Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Haya mambo hatari sana..Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma atafanya wepesi kwenye kila lisilo jema.

Lakini pia tufahamu, hapa duniani tunapita njia na mwisho wa siku wote tutarudi mavumbini, Tupendane na tujitahidi kusimamia haki na usawa kwenye jamii. Anayeshabikia upumbavu na anayetenda upumbavu basi malipo hupatikana kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma.

Hata uwe na mali, maguvu, mamlaka na kila lililo zuri duniani na kwenye macho ya walimwengu basi jitahidi liwe limepatikaa kwa haki pasipo kutesa na kuumiza wengine.. Urithi mzuri kwa watoto na vizazi vyetu ni tabia na matendo yetu mema..
 
Tatizo sio Kikwete ni CCM! Kikwete amelinda CCM kwa kuteua wanachama wenzake ili kukwamisha katiba mpya kwa faida ya CCM jiwe analinda CCM kwa kutumia bunduki so shida hilo dudu ccm likiondoka kila mtu atakuwa mwema
Bongo Bana, changamoto sana na hii yote wakulaumiwa Ni kikwete alikuwa anajua kabisa hizi shida tutazipata lakin akafunga macho.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukiwa maskini upumbavu haufai tu
Haya mambo hatari sana..Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma atafanya wepesi kwenye kila lisilo jema.

Lakini pia tufahamu, hapa duniani tunapita njia na mwisho wa siku wote tutarudi mavumbini, Tupendane na tujitahidi kusimamia haki na usawa kwenye jamii. Anayeshabikia upumbavu na anayetenda upumbavu basi malipo hupatikana kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma.

Hata uwe na mali, maguvu, mamlaka na kila lililo zuri duniani na kwenye macho ya walimwengu basi jitahidi liwe limepatikaa kwa haki pasipo kutesa na kuumiza wengine. Urithi mzuri kwa watoto na vizazi vyetu ni tabia na matendo yetu mema..
 
Mbowe mimacho inamtoka kama mjusi kabanwa na mlango, kuna AC ila jasho anatoka kaloa moyo speed kali.. [emoji23] hadi huruma. Yaani hapa ukimwambia atamke people's pwr, anaweza sema pppo poa, hiii.!! [emoji23][emoji23]
Nilichouliza na ulichojibu tofauti kabisa umeshindwa kuficha ujinga wako nilikuwaga nakuweka kwenye kundi la wana CCM afadhali ila kwa ulivyo mu attack mbowe mwenyewe na (MACHO) nikafikia concussion kuwa hata wehu wapo wengi tu kwenye vyama vya siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachoendelea ni kuwa Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Thomas Simba, amekwishamaliza kusoma ushahidi wa mashahidi nane wa upande wa mashtaka, na hivi sasa anasoma ushahidi wa mashahidi 13 wa upande wa utetezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kajekudya,
Hoja yako ni nini hapa, maana kiingereza kingi, mara sifuatilii siasa mara sijui niko kwenye hili jukwaa just for funny. Sasa kama hufuatilii siasa ni kipi kunakifanya uje uuze sura humu jukwaani?. Kama hufuatilii siasa what makes you crying in here? Peleka ubishoo uchwara mbali.
 
Hoja yako ni nini hapa, maana kiingereza kingi, mara sifuatilii siasa mara sijui niko kwenye hili jukwaa just for funny. Sasa kama hufuatilii siasa ni kipi kunakifanya uje uuze sura humu jukwaani? Hebu peleka hiyo mbolea hapo tumboni mbali. Kama hufuatilii siasa what makes you crying in here? Peleka ubishoo uchwara mbali.
Achana nae usijisumbue kumjibu mtu kama huyo ambaye ajielew!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom