Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Wanaoenda kusomewa hukumu ni wahanga waukatili kama Akwilina (R.I.P).
Familia ya marehemu sijui wanajisikiaje kuona aliyemdhulumu uhai binti yao si miongoni mwa watakao hukumiwa! Walioagiza matumizi ya risasi ndio wasimamizi wa hukumu!!!
Wenye mamlaka wamevaa roho za kikatili wala hawaangalii Akwilin na mkewe wanaaonaje hii senema yao.
 
wakuu salaam.
Naomba kujua kwa hukumu ya leo viongozi hao wanaweza kugombea ubunge au nafasi nyingine kama udiwani?au ndio basi Tena? karibuni
 
mark my words ladies and gents. Arab uprising is nearing our borders.
We aren't far from the same shit that we saw on our north African sisters n brothers few years aback.
Mark my words.
Wacha liwalo na liwe ili tupate kuheshimiana hii nchi imeshabinafsishwa na kikundi fulani. Ndio maana wakina Wajima wanakuja na mapendekezo ya kuanzisha the Sukuma Praise Team na hakuna chochote. Lakini muda utasema tuu ukiwadia.
 
It's unbelievable
Is this happening for real
magu bashite na genge lenu mtalipa hii hukumu at any cost
The World is watching
Hope BBC na CNN will cover this story ili serikali iiaibike to the max
 
Wakuu hamjambo?

Naandika Uzi huu nikiwa na huzuni kubwa ya kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa Mbowe Na viongozi wenzake,binafsi nikifikilia kuhusu vurugu zilizo himizwa na viongozi wa chadema hadi kupelekea kifo cha binti akwilina naumia sana.

Kwa hukumu iliyotolewa Leo ikilinganishwa na uhai wa binti yetu akwilini naona kama haviendani,hukumu ya maisha kwa Mbowe Na viongozi wenzake ndiyo ilikuwa suruhu katika kuweka mambo sawa, hii ni kutokana na athari mbaya zilizojitokeza kutokana na uana harakati uchwara wa akina Mbowe Na wenzake.

Swali langu ni kuwa,je Kama raia naruhusiwa kukata rufaa kutokana na kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa viongozi hawa,kwani naona milioni 350 au jela miezi mitano ni hukumu ambayo haikuzingatia uzito wa kosa,na haijawatendea haki wazazi na ndugu wa binti akwilina.

Wataalamu wa sheria nijuzeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kina Mbowe ndio walimuua Akwilina? Je, una taarifa muhusika anajulikana na hakuna hatua aliyochukuliwa?
 
Kwanza hakikisha unafungu la kutosha la kulipia gharama za mahakama ikiwa kesi yako itatupiliwa mbali.
 
Nimeangalia video ya viongozi wa chadema wanavyopelekwa segerea jamani it is so emotional😔
Nani amenotice hayo magari ya police nyuma?! Kwanini wanasindikizwa Kama maharamia au sijui ni nini matumizi mabaya ya jeshi kwa kweli mabunduki yote ya Nini?! Hizi picha ndizo zinazotia doa na kutuhukumu mbele ya safari
Mungu ibariki Tanzania maana mbegu ya visasi inazidi kukomaa.
 
Upinzani wapo wengi lakini CCM wana idadi zaidi tofauti yenu ni moja tu. Upinzani mna kelele wenzenu wapo kimya kwasababu wana dola. Msifanye kosa la kudhani CCM wapo wachache. Tengenezeni sera za kuwavutia wanachama wa CCM wahamie kwenu badala ya kutambia namba ambazo hazitoshi.
Kama unaamini sisiemu wako wengi, waruhusu uchaguzi iwe huru na wa haki tu, watapata majibu.. Wakubali iundwe tume huru ya uchaguzi, ambayo haitaongozwa na mteule wa mgombea wa sisiemu..

Au waache kutumia polisi tu, waone vile wasivyopendwa..
 
MVB Jr, post:
Haaaaa 😂 haaaaa mkuu una kumbu kumbu mbaya kabisa,
Mbona hukunipa hata pole

😂😂😂

Najuta kutokupa pole, may be ingekufanya utambue we are fully responsible for our personal misery.

Tuache Usingiziaji Mkuu.

Naomba unisamehe.

One request, naomba advance training ya kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom