kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Umevaa kama RC si wa dar wakati Analilia kuingia kwenye mkutano wa BAWACHA?Nimefika getini nimezuiliwa kuingia kisa ni t-shirt niliyovaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umevaa kama RC si wa dar wakati Analilia kuingia kwenye mkutano wa BAWACHA?Nimefika getini nimezuiliwa kuingia kisa ni t-shirt niliyovaa.
Wewe ni muhuni tu yote unayoyasemaga hayana tofauti na project za BASHITEThe US and allies are closely monitoring this judgment
Jr[emoji769]
1. Fine laki tano au Kifungo cha miezi kumi na miwili au vyote kwa pamoja.I bet hamna hukumu mbaya itatolewa kwa upande wa walalamikiwa,
Bongo Bana, changamoto sana na hii yote wakulaumiwa Ni kikwete alikuwa anajua kabisa hizi shida tutazipata lakin akafunga macho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Michael snowden anakaa BUZAMichael Snowden ni mpya huyu!! Anayetafutwa na Marekani ni Edward Snowden
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo hatari sana..Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma atafanya wepesi kwenye kila lisilo jema.
Lakini pia tufahamu, hapa duniani tunapita njia na mwisho wa siku wote tutarudi mavumbini, Tupendane na tujitahidi kusimamia haki na usawa kwenye jamii. Anayeshabikia upumbavu na anayetenda upumbavu basi malipo hupatikana kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma.
Hata uwe na mali, maguvu, mamlaka na kila lililo zuri duniani na kwenye macho ya walimwengu basi jitahidi liwe limepatikaa kwa haki pasipo kutesa na kuumiza wengine. Urithi mzuri kwa watoto na vizazi vyetu ni tabia na matendo yetu mema..
Nilichouliza na ulichojibu tofauti kabisa umeshindwa kuficha ujinga wako nilikuwaga nakuweka kwenye kundi la wana CCM afadhali ila kwa ulivyo mu attack mbowe mwenyewe na (MACHO) nikafikia concussion kuwa hata wehu wapo wengi tu kwenye vyama vya siasa.Mbowe mimacho inamtoka kama mjusi kabanwa na mlango, kuna AC ila jasho anatoka kaloa moyo speed kali.. [emoji23] hadi huruma. Yaani hapa ukimwambia atamke people's pwr, anaweza sema pppo poa, hiii.!! [emoji23][emoji23]
Mbowe mimacho inamtoka kama mjusi kabanwa na mlango, kuna AC ila jasho anatoka kaloa moyo speed kali.. [emoji23] hadi huruma, hana usemi kakubali kiulaini kuelekea kibra, chali.[emoji851]
Chezea hukumu usio ijua[emoji23][emoji23][emoji23]
Achana nae usijisumbue kumjibu mtu kama huyo ambaye ajielew!Hoja yako ni nini hapa, maana kiingereza kingi, mara sifuatilii siasa mara sijui niko kwenye hili jukwaa just for funny. Sasa kama hufuatilii siasa ni kipi kunakifanya uje uuze sura humu jukwaani? Hebu peleka hiyo mbolea hapo tumboni mbali. Kama hufuatilii siasa what makes you crying in here? Peleka ubishoo uchwara mbali.