Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Angalia punguani huyu na majaji walikuwa dini gani?Yule mwasheria muislamu wa ICC atakutana na jambo soon
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia punguani huyu na majaji walikuwa dini gani?Yule mwasheria muislamu wa ICC atakutana na jambo soon
USSR
Aaa tulienda hivyo hatutafika kaka,,,wao hamas wangelenga vituo vyakijeshi baaasi unawapiga raia halafu hutaki raia wako wapigwe??? Tukisema ukweli hamas alikosea sana target zake alianzisha ugomvi ambao Hana uwezo naoHaulipizi kosa kwa kosa mkuu
Hiyo mahakama haiwezi mfanya lolote Nyau japo ulimwengu wa bong'oaz utakuwa umefurahi kupindukiaMkumbuke pia hata Putin anasakwa na ICC ila maisha Yanaendelea kama kawaida kwake.
Ni kweli kwa kiasi fulani.Ni hivi utaenda nchi ambayo utahakikishiwa kwamba hutokamatwa na si vinginevyo, yani kama huku bongo ukiwa unajua unawindwa kuna sherehe hutoenda ila nyingine utaenda thats how it works,
Mfano marekani ataenda ila nchi za ulaya hazieleweki no vigeugeu
Spain ,turkey na nchi nyingi za europe especially scandinavian countries hawakopeshiNi kweli kwa kiasi fulani.
Ila, ni nchi gani hapa duaniani yenye ujasiri wa kumkamata waziri mkuu wa Israel?
Nani mwenye hizo cajones?
Haya pata maoni ya biden na waziri wa vita aliyeamua kuachana na netanyahu kwa kujiuzulu baada ya kuona jamaa haelewi anachokifanyaHizo sababu zake binafsi ni zipi mkuu?
Unajua hata icc ilivyoanza kudeal na netanyahu kila mtu alisema hawataweza kutoa arrest warrant , na marekani na israel walitumia vitisho vyote kuzuia ila ikashindikana,Ni kweli kwa kiasi fulani.
Ila, ni nchi gani hapa duaniani yenye ujasiri wa kumkamata waziri mkuu wa Israel?
Nani mwenye hizo cajones?
Huyo ni political rival wa Nyau so si ajabu kusema alosema,Haya pata maoni ya biden na waziri wa vita aliyeamua kuachana na netanyahu kwa kujiuzulu baada ya kuona jamaa haelewi anachokifanya
As long as Israel sio member wa hiyo mahakama na Pia US, Russia, China, India na wao sio member hiyo arrest warrant itabaki kuwa si lolote kwa Nyau.Unajua hata icc ilivyoanza kudeal na netanyahu kila mtu alisema hawataweza kutoa arrest warrant , na marekani na israel walitumia vitisho vyote kuzuia ila ikashindikana,
Waziri mkuu mpya wa uingereza ambaye mke wake ni jew lakini akatoa pingamizi la kisheria ambalo uingereza iliweka icc yani anasupport arrest warrant kwa netanyahu
Germany nae kaunga mkono kwa kusema warrant ikitoka atakamata netanyahu
Dunia inaenda kasi sana akijikanyaga anakamatwa kweli ,kwa ufupi dunia nzima imechoka kwa ujinga wa netanyahu ,hakuna mtu anayefurahia mtu mmoja kuua watu 40,000 wasiokuwa na silaha kwa maslahi binafsi ya kisiasa ,hapo ndio wazungu walipomgeuka netanyahu na kumuona hafai kutetewa
Na biden nae ni rival? hivyo hamtumiagi akili mkipenda kitu?Huyo ni political rival wa Nyau so si ajabu kusema alosema,
As long as Israel sio member wa hiyo mahakama na Pia US, Russia, China, India na wao sio member hiyo arrest warrant itabaki kuwa si lolote kwa Nyau.
