Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Ni haki yako kushangaa lakini hauna haki kukana uwepo wa tabia hiyo. Na kwa vile hamna sheria inayokataza matendo hayo mtu anaevifanya hawezi kuchukuliwa hatua za kisheria. Hata kama ni punga mzoefu maana hamna namna ya kuthibitisha hali iliyokutwa ilisababishwa na binadamu mwenzake au yeye mwenyewe bila kuwa na video ikionyesha akishiriki kwenye hayo mambo pamoja na mwanaume/wanaume/ wenzake au hata mwanamke.
Kwa sababu sheria hii haibagui hata wale wanawake wenye mchezo wa kujiingiza vitu kwenye sehemu zao zote za siri wanahusika.

Amandla...
Watanzania fulani, a significant part of the population, hawajui maana ya individual rights.

Watakuja hapa kudai demokrasia na haki zao, halafu wataji contradict kwenye individual rights za some minorities.

No logical consistency.
 
Shoga haathiri tozo wala kodi yangu na wala sijawahi kusikia kuwa Viongozi wa Chama cha Mashoga wamepora matrilioni ya fedha zetu za makusanyo ya kodi na tozo

Ila kila siku utasikia CCM imepora hichi imefungua akaunti China kuficha pesa za uporaji.
Ngoja lije kumlawiti au kumtongoza mtoto wako wakiume (wafanye recruitment kwenye familia yako)...tuone kama utaendelea kusema hivyo (unless ni mmoja wao)...hizi kesi unazoona siku hizi za watoto wa kiume kulawitiwa wahusika ni wakuu ni mashoga (huku bongo yanajivika kivuli cha jina la 'basha' )...
 
Gerezani hakuna hiyo michezo, we nenda afu utoe mkuyundu uone kama utatembea
Hii ndo shida ya watanzania hatutumii akili kujibu hoja bali tunajibu tu yaani hatusomi kuelewa unasoma ili kujibu kisifa sifa bila staha.

Maandishi yetu sometimes uonyesha namna mtu yupo na maisha ya aina ipi, amekulia katika mazingira yapi, pia huleta picha ya uwezo wake kuelewa jambo, hivyo huleta tafsiri ya haraka ya kiwango cha elimu cha mwandishi husika.
Next time uwe na heshima kijana.
 
Nchi yetu hairuhusu mapenzi ya jinsia moja.Na jamii yetu haipendi.

Kwa hiyo kama leo hii mim mtu mzima nikiamua kutembea uchi niachiwe tu sbb ni kalio na kei yangu nimeamua ipigwe
upepo hata kama
inawakera wengine?

Hata wazungu wanapinga ushoga ni vile tu ishakua too late kwao,wanalazimishiwa kuukubali.
Acheni sisi tujaribu kuokoa jamii yetu kama mambo hayajazidi unga.
Nchi yetu hairuhusu mapenzi ya jinsia moja? Mbona Makonda alivyowawashia moto mashoga Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje alimkana na kusema hayo ni mawazo yake binafsi, Makonda akanywea?

Na hayo mapenzi ya jinsia moja unayahakikishaje?

Hiyo habari ya kutembea uchi ni "whataboutism" na "strawman argument", hatuongelei mtu anayetembea uchi hapa.

Tunaongelea Tanzania hapa, kwa nini unaona ulazima wa kuwaweka wazungu, tena kwa kutumia "hata wazungu", kwa nini wazungu ndio wawe wa kupigiwa mfano?

Mtu mzima na kinyeo chake, akiamua kukigawa kwa anayemtaka kwa raha zake, wewe kinachokuwasha nini?
 
Na watajuaje kama hiyo hali inatokana na yeye mwenyewe kujiingiza vitu au vidole vyake? Sheria inakataza watu wawili au zaidi kushirikiana kuingiliana kinyume cha maumbile. Sasa watamfungaje mtu ambaye kwa starehe zake mwenyewe anajiingiza vitu/ vidole katika sehemu mbali mbali za mwili wake? Au alifanyiwa vitendo hivyo kwa kulazimishwa? Huu ni uonevu uliopitiliza.

Amandla...
Hii kesi yako yakujiingiza vitu uko nyuma ni tofauti kidogo,..itabdi tuiangalie nayo..ila kwanini ujiingize vitu huko nyuma mkuu ,eti mkuu Nini kimekukuta.
 
Halafu naona Mange Kimambi anawatafutia hifadhi kwenye ubalozi wa Marekani?Nacheka tu mwenyewe ,hawa wakienda Marekani watarudi wenyewe ,kule hakuna uswahili na lazima ufanye kazi yaani ushoga haikupi pesa ni part ya starehe tu
Kitobo skuiz kipo kwenye chati kuliko k, shoga analiwa kwa pesa mingi kuliko muuza k na ndo maana wanawake nao skuiz wameanza kukimbilia kufirwa ili walipwe vzr.

Watu hawataki kufanya kazi kisa wanajua kitobo kipo, kitashughulikiwa Kwa hongo
 
Ni ujingaujinga tu mihemko. Ushoga hauwezi kutokomezwa kwa mbinu za kizoba zoba hivo. Na kimsingi haiwezekani, ni kama kutokomeza wizi. Ngumu sana.
Sisi hatutaki kutangaziwa. Kama ambavyo kuna watu wanaingilia mbuzi na mbwa, wengine wanalala na ndugu zao wa damu hawajitangazi, na wachezea mavi wasitutangazie.

Msituletee Umarekani huku jamani, nyie nendeni huko muwe free.
 
Jf kuna mashoga hii ni hataree
Joined january 25 2023. Haya karibu sana mgeni.
Ila tu nikujulishe hawawezi kukosa maana hii ni jamii.
Na ina idadi kubwa ya watanzania ukiwamo wewe ambaye sio shoga, wapo mashoga, wapo wakulima, wapo wajasiriamali, matajiri wa kkoo, wachaga na wakinga, wapo wasukuma, chawa wa mama, wapo viongozi kama nape nnauye, yupo mama samia raisinwa tanzania, yupo humu daktari bingwa wa muhimbili, ocean road, wapo waathirika wa ukimwi, wapo waganga humu na wanaoujua uganga mfano mshana jr, wapo wauza nguruwe. Humu jf wapo watu wa aina nyingi, kuna hadi watoto humu chini ya miaka kumi na nane.
Narudia tena KARIBU SANA.
 
This is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This is state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?
Ushoga ni laana kwa jamii, we unadhani Sodoma na Gomora walikuwa wote mashoga!? Ila kwa laana ya Mashoga Mungu alichoma mji mzima so laana ha hawa mashoga wachache inaweza kutugusa hata sisi tusiohusika, lazima hatua zichukuliwe.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni nchi ya wapumbavu,
Tuliwaambia hili ni lengo madhubuti la kuwachota akili liliandaliwa na serikali ili msiendelee kuhoji vitu vya muhimu
Huu upumabvu uliandaliwa kabla ya ripoti ya CAG, sasa mmeingia cha kike.....
Kaeni mkao wa kula ili mliwe vichwa.....
Report ya CAG ipo kila mwaka na hakuna hatua za maana zinazochukuliwaga so hata tungehoji kusingekuwa na jipya, acha tukomae na machoko.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom