Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

Hawa wazee walikuwa wapi kabla ya Hersi? Kwa nini wawashwewashwe kipindi kama hiki? Timu inamichuano mingi hapo mbele na wao wanaingia kati kuvuruga timu🤬
Lilikuwa ni suala la muda tu, haiwezekani timu iwe na rais wakati haijauza hisa hata moja kwa wanachama. Hersi na jamaa zake ni matapeli tu.
 
Mimi huwa nakereka na hizi migogoro.kiukweli mimi ni simba ila haya yanayoendelea yanga sifurahishwi nayo.Kuna mikono ya watu nyuma ya hao wazee .Wazee wenyewe kimuonekano wamechoka.

Hao wazee wakiachiwa timu wataweza kuiongoza.Ifike hatua hizi timu za simba na yanga zipunguze migogoro.Vitu kama hivyo vinarudisha nyuma maendeleo ya jambo lolote sio soka tu.

Wanasimba wenzangu tusifurahiye haya yanayotokea kwa wenzetu.Kwani hata kwetu yakitokea sio mazuri. Halafu kwanini na zamuzamu.
Inasikitisha sana aisee.
 
Serikali ishajua kivuli chake ni simba na Yanga, ndo mambo yanayowapumbaza wananchi wake, baada ya Simba kutawala soka miaka minne ikaja zamu ya yanga, kwa mwendo wa eng hersi wanaona kabisa huyu anaweza kutawala soka hata miaka 10, makolo wapate depression waingie mtaani kama gen Z wa kenya, Bora wamtoe makolo wapate hata ahueni kidogo, and the circle goes on
šŸ¤”šŸ¤”šŸ¤”šŸ¤”
 
Back
Top Bottom