Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yanaenda systematic si kienyeji ...Tusubiri ukweli wa mambo.hawana makosa ni uhuni tu wa ccm kuwakomoa chadema
Nazidi kuichukia hii serikali kadri siku zinavyokwenda!
Jitokeze hadharani , usijifiche nyuma ya kodi
Umemuhesabia huko na Silinde?Kama sikosei Chadema inawabunge 70 bungeni ukiwatoa Tundu Lisu na Nassari wanabaki wabunge 68 kila mmoja akichanga milioni 5 zinapatikana milioni 340! Deni litakua limeisha japokua ni hela nyingi 😎
Nitoke hadharani kufanya nini?Nikikuta mwanaCCM hapo anauwawa napita zangu naendelea na shughuli zangu,nimefikia hatua hiyo!Jitokeze hadharani , usijifiche nyuma ya kodi
Uzuri ni kwamba kifo ni kwa kila kiumbe....usizungumzie kifo katika issue hizi...ni mbaya...Hivi tukisikia habari mbaya ya Mangula tutaacha kushangilia kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hata maji ya kunywa simpi,hata mchango wa harusi sitoiNitoke hadharani kufanya nini?Nikikuta mwanaCCM hapo anauwawa napita zangu naendelea na shughuli zangu,nimefikia hatua hiyo!
Hapo ni kula bia kwa furaha tu!Hivi tukisikia habari mbaya ya Mangula tutaacha kushangilia kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Liwe lisiwe lazima Mbowe ale mvua hapo wengine watapata unafuu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu kwa hiyo wewe hutakufa??!!!Hapo ni kula bia kwa furaha tu!
Bado sijafahamu mkuu, kama wakiorganize naamini tutafahamu mkuuMkuu utaratibu wa kutoa michango ukoje huko?? Tafadhali tujulishane maana nimeshatenga kabisa hilo fungu la mchango
[emoji3483]Jifunze kutengeneza title inayoendana na content.... Unatia aibu we msomi.