Tunamwachia Muumba. Magu alijifanya ngangari mwisho katumbukia shimoni.
Kama MWENYEZI MUNGU alivyoshugulika na Meko..sasa tunaomba ashugulike na Ndugai..AMEN.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama MWENYEZI MUNGU alivyoshugulika na Meko..sasa tunaomba ashugulike na Ndugai..AMEN.
Habari za chadema ziko kila mahali. Watumishi wake tumejaa kila kona.Basi mwenzio huwa napata breaking news zote kuhusu CHADEMA humu JF kupitia mabandiko yako wewe tu.
Ndo kusema CHADEMA inatumia waandishi wa JF kutufikishia habari zao za mototo hapa JF? Au wewe unajitolea tu?
Kuna nuru gizani.Haki ni kama nuru haiwezi kushindwa na giza.
Acha ushetani wako hata kama ni Afisa Habari tatizo lipo wapi?wewe soma hoja yake na upo huru kuchangia au laErythrocyte kwanini uliniita muongo niliposema wewe ndo Afisa Habari wa CHADEMA humu JF?
Ni Mungu tuSaa nyingine nawaza au "system" iliona Mwendazake anaipeleka nchi kusiko, ikamtema?
Watu wameteswa bila sababu za msingi bali uoga tu
AminaHabari za chadema ziko kila mahali. Watumishi wake tumejaa kila kona.
Mkuu hakuwa na lengo baya , ni mtu wetuAcha ushetani wako hata kama ni Afisa Habari tatizo lipo wapi?wewe soma hoja yake na upo huru kuchangia au la
Kuna kitu sijaelewa vizuri: kesi iliyoamriwa na ambayo wafuasi wa Chadema Bukoba walishangilia ni IPI?-Kalumna na wenzake kushinda kesi iliyokuwa ikiwakabili ya shambulio na kuharibu Mali tu au pamoja na kesi ya Kalumuna kupinga ushindi wa mbunge wa CCM Bukoba mjini?Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani.
Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa Mgombea ubunge wa Chadema Kalumuna kushinda kesi ya uongo aliyobambikiwa.
=====
Mahakama ya wilaya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Bukoba mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Chif Karumuna na wafuasi wengine 6 wa chama hicho waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka 8 likiwemo la kushambulia na kudhuru mwili wa askari polisi SSP Babu Sanare baada ya mahakama kutilia shaka hoja za ushahidi upande wa jamhuri.
Wafuasi hao wa CHADEMA walishitakiwa baada ya kutokea vurugu katika uwanja wa Kaitaba kulipokuwa kunafanyika zoezi la kuwaapisha wakala,wagombea udiwani na ubunge.
kuharibu maliKuna kitu sijaelewa vizuri: kesi iliyoamriwa na ambayo wafuasi wa Chadema Bukoba walishangilia ni IPI?-Kalumna na wenzake kushinda kesi iliyokuwa ikiwakabili ya shambulio na kuharibu Mali tu au pamoja na kesi ya Kalumuna kupinga ushindi wa mbunge wa CCM Bukoba mjini?
Kwa kuandika maneno haya ndo tayari umetekeleza uhuru wako wa kuchangia hoja ya mtoa mada au hoja yangu?Acha ushetani wako hata kama ni Afisa Habari tatizo lipo wapi?wewe soma hoja yake na upo huru kuchangia au la