Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Ikifikia fatma kutoa mchango wa kumhudumia lishe mnistue kuna hela haina kazi ntaitoa
 
Ndoto zingine ni upuuzi mtupu
 
Hahaha nadhani shangazi achukue tu zote zitakazopatikana nyingine asamehe.
 
Duh! Billioni 7.5 atazipatia wapi jameni?!
Mtoto wa Karume uwe na roho ya kusamehe, inatosha!.
afadhali ungemdai fidia ya sh.1!! na kisha aombe radhi hadharani kama alivyo fanya Msigwa alipo shitakiwa na Kinana.
 
Hivi shauri likoje mtu yupo bara na hukumu imetoka Zanzibar? Au kama masheikh wa uamsho tuu?
 
Hapa duniani kuna nchi inaitwa Zanzibar?
 
Musiba Cyprian.. alijua Sponsor ni zaidi ya Mungu. Sponsor alishachomoka labda wapige mnada mali zake maana Mtumwa alifanya kazi yake Kwa Boss..
 
Kujidai wakati mwingine noouma,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…