SatCitAnanda
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 643
- 1,099
We kaa ku associate nao vipimo vitahusu.Itakuja kutokea mtawala asiyependa tu wapinzani na akawa anawapa tu kesi za ushoga kisha wanaenda kupimwa kama walivyopimwa mkojo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kaa ku associate nao vipimo vitahusu.Itakuja kutokea mtawala asiyependa tu wapinzani na akawa anawapa tu kesi za ushoga kisha wanaenda kupimwa kama walivyopimwa mkojo tu.
Sijamkanda hata, marehemu alikua rafiki angu sana....ila ishu za kuliwa nlikuja kujua late na aliandika yeye mwenyewe kwenye uzi flani hivi
Wahame nchi wenywe uko sahihiSerikali haiwezi fanya hivyo, ni swala la sisi wananchi kudili nao kimtaa mtaa, watakimbia wenyewe
Mwanamke huyo, Serikali haihusiki naye kabisa
Watanzania fulani, a significant part of the population, hawajui maana ya individual rights.Ni haki yako kushangaa lakini hauna haki kukana uwepo wa tabia hiyo. Na kwa vile hamna sheria inayokataza matendo hayo mtu anaevifanya hawezi kuchukuliwa hatua za kisheria. Hata kama ni punga mzoefu maana hamna namna ya kuthibitisha hali iliyokutwa ilisababishwa na binadamu mwenzake au yeye mwenyewe bila kuwa na video ikionyesha akishiriki kwenye hayo mambo pamoja na mwanaume/wanaume/ wenzake au hata mwanamke.
Kwa sababu sheria hii haibagui hata wale wanawake wenye mchezo wa kujiingiza vitu kwenye sehemu zao zote za siri wanahusika.
Amandla...
Ngoja lije kumlawiti au kumtongoza mtoto wako wakiume (wafanye recruitment kwenye familia yako)...tuone kama utaendelea kusema hivyo (unless ni mmoja wao)...hizi kesi unazoona siku hizi za watoto wa kiume kulawitiwa wahusika ni wakuu ni mashoga (huku bongo yanajivika kivuli cha jina la 'basha' )...Shoga haathiri tozo wala kodi yangu na wala sijawahi kusikia kuwa Viongozi wa Chama cha Mashoga wamepora matrilioni ya fedha zetu za makusanyo ya kodi na tozo
Ila kila siku utasikia CCM imepora hichi imefungua akaunti China kuficha pesa za uporaji.
Hii ndo shida ya watanzania hatutumii akili kujibu hoja bali tunajibu tu yaani hatusomi kuelewa unasoma ili kujibu kisifa sifa bila staha.Gerezani hakuna hiyo michezo, we nenda afu utoe mkuyundu uone kama utatembea
Nchi yetu hairuhusu mapenzi ya jinsia moja? Mbona Makonda alivyowawashia moto mashoga Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje alimkana na kusema hayo ni mawazo yake binafsi, Makonda akanywea?Nchi yetu hairuhusu mapenzi ya jinsia moja.Na jamii yetu haipendi.
Kwa hiyo kama leo hii mim mtu mzima nikiamua kutembea uchi niachiwe tu sbb ni kalio na kei yangu nimeamua ipigwe
upepo hata kama
inawakera wengine?
Hata wazungu wanapinga ushoga ni vile tu ishakua too late kwao,wanalazimishiwa kuukubali.
Acheni sisi tujaribu kuokoa jamii yetu kama mambo hayajazidi unga.
Siku ukipewa amri ya kupewa hicho kipimo kwa kesi ya kubambikiwa labda utaelewa, tumieni akili kidogoAcheni pozy za kishonga kama hamtaki kupigwa dolee..
Hii kesi yako yakujiingiza vitu uko nyuma ni tofauti kidogo,..itabdi tuiangalie nayo..ila kwanini ujiingize vitu huko nyuma mkuu ,eti mkuu Nini kimekukuta.Na watajuaje kama hiyo hali inatokana na yeye mwenyewe kujiingiza vitu au vidole vyake? Sheria inakataza watu wawili au zaidi kushirikiana kuingiliana kinyume cha maumbile. Sasa watamfungaje mtu ambaye kwa starehe zake mwenyewe anajiingiza vitu/ vidole katika sehemu mbali mbali za mwili wake? Au alifanyiwa vitendo hivyo kwa kulazimishwa? Huu ni uonevu uliopitiliza.
Amandla...
Hebu yataje mkuu hayo mashoga tuongeze listDiamond ni mlezi wa Mashoga kibao ya yeye au ganishwe apimwe,.
Hiyo sio sayansi ni ujuha. Kuna watu wanamaumbile tofauti tu, bila ata kuingiliwa. Si kweli. Tunajiaibisha. Tunaonekana wapumbavu.Wana angalia Malinda kama yapo au ayapo! Kwa Macho kama mtu anaingiliwa kusiko usika ! Size ubadirika na ata kwa macho inaonyesha hivyo
Kitobo skuiz kipo kwenye chati kuliko k, shoga analiwa kwa pesa mingi kuliko muuza k na ndo maana wanawake nao skuiz wameanza kukimbilia kufirwa ili walipwe vzr.Halafu naona Mange Kimambi anawatafutia hifadhi kwenye ubalozi wa Marekani?Nacheka tu mwenyewe ,hawa wakienda Marekani watarudi wenyewe ,kule hakuna uswahili na lazima ufanye kazi yaani ushoga haikupi pesa ni part ya starehe tu
Ni ujingaujinga tu mihemko. Ushoga hauwezi kutokomezwa kwa mbinu za kizoba zoba hivo. Na kimsingi haiwezekani, ni kama kutokomeza wizi. Ngumu sana.Hizo sampuli za shahawa ndo zinakuwa extracted huko kwenye anal?
Na je Kama alishiriki wiki 3 tati zilizopita Bado hizo shahawa zitakuwepo?
Sisi hatutaki kutangaziwa. Kama ambavyo kuna watu wanaingilia mbuzi na mbwa, wengine wanalala na ndugu zao wa damu hawajitangazi, na wachezea mavi wasitutangazie.Ni ujingaujinga tu mihemko. Ushoga hauwezi kutokomezwa kwa mbinu za kizoba zoba hivo. Na kimsingi haiwezekani, ni kama kutokomeza wizi. Ngumu sana.
Joined january 25 2023. Haya karibu sana mgeni.Jf kuna mashoga hii ni hataree
Ushoga ni laana kwa jamii, we unadhani Sodoma na Gomora walikuwa wote mashoga!? Ila kwa laana ya Mashoga Mungu alichoma mji mzima so laana ha hawa mashoga wachache inaweza kutugusa hata sisi tusiohusika, lazima hatua zichukuliwe.This is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This is state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?
Report ya CAG ipo kila mwaka na hakuna hatua za maana zinazochukuliwaga so hata tungehoji kusingekuwa na jipya, acha tukomae na machoko.Hii ni nchi ya wapumbavu,
Tuliwaambia hili ni lengo madhubuti la kuwachota akili liliandaliwa na serikali ili msiendelee kuhoji vitu vya muhimu
Huu upumabvu uliandaliwa kabla ya ripoti ya CAG, sasa mmeingia cha kike.....
Kaeni mkao wa kula ili mliwe vichwa.....
Wasichojua ni kwamba hakimu katengeneza fursa mchongo wa Hela.Lazima maboss zao watacheza na kesi hiyo kuifunika
Boss wake si anajulikana
Ova