Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Tena hivyo vituko huwa vina kipindi chake Mkuu ili kutoa watu kwenye mstari. Lol.Yani hizi simba na yanga ukizifuatilia sana utakufa na presha maana vituko haviishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena hivyo vituko huwa vina kipindi chake Mkuu ili kutoa watu kwenye mstari. Lol.Yani hizi simba na yanga ukizifuatilia sana utakufa na presha maana vituko haviishi.
😅😅Uto kwa kiki kama kikundi cha singeli
Daah.Hao wazee wafe tu.. Qmmk
Yaani! Wazee wengine ni wanga kweli kweli atii.Mahakama na Mpira? Tusije tukafungiwa.
Lakini pia kila siku tunachangia hapa kufuata sheria na naunga mkono sheria zifuatwe.
Ila sema hao wazee ni kama wanga vile , wananchi tumeshazoea furaha wao togwa wanatia nzi.
Unasema!!Yaani! Na utakuta mzee kama hayo hata hajui leo akiamka anakula nini?
Halafu anataka akabidhiwe Yanga lol.
Lol. 😂😂
Mimi huwa nakereka na hizi migogoro.kiukweli mimi ni simba ila haya yanayoendelea yanga sifurahishwi nayo.Kuna mikono ya watu nyuma ya hao wazee .Wazee wenyewe kimuonekano wamechoka.Tena hivyo vituko huwa vina kipindi chake Mkuu ili kutoa watu kwenye mstari. Lol.
Mnajifanya sana😁😁😁Lol. 😂😂
Vijawa heshimuni wazeeYaani! Wazee wengine ni wanga kweli kweli atii.
Ni wapumbavu jwa tamaa zao. Gen z inabidi wawatembelee kuwakumbusha na kuziweka akili zao sawaWazee wa Yanga wanakerwa na kuumia Kwa mwenendo mzuri wa Yanga.
SIMBA ndio RITA?Hapo kuna mkono wa makolo bila shaka.
Taarifa toka saa 8 ziko mtaani jamaa wamejaribu sana kuizima ila Mwamba EDO KUMWEMBE akajibika mabomu wengine wakafuata includeing Millard Ayo na wengineBreaking news ya mahakama saa 5 kasoro usiku? What a joke
Huu ujumbe wako, umenichekesha sana ,,😁Siku ya kwenda kutoa vitu vya ally kamwe jagwani pale mniambie!
Nitajitolea nauli za vijana kwenda kumtoa kwa nguvu pale!