Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

Yule mwasheria muislamu wa ICC atakutana na jambo soon

USSR
Yule ni Ahmadiyah ambao Waislamu hawa wakubali kama wenzao.
Pili yeye anatoa pendekezo ma inabidi likubaliwe na majaji wote Toka nchi nyingine zikiwemo majority za Kikristu.
Shule ulienda kujifunza nini - ujinga ? Msemo maarufu wa faiza Foxy
 
1000016255.jpg

1000016254.jpg
 
Wastage of time and resources
That was just to create headlines.

The warrant is unenforceable.

Does the ICC even have jurisdiction here?

That court is for banana republic dictators. Not democratically elected leaders who are simply defending their country against terrorism.

But personally, I think it’s enough now.

Hamas is on its knees, if not almost completely decimated.

Too many people who have nothing to do with anything that took place on October 7th are suffering.

The war should end immediately.
 
Okay sawa.

Lakini Israel kwenye suala hili ilianza kuchokozwa.
Endapo kama mashambulizi kwa Waisraeli ya 7 Oktoba, 2023 yasingefanyika naamini kwa dhati kabisa balaa hilo kwa Wapalestina lisingetokea
Ilichokozwa? Una akili wewe? Palestina inakaliwa kimabavu tokea 1948, ni sawa na Idd Amin tulivyomfurusha useme tulimchokoza!! Masharti ya vita ni kupambana jeshi to jeshi sio kuua raia au genocide. Walimlalamikia Hitler sababu ya genocide mbona hawakusema kachokozwa? Ila kwa wayahudi ndio mna justify?

Empty mind
 
Kwani Hamas ilipovamia mji ya Israel tarehe 7 Oktoba, 2023 waliua na kuwateka Wanajeshi pekee?

Remember: Action and reaction are equal but opposite in directions.
Ndio maana nao wamesema huyo kipngozi wa Hamas akamatwe!! Kwahiyo Boko Haram wakiua wanakijiji basi jeshi la Nigeria nalo likaue raia kisa actiona and reaction bullshit? Mindset mbovu sana hii
 
Hata Putin ana arrest warrant kutoka mahakama hiyo hiyo.

Hivi karibuni Putin atafanya ziara nchini India.

ICC kwa kiasi kikubwa inawahusu viongozi na watu toka nchi za jamhuri za ndizi 🤣.
Putin akikanyaga UK hatokamatwa?
 
Putin akikanyaga UK hatokamatwa?
Sijui.

Hata hivyo, Putin huwaga haendi huko. Kwanza aende akatafute nini?

Kama sijakosea, mara ya mwisho kwenda huko ilikuwa 2003 au 2004.

Putin kukanyaga UK ni sawa na Kim Jong Un kukanyaga US.
 
Wakuu,

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.

Uamuzi huu unamaanisha kwamba nchi 124 wanachama wa ICC zinapaswa kuwakamata Netanyahu na Gallant watakapokanyaga katika maeneo yao.



Soma pia: Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe

Mahakama hiyo pia ilidai kuwa walikusudia na walijua kwamba Netanyahu na Gallav waliwanyima raia wa Gaza chakula, maji, dawa, vifaa vya matibabu, mafuta, na umeme kwa makusudi.

Netanyahu alikataa madai hayo akiyaita “ya kipuuzi na ya uwongo” na akasema ni “upotoshaji.”

Israel pia imepinga mamlaka ya ICC kwa kusema kuwa nchi nyingine za kidemokrasia hazijawahi kutendewa kwa njia ya upendeleo mbaya kama hiyo, huku ikisisitiza kwamba inaheshimu utawala wa sheria.

Aidha, ICC pia imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa Hamas, Mohammed Deif, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.

Hata hivyo, Israel ilidai Agosti kwamba ilimuua Deif katika shambulio la anga lililofanyika Gaza mwezi mmoja kabla.
Netanyahu’s full statement on the ICC’s decision to issue an arrest warrant:

“The anti-Semitic decision by the International Court in The Hague is a modern-day Dreyfus trial, and it will end the same way. 130 years ago, the French Jewish officer Alfred Dreyfus was falsely accused of treason by a biased French court. In response to these false accusations, the great French writer Émile Zola wrote his monumental essay, J’Accuse. He condemned the French court for its anti-Semitic lies against an innocent officer who was later exonerated of all guilt. Now, an international court in The Hague, also headed by a French judge, is repeating this outrageous offense.

It is falsely accusing me, the democratically elected Prime Minister of the State of Israel, and Israel’s former Defense Minister Yoav Gallant, of deliberately targeting civilians. This, despite the fact that we do everything in our power to avoid civilian casualties. We issue millions of text messages, phone calls, and leaflets to the citizens of Gaza to get them out of harm’s way, while Hamas terrorists do everything in their power to keep them in harm’s way, including shooting at them and using them as human shields. The court in The Hague accuses us of a deliberate policy of starvation, even though we have supplied Gaza with 700,000 tons of food to feed its people.

