Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Nchi corrupt hata hao bright unaouwaita wakiingia wanaacha AKILI getini
 
 
Pigia msitari hapo
 
Unamfata huyo mental case aliyemtukana Nyerere?

Unajuwa kuwa alimtukana Nyerere bungeni? Au unataka ushahidi?

Nyerere mwenyewe alikiri hadharani kwamba kuna mambo mazuri alifanya na pia alifanya ya kijinga ,akasisitiza yale mazuri wayafate na mabaya wayaache ,kwahiyo kusema mabaya ya nyerere siyo kosa(Hata mwenyewe alijua kuna mabaya aliyafanya).

Kwenye Muungano wazanzibar mpaka leo wanalia.
 
Mtu aliyempeleka huyu bwana kutuwakilisha kwenye hii kesi must be criminally prosecuted. Ni lazima kulikuwa na conspiracy kuwa ile kesi nchi ishindwe ili watu wapate mgao wao!! How come huyo jamaa anashindwa hata kuzungumza? You cannot win when you send zombies like this man to represent you!
 
Hilo ndio Tatizo letu Tanzania, tunataka mambo ya Miamba basi heads wa idara lazima awe geologist au Head wa Idara ya Afya head awe MD.

sasa case kama hiyo si bora angeenda lawyer kuwakilisha.
Perdiem ndio tatizo
 
Anayehojiwa na beberu hapa sio Prof Mruma
 
Nchi corrupt hata hao bright unaouwaita wakiingia wanaacha AKILI getini
Waswahili wana msemo kuwa "SAMAKI HUOZA KUANZIA KICHWANI!" Kama viongozi wakuu wa serikali wanapokea rushwa unategemea nini kwa watu wanaowaongoza? CCM na Serikali yake wamepokea rushwa kutoka kwa waarabu ili wauziwe Bandari , sasa wana moral authority gani kukemea kutoa na kupokea rushwa katika jamii? Hizo TOYO zenye picha ya SAMIA zimenunuliwa toka mfuko gani kama sio fedha za hongo toka Uarabuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…