Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba Mjini (CHADEMA), Chief Kalumuna na wenzake 6

Basi mwenzio huwa napata breaking news zote kuhusu CHADEMA humu JF kupitia mabandiko yako wewe tu.

Ndo kusema CHADEMA inatumia waandishi wa JF kutufikishia habari zao za mototo hapa JF? Au wewe unajitolea tu?
Habari za chadema ziko kila mahali. Watumishi wake tumejaa kila kona.
 
Erythrocyte kwanini uliniita muongo niliposema wewe ndo Afisa Habari wa CHADEMA humu JF?
Acha ushetani wako hata kama ni Afisa Habari tatizo lipo wapi?wewe soma hoja yake na upo huru kuchangia au la
 
Masele wa Shinyanga mjini naye arudishiwe ubunge alioporwa na Katambi kupitia Jiwe
 
Kuna kitu sijaelewa vizuri: kesi iliyoamriwa na ambayo wafuasi wa Chadema Bukoba walishangilia ni IPI?-Kalumna na wenzake kushinda kesi iliyokuwa ikiwakabili ya shambulio na kuharibu Mali tu au pamoja na kesi ya Kalumuna kupinga ushindi wa mbunge wa CCM Bukoba mjini?
 
kuharibu mali
 
Acha ushetani wako hata kama ni Afisa Habari tatizo lipo wapi?wewe soma hoja yake na upo huru kuchangia au la
Kwa kuandika maneno haya ndo tayari umetekeleza uhuru wako wa kuchangia hoja ya mtoa mada au hoja yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…