That amounts to 3,200 calories per day for every man, woman, and child in Gaza. These supplies are routinely looted by Hamas terrorists, who deprive their people of much-needed food. Just in the past few weeks, Israel facilitated the vaccination of 97% of Gaza’s population against polio. Yet, the court accuses us of genocide. What, in God’s name, are they talking about in The Hague?

The truth is simple: no war is more just than the war Israel is waging in Gaza after Hamas attacked us unprovoked, launching the worst massacre against the Jewish people since the Holocaust. The decision to issue an arrest warrant against me, the democratically elected Prime Minister of Israel, and our former Defense Minister, was made by a rogue prosecutor attempting to escape sexual harassment charges and by biased judges motivated by anti-Semitic hatred against the one and only Jewish state. These judges have done nothing—absolutely nothing—against the real war crimes committed by the dictatorships in Iran, Syria, and Yemen, where millions have been murdered or uprooted.

Instead, they falsely accuse the one democracy in the Middle East—Israel—thereby endangering the right of all democracies to defend themselves against murderers, terrorists, and tyrants. Nor has the court acted against the Hamas terrorists who raped our women, beheaded our men, burned babies alive in front of their parents, and kidnapped over 100 men, women, and children, hiding them in the underground dungeons of Gaza. They still hold 101 hostages, including citizens of many nations, among them the United States. And yet, the court did manage to issue one arrest warrant against Hamas. Now hear this: they issued an arrest warrant for the corpse of Hamas arch-terrorist Mohammed Deif. His corpse. What an absurdity.

No biased, anti-Israel decision in The Hague will stop the State of Israel from defending its citizens. I want to thank our many friends around the world, especially those in the United States, who have condemned this outrage and stated that this decision will have severe consequences for the ICC and for those who cooperate with it.

Israel does not, and will not, recognize the validity of this decision. We will continue to do everything necessary to defend our citizens and our state against Iran’s axis of terror: Iran and its terrorist proxies, which include Hamas, Hezbollah, the Houthis, and others. Our enemies are your enemies, and our victory will be your victory—the victory of civilization over barbarism and tyranny”
 
That was just to create headlines.

The warrant is unenforceable.

Does the ICC even have jurisdiction here?

That court is for banana republic dictators. Not democratically elected leaders who are simply defending their country against terrorism.

But personally, I think it’s enough now.

Hamas is on its knees, if not almost completely decimated.

Too many people who have nothing to do with anything that took place on October 7th are suffering.

The war should end immediately.

Correct, Ugomvi wangu na wewe Brother uko tu kwenye mambo yako ya Ccm, ila wewe ukiondoa Mboga mboga issues ni ndugu yangu Kabisa!
 
Hatua nzuri Kwa ICC.bado mama abdul maana kapoteza soka,mzee kibao,na wengine wengi zaidi ya miamoja amewapoteza.
 
Ilichokozwa? Una akili wewe? Palestina inakaliwa kimabavu tokea 1948, ni sawa na Idd Amin tulivyomfurusha useme tulimchokoza!! Masharti ya vita ni kupambana jeshi to jeshi sio kuua raia au genocide. Walimlalamikia Hitler sababu ya genocide mbona hawakusema kachokozwa? Ila kwa wayahudi ndio mna justify?

Empty mind
Inakaliwa kimabavu kwan pale wapalestina ni kwao? si warudi walipotoka? Waliingizwa chaka na Rome empire iliyoanzisha palestine ikiamini kuwatawanya wayahudi duniani kutafuta taifa la Israel na ilipoingia ottoman empire ndo kabisaa ikaonekana Israel imefutika na tena uislam ukaingia hapo na kukajengwa vya kiislam ambapo vipo mpaka leo na uzuri litavunjwa tena very soon.
Israel ni nchi ya wayahudi zaidi ya miaka elfu kadhaa iliyopita na uzuri hakuna tena yeyote wa kuwatoa milele yote.
Iran akisaidiwa na nchi zingine kibao za kiislam pamoja na russia akiwa kiongozi wao wataivamia na still hawatoweza kuwatoa wayahudi na kuifuta Israel.
Mahdi naye akiwa na rome empire itakayofufuka na china na dunia nzima watajaribu kuwamaliza na bado watashindwa.
Russia iliyofufuka ikiongoza watenda dhambi wa dunia wa kipindi cha next milenia naye atajaribu tena na bado atashindwa.
 
Hizo Hati zitabaki na kuozea kwenye makabati ya ICC huko the Hagie!
Labda siku Putin akikamatwa na Bibi atakamatwa!
 
This is a nothingburger.

Who will dare arrest the Prime Minister of Israel?

Is this the same ICC that issued an arrest warrant against Vladimir Putin back in March 2023?

Well, guess what? Putin is about to visit India.

This same ICC has also issued an arrest warrant against Mohamed Deif 🤣.

Isn’t Deif dead?

Goes to show you how hollow and worthless the ICC is.
What a mockery to arrest a dead body! Mohamed Deif is no more - they're arresting a corpse. ICC inajidhalilisha sana kwa hilo - kuishtaki maiti.
 
Back
Top Bottom