kapongoliso
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,353
- 489
Wenye mamlaka wamevaa roho za kikatili wala hawaangalii Akwilin na mkewe wanaaonaje hii senema yao.Wanaoenda kusomewa hukumu ni wahanga waukatili kama Akwilina (R.I.P).
Familia ya marehemu sijui wanajisikiaje kuona aliyemdhulumu uhai binti yao si miongoni mwa watakao hukumiwa! Walioagiza matumizi ya risasi ndio wasimamizi wa hukumu!!!
Wacha liwalo na liwe ili tupate kuheshimiana hii nchi imeshabinafsishwa na kikundi fulani. Ndio maana wakina Wajima wanakuja na mapendekezo ya kuanzisha the Sukuma Praise Team na hakuna chochote. Lakini muda utasema tuu ukiwadia.mark my words ladies and gents. Arab uprising is nearing our borders.
We aren't far from the same shit that we saw on our north African sisters n brothers few years aback.
Mark my words.
Kina Mbowe ndio walimuua Akwilina? Je, una taarifa muhusika anajulikana na hakuna hatua aliyochukuliwa?Wakuu hamjambo?
Naandika Uzi huu nikiwa na huzuni kubwa ya kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa Mbowe Na viongozi wenzake,binafsi nikifikilia kuhusu vurugu zilizo himizwa na viongozi wa chadema hadi kupelekea kifo cha binti akwilina naumia sana.
Kwa hukumu iliyotolewa Leo ikilinganishwa na uhai wa binti yetu akwilini naona kama haviendani,hukumu ya maisha kwa Mbowe Na viongozi wenzake ndiyo ilikuwa suruhu katika kuweka mambo sawa, hii ni kutokana na athari mbaya zilizojitokeza kutokana na uana harakati uchwara wa akina Mbowe Na wenzake.
Swali langu ni kuwa,je Kama raia naruhusiwa kukata rufaa kutokana na kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa viongozi hawa,kwani naona milioni 350 au jela miezi mitano ni hukumu ambayo haikuzingatia uzito wa kosa,na haijawatendea haki wazazi na ndugu wa binti akwilina.
Wataalamu wa sheria nijuzeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishampata huyo aliyempiga risasi uje na malalamiko hapa
Ukiashindwa kunywa maji ukalale
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo ni mahakama.utafanya ni ni na wakati ni mhilili unaojitegemea acha kuongozwa na hisia kama mmeonewa mahakama zipoSisi wananchi pia ni stupid citizens kwa sababu serekali inafanya ujinga ila hatuiwajibishi!
Kama waliompiga wsngekuwa na hatia mahakama isinge waacha huru,,maana mahaka ilisema walikuwa wanatizimiza wajibu wao,so chanzo cha hayo mauaji ni Mbowe Na genge lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaamini sisiemu wako wengi, waruhusu uchaguzi iwe huru na wa haki tu, watapata majibu.. Wakubali iundwe tume huru ya uchaguzi, ambayo haitaongozwa na mteule wa mgombea wa sisiemu..Upinzani wapo wengi lakini CCM wana idadi zaidi tofauti yenu ni moja tu. Upinzani mna kelele wenzenu wapo kimya kwasababu wana dola. Msifanye kosa la kudhani CCM wapo wachache. Tengenezeni sera za kuwavutia wanachama wa CCM wahamie kwenu badala ya kutambia namba ambazo hazitoshi.
Kwanza hakikisha unafungu la kutosha la kulipia gharama za mahakama ikiwa kesi yako itatupiliwa mbali.
hivi jamani kwani ni lazima mtu ukitoka kula ugoro wa moto na balimi uje uandike mashudu humu JF?
Kajifunze kwanza kiswahili vizuri matumizi sahihi ya "R" na "L" corona ww!