Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

Raisi mtarajiwa wa Yanga.

Mmoja wa Wazee hao ndio huyu.

Mshahara wa chama na wenzake upo mikononi mwake mtake msitake😀
 
Attachments

  • FB_IMG_1721172148178.jpg
    FB_IMG_1721172148178.jpg
    26.6 KB · Views: 1
Serikali ishajua kivuli chake ni simba na Yanga, ndo mambo yanayowapumbaza wananchi wake, baada ya Simba kutawala soka miaka minne ikaja zamu ya yanga, kwa mwendo wa eng hersi wanaona kabisa huyu anaweza kutawala soka hata miaka 10, makolo wapate depression waingie mtaani kama gen Z wa kenya, Bora wamtoe makolo wapate hata ahueni kidogo, and the circle goes on
Kumbe ndio mipango hiyo!
 
Kuna wakati nilihoji, lakini nikajikuta niko peke yangu Tanzania nzima, kwamba, hivi inakuwaje kuna kampuni yenye uhusiano wa kibiashara na Yanga, that is GSM, halafu Mwenyekiti wa Yanga, Eng. Hersi, ana ajira rasmi, ukurugenzi wa sijui finance, huko GSM ?

Maslahi ya Yanga na GSM yakisigana, huyu Mwajiriwa wa GSM na Mwenyekiti wa Yanga, anasimama wapi ????

Halafu huyu Mwenyekiti wa Yanga, hana maamuzi ya kusema labda kwa nafasi yake huko GSM ataisaidia Yanga, hawezi kwa saab na yeye ana bosi wake huko GSM ambae nae anatafuta maslahi yake ya kibiashara ndo maana akaji associate na Yanga tangia hapo, yani Ghalib na GSM yake. Inakuaje hiiiiii ? Nobody answered me!

Kumbe bana kuna wenzangu wazee wawili wako nchi hii nao hawamkubali kabisa huyu Eng. Hersi.
Sahihi
 
Serikali ishajua kivuli chake ni simba na Yanga, ndo mambo yanayowapumbaza wananchi wake, baada ya Simba kutawala soka miaka minne ikaja zamu ya yanga, kwa mwendo wa eng hersi wanaona kabisa huyu anaweza kutawala soka hata miaka 10, makolo wapate depression waingie mtaani kama gen Z wa kenya, Bora wamtoe makolo wapate hata ahueni kidogo, and the circle goes on
Unachanganya mihimili

Serikali haihusiki hapo
 
Back
Top Bottom