Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

So sad.
Hawa wazee wa timu ni mtihani sana.
Timu iko on fire pesa za kuwasajiri akina Chama zipo.
Ni hatari na nusu
 
Simba tutaipiga goli 12 pamoja na hila zenu za kununua magoli ya Saido na kipindi kile cha kiatu cha Mayele akapewa Mpole bado tuzo mnasema mtazitoa kwenye ngao ya jamii

Simba tutaipiga goli 12 pamoja na hila zenu za kununua magoli ya Saido na kipindi kile cha kiatu cha Mayele akapewa Mpole bado tuzo mnasema mtazitoa kwenye ngao ya jamii
Ngoja wazee kakazie hukumu ndio akili iwasogee vzr
 
Safi xnaaa muanze kua busy na matatizo .waizi wa wachezaji nyie
 
Acha tuisubiri saa nane mchana hiyo kesho!
 
Kuna wakati nilihoji, lakini nikajikuta niko peke yangu Tanzania nzima, kwamba, hivi inakuwaje kuna kampuni yenye uhusiano wa kibiashara na Yanga, that is GSM, halafu Mwenyekiti wa Yanga, Eng. Hersi, ana ajira rasmi, ukurugenzi wa sijui finance, huko GSM ?

Maslahi ya Yanga na GSM yakisigana, huyu Mwajiriwa wa GSM na Mwenyekiti wa Yanga, anasimama wapi ????

Halafu huyu Mwenyekiti wa Yanga, hana maamuzi ya kusema labda kwa nafasi yake huko GSM ataisaidia Yanga, hawezi kwa saab na yeye ana bosi wake huko GSM ambae nae anatafuta maslahi yake ya kibiashara ndo maana akaji associate na Yanga tangia hapo, yani Ghalib na GSM yake. Inakuaje hiiiiii ? Nobody answered me!

Kumbe bana kuna wenzangu wazee wawili wako nchi hii nao hawamkubali kabisa huyu Eng. Hersi.
 
Baada ya kuanza kushindashinda hii hoja waliizika ila lilikuwa suala la muda tu
 
Tumpe timu yeye akishindwa kuiendesha apigwe mawe 😁, Halafu mbona sio mzee
 
Hiyo kesi ilikuwa inasikilizwa upande mmoja? Halafu hukumu ya Mahakama inayojiamini isingeamuru waachie ngazi bali ingebatilisha uongozi uliopo, unaamuruje uongozi kuachia ngazi wakati hukumu haijabatilisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…