Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Lilikuwa ni suala la muda tu, haiwezekani timu iwe na rais wakati haijauza hisa hata moja kwa wanachama. Hersi na jamaa zake ni matapeli tu.Hawa wazee walikuwa wapi kabla ya Hersi? Kwa nini wawashwewashwe kipindi kama hiki? Timu inamichuano mingi hapo mbele na wao wanaingia kati kuvuruga timu🤬
palikuwa hakuna pesa , sasa hivi pesa zipo ,wanaitaka timu yaoHawa wazee walikuwa wapi kabla ya Hersi? Kwa nini wawashwewashwe kipindi kama hiki? Timu inamichuano mingi hapo mbele na wao wanaingia kati kuvuruga timu🤬
Unampaje jina zuri hivyo , eti tapeli, ni zaidi ya matapeli, ngoja nitafute kamusi tutapata jina lake.Lilikuwa ni suala la muda tu, haiwezekani timu iwe na rais wakati haijauza hisa hata moja kwa wanachama. Hersi na jamaa zake ni matapeli tu.
Ndiyo hivyo mkuu, yaani kukurukukuru tu akajiita rais!Unampaje jina zuri hivyo , eti tapeli, ni zaidi ya matapeli, ngoja nitafute kamusi tutapata jina lake.
Hawa GSM na ndugu zao silent ocean wanaitumia yanga kufanya Money laundry hamna kingine. Ni suala la muda tu kitaeleweka.Unampaje jina zuri hivyo , eti tapeli, ni zaidi ya matapeli, ngoja nitafute kamusi tutapata jina lake.
Inasikitisha sana aisee.Mimi huwa nakereka na hizi migogoro.kiukweli mimi ni simba ila haya yanayoendelea yanga sifurahishwi nayo.Kuna mikono ya watu nyuma ya hao wazee .Wazee wenyewe kimuonekano wamechoka.
Hao wazee wakiachiwa timu wataweza kuiongoza.Ifike hatua hizi timu za simba na yanga zipunguze migogoro.Vitu kama hivyo vinarudisha nyuma maendeleo ya jambo lolote sio soka tu.
Wanasimba wenzangu tusifurahiye haya yanayotokea kwa wenzetu.Kwani hata kwetu yakitokea sio mazuri. Halafu kwanini na zamuzamu.
Mama kuwa na huruma hata kidogo jamani. Lol.Mungu washushie kutokuelewana na migogoro mingi ili wafarakane nao waonje adhaa ya kufungwa sita kavu.
Watu wote waseme AMINA.
Naipenda Simba mshabiki wa Damu
🤔🤔🤔🤔Serikali ishajua kivuli chake ni simba na Yanga, ndo mambo yanayowapumbaza wananchi wake, baada ya Simba kutawala soka miaka minne ikaja zamu ya yanga, kwa mwendo wa eng hersi wanaona kabisa huyu anaweza kutawala soka hata miaka 10, makolo wapate depression waingie mtaani kama gen Z wa kenya, Bora wamtoe makolo wapate hata ahueni kidogo, and the circle goes on
Kwanini?Kweli wazee wa yanga viazi sana .
BWANA mdogo hatuwezi bila kufuata taratibu tulizojiwekea wenyewe,,,Huu ujinga tunataka soka letu lifike mbal sio ujinga huu...
Daah!kweli engineer kidonge kichungu msimbazi.Naunga mkono mahakama.
Injinia gani anahangaika na mpira.
Bure kabisa.
Shikamoo babu!Potelea mbali. Guede aende tu. Maana hakuna namna nyingine. Na huyo Magoma hana uwezo wa kushindana na wananchi wote. Ni suala tu la muda kabla ya kumshughulikia ipasavyo. 😡
Sitaki kuzeeshwa mimi!! 😩Shikamoo babu!