Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Hawataachiwa, hawa wanakaziwa kutoa fundisho
Huyo si ndiyo mbunifu
Wa msanii mkubwa bongo
Na kama watapelekwa maharani
Utaona jinsi wasanii wakatavyo jaa
Kuwa support
Utasikia...oh am feeling sorry for N
[emoji1]
Alafu huyu joti miaka nenda rudi
Ameupromote sana ushg na mijitu
I nakaa na kumfatilia
Na comedy zake za vidole juu

Ova
 
Hii kesi yako yakujiingiza vitu uko nyuma ni tofauti kidogo,..itabdi tuiangalie nayo..ila kwanini ujiingize vitu huko nyuma mkuu ,eti mkuu Nini kimekukuta.
Nimetoa huo mfano kuonyesha how stupid the whole idea ya kumpima mtu kama ni shoga au sio is. Ni kama vile hapo zamani maharusi walikuwa wanatandikiwa shuka nyeupe ili kupata uhakika kuwa bi harusi ni bikira au sio. Kama hapatakuwa na damu baada ya kufanya tendo la ndoa yule binti alikuwa anahesabiwa kuwa ni mbovu. Hii ni pamoa na ukweli kuwa hymen ya mwanamke inaweza kukatika hata bila kufanya tendo la ndoa na kuwa kuna wengine wanazaliwa bila hymen. Huu ni upuuzi ule ule.

Amandla...
 
Nadhani wakibaini kuwa kweli wanafanya, itabidi wataje pia wanaowafanya itakuwa njema Santa Ili kukomesha huh upuuzi

Na ukitajwa wewe utathibitisha vipi kuwa haujamwingilia mwanaume mwenzako kinyume na maumbile? Ujue kuwa mbele ya hukumu ya miaka 30 jela mtu anaweza kumtaja mtu yeyote kwa mategemeo kuwa akifanya hivyo adhabu yake itapunguzwa. Kuweni waangalifu kwenye vitu mnavyoomba maana Mwenyezi Mungu anaweza kuwapa.

Amandla...
 
Nimetoa huo mfano kuonyesha how stupid the whole idea ya kumpima mtu kama ni shoga au sio is. Ni kama vile hapo zamani maharusi walikuwa wanatandikiwa shuka nyeupe ili kupata uhakika kuwa bi harusi ni bikira au sio. Kama hapatakuwa na damu baada ya kufanya tendo la ndoa yule binti alikuwa anahesabiwa kuwa ni mbovu. Hii ni pamoa na ukweli kuwa hymen ya mwanamke inaweza kukatika hata bila kufanya tendo la ndoa na kuwa kuna wengine wanazaliwa bila hymen. Huu ni upuuzi ule ule.

Amandla...
Ndomana walikuwa wanaweka firigisi za kuku.
Damu pekee kwangu haiwezi kuwa uthibitisho wa bikra, yani unaenda break pumbu halafu utoke na damu ufurahie umepata bikra? Umeliwa.

Ngoja nikupe siri nyingine ambayo nilisomaga zamani. Hata msichana ukitaka kujua kuna hali gani kwenye papuchi unajaribu na vidole viwili. Vikienda bila kipingamizi you know what you're in for.

So mimi si question uhalali wa hicho kipimo kabisa, zaidi ya the prospect of humiliating the innocent.
 
Huyo si ndiyo mbunifu
Wa msanii mkubwa bongo
Na kama watapelekwa maharani
Utaona jinsi wasanii wakatavyo jaa
Kuwa support
Utasikia...oh am feeling sorry for N
[emoji1]
Alafu huyu joti miaka nenda rudi
Ameupromote sana ushg na mijitu
I nakaa na kumfatilia
Na comedy zake za vidole juu

Ova
Unajua kuwa tundu lissu alikuwa kwenye list ya dudubaya? Nae akapimwe
 
Huyo si ndiyo mbunifu
Wa msanii mkubwa bongo
Na kama watapelekwa maharani
Utaona jinsi wasanii wakatavyo jaa
Kuwa support
Utasikia...oh am feeling sorry for N
[emoji1]
Alafu huyu joti miaka nenda rudi
Ameupromote sana ushg na mijitu
I nakaa na kumfatilia
Na comedy zake za vidole juu

Ova
Kwa sasa wanafinywa kimya kimya husikii wakitetea ujinga
