Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Hivi Mtu akiwa choko Mpk ajidhihirishe si wafanywe kimya kimya km kina Fulani
Hao nao wamezidi bwanaaa...yaani hawajifochi ht kidogo kaahh
Kwa ufupi serikali inatakiwa ikaze kamba kwa kuanza na waandishi wa habari, wasanii.
Wawaite na kuwaonya bila kamera huku wakijua kabisa kitachotokea

Wapige marufuku Singeli na nyimbo za ajabu ajabu
 
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594645
Tangu lini ushoga ukapimwa hospitali? Yani mambumbumbu ni wengi sana kuanzia viongozi mpaka wananchi. Alafu wanaowafira ndio hatari zaidi hao ndio wakushughulikiwa. Hovyo sana.
 
Kabisa mkuu kuna mmoja alikuwa ana mtongoza kijana wangu wa kazi image kijana ni mgeni dar halafu lichoko linamwambia litampa pesa ili lifanywe😬
Wanaharibu sana hasa vijana na watoto, mwaka jana kuna mmoja alikamata mchana kweupe akifanywa na mwanafunzi wa form 4. Alimdanganya kwa kumtoa out na kumpa elfu 20 😔. Mama Mwenye nyumba yake ndie alieshtukia mchezo baada ya kusikia sauti za ajabu.
 
Back
Top Bottom