Mahakama Kuu yafuta mashtaka 14 kati ya 25 ya Masheikh wa Uamusho

Hofu kuvunjika Muungano ilifanya utawala wa JAKAYA uwadhulumu haki yao hawa ma Sheikh
 
Huko Zanzibar ufanywe ugaidi Kwa maslahi ya Nani?.
Kwa maslai ya wazanzibari Zanzibar iliungana na tanzania baada ya mapinduzi ndani ya miezi mitatu tu motive ilikua ni kujihakikishia ulinzi... sio wazanzibar wote wanapenda na kumbuka zanzibar ulikua ni mji mkuu wa OMAN 🇴🇲
 
Kesi sahihi wanayotakiwa wapewe NI KUTAKA kufanya mapinduzi au UHAINI.
LAKINI SIO UGAIDI.
Usifanye mchezo na ugaidi
Kwa maslai ya wazanzibari Zanzibar iliungana na tanzania baada ya mapinduzi ndani ya miezi mitatu tu motive ilikua ni kujihakikishia ulinzi... sio wazanzibar wote wanapenda na kumbuka zanzibar ulikua ni mji mkuu wa OMAN [emoji1190]
 

Labda wenye hela ndio zao lake. Hawa jamaa sijui walifanya nini
 
Kesi sahihi wanayotakiwa wapewe NI KUTAKA kufanya mapinduzi au UHAINI.
LAKINI SIO UGAIDI.
Usifanye mchezo na ugaidi
Angalia hii scenario alafu uniambie:
Kampuni moja kutoka nchi A “ inatoa misaada ya ujenzi wa nyumba za ibada pamoja na ujenzi wa visima misaada hii inaingizwa kwa bwana mmoja jina john huyu john anatumia hizi fedha kutengeneza nyumba za ibada wakati huohuo anamfadhili OMAR ambae na circle ⭕️ za vijana wakujitoa mhanga na kuteka watu wa dini nyingine ambao wanaona kana kwamba wamevamia nchi yao hawavijana hawamjui John na baadhi yao hawamjui Omari... wanafanya tukio lakujitoa mhanga watu wanakufa ... ukisema umkamate omari umpeleke mahakamani ushahidi wa kumtia hatiani haupo lakini intelligensia inaonyesha kwamba John ndio chanzo je utamuacha kwa sababu huna ushahidi? Na ili hali unajua ni tishio kwa usalama wa Taifa
Kinachotokea ndio hicho una m-terminate au unamfunga without trial
 
Labda wenye hela ndio zao lake. Hawa jamaa sijui walifanya nini

Kwa kutowatendea haki wowote wale akiwa kwenye nafasi hiyo mwendazake hawezi kukwepa lawama.

Hii ni kama ambavyo leo mama Samia hatakwepa lawama akiamua kupuuzia miito ya wazi inayosikika mno yakuhitajika haki kwa watu.
 
Kwanini Shein aliwaleta huku bara?
Znz si Kuna magereza Tena nasikia kila ijumaa watuhumiwa wanakula Mandi ya mbuzi
 
Ila wakatulie sasa . hatutaki kusikia visa vya kumwagia watu tindikali
 
Mimi nimeshuhudia kwa macho ..sijahadithiwa!!

Ningeongea lakini sihitaji malumbano Na waja wa M/Mungu humu!!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Allahu Akbar, ALlahu Akbar, Allahu AKbar
Allahumma Swalli alaa Sayyid naa Muhammad ,Waalaa Aali muhammad.
Alhamdu li laah Wahda.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah umeongea ukweli mkali sana kiongozi
 
Unaweza ukamsikia Mtu mzima wa Kiafrika akisema Haleluya! Haleluya! mbele ya ya Waafrika wenzake wakati sisi sio Waebrania.

Mkuu una hoja tena ikibidi ifungulie uzi tujadiliane.
Haleluya ni kiswahili, hallelujah sio kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…