Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Kilichotokea ndio matumizi ya dola yenyewe hadi ccm ikashinda
 
Wakate rufaa bhana yaani ndo hatutakaa kuandamana tena? Kwahiyo mabomu ya machozi yaexpire nasisi tupo kweli? Hata kusindikiza viongozi wetu? Mbona wao wanaandamana / kusindikizwa na watu?
Kwani katiba inasemaje?
 
Jifunze kutengeneza title inayoendana na content.... Unatia aibu we msomi.
 
Kama sikosei Chadema inawabunge 70 bungeni ukiwatoa Tundu Lisu na Nassari wanabaki wabunge 68 kila mmoja akichanga milioni 5 zinapatikana milioni 340! Deni litakua limeisha japokua ni hela nyingi 😎
Umemuhesabia huko na Silinde?
 
Daud1990,
Ndugu punguza jazba...kwa masuala Kama haya uwe sober...punguza jazba...Yesu, Mungu...acha hayo...
 
Mungu uwaangalie kwa namna inastaili wote wenye mamlaka na mahakama zetu
 
Mchumia Rungu,
Wanaifurahia kwa kuwa makosa yalikuwa makubwa ....hakimu angeweza kusema wafungwe jela na kulipa faini...Sasa hakimu ametoa option .,...hi ni hukumu.nzuri kwa maoni yangu Kama layman wa sheria
 
Mkuu utaratibu wa kutoa michango ukoje huko?? Tafadhali tujulishane maana nimeshatenga kabisa hilo fungu la mchango
Bado sijafahamu mkuu, kama wakiorganize naamini tutafahamu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…