Nyau hawezi hangaika aende nchi wanachama wa hiyo mahakama ili hali anajua kuna hati ya kumkamata na antisemitism movement iliyopo juu ya jews ndo kabisaa atatulia zake Israel akisafiri labda aende US na tena Trump yupo enzini hana wasiwasi hata chembe
Democracts sio pro Israel kihivyo so sio ajabu kusema alivyosema, na ndo maana hata Biden na Nyau mara kadhaa wameonyesha tofauti za wazi kabisaa, anyway Biden anaondoka so hana impact yoyote kwa Israel kwa sasa na hata baadaeNa biden nae ni rival? hivyo hamtumiagi akili mkipenda kitu?
Team bong'oaz inafurahia kwelikweli warrant arrest kutolewa kwa akili zao wanaamin Netanyau ni level za akina bi Chura Kiziwi🤣😂Hahahaa.
Netanyahu haendagi kwenye hizo nchi.
Kuhusu war crimes, hilo ni debatable.
Ingawa kwa maoni yangu binafsi naona Israel imezidisha mapigo, lakini wana utetezi wenye mashiko.
Kila nchi ina haki ya kujilinda na hakuna
kutoa arrest warrant hakuna ugumu wowote ule.
Siku atayokamatwa na kuwekwa kizimbani, nitafute 🤣.
Nani atamkamata sasaLikamatwe tu Nyau likasukumiwe nao huko huko korokoroni
Mna akili mgando nyie wakristo wa tanzania hata kufikiria vitu vidogo vidogo tu hamuwezi, wale democrats 99% ni wakristo kama wewe ila tofauti yako na wao ni kwamba wao wanatumia akiliDemocracts sio pro Israel kihivyo so sio ajabu kusema alivyosema, na ndo maana hata Biden na Nyau mara kadhaa wameonyesha tofauti za wazi kabisaa, anyway Biden anaondoka so hana impact yoyote kwa Israel kwa sasa na hata baadae
Hawa wapo tayari kumkamata ikiwemo germany ,uingereza ,spain na nchi nyingine 92Nani atamkamata sasa
Kwani ile hati ya iCC ya kumkamata uncle Putin kwa kosa la uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu ilishatekelezwa?Wakuu,
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.
Uamuzi huu unamaanisha kwamba nchi 124 wanachama wa ICC zinapaswa kuwakamata Netanyahu na Gallant watakapokanyaga katika maeneo yao.
Soma pia: Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe
Mahakama hiyo pia ilidai kuwa walikusudia na walijua kwamba Netanyahu na Gallav waliwanyima raia wa Gaza chakula, maji, dawa, vifaa vya matibabu, mafuta, na umeme kwa makusudi.
Netanyahu alikataa madai hayo akiyaita “ya kipuuzi na ya uwongo” na akasema ni “upotoshaji.”
Israel pia imepinga mamlaka ya ICC kwa kusema kuwa nchi nyingine za kidemokrasia hazijawahi kutendewa kwa njia ya upendeleo mbaya kama hiyo, huku ikisisitiza kwamba inaheshimu utawala wa sheria.
Aidha, ICC pia imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa Hamas, Mohammed Deif, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.
Hata hivyo, Israel ilidai Agosti kwamba ilimuua Deif katika shambulio la anga lililofanyika Gaza mwezi mmoja kabla.
Sawa maamuma umekosa hoja unaanza udiniMna akili mgando nyie wakristo wa tanzania hata kufikiria vitu vidogo vidogo tu hamuwezi, wale democrats 99% ni wakristo kama wewe ila tofauti yako na wao ni kwamba wao wanatumia akili
Zinatekelezeka vizuri kabisa ila unatakiwa uchague mikutano ya kwenda na nchi za kwendaKwani ile hati ya iCC ya kumkamata uncle Putin kwa kosa la uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu ilishatekelezwa?
Ndo ujue hizo huwa ni porojo tu, hazitekelezeki. Hakuna wa kumkamata mkulungwa Netanyahu