjoy kamshahara.
Matokeo yake ndo hayo.wanavuliwa nguo kwenye kadamnasi.
Unang'ang'ania cheo na mshahara Kwa kumsujudia kayafa kana kwamba bila hiyo kazi huwezi kuishi😄😄😄.
Kama Kuna mbwa yeyote atabweka juu ya makonda😅.Nipo pale nimekaa.

Mfumo umebebwa na wajinga wajinga,waoga wa kutetea heshma.
Polisi wao walishakubali yaishe.
Maana hawana tofauti na Greenguard,labda maokoto🤣🤣🤣.
Ukweli ndo huo,kasema makonda.
Abweke hata mmoja tuone dadeki.
Nabado hiyo ndo Ccm.
Najua makonda upo humu,endelea hivyo hivyo mpaka basi,maana hawana Cha kukufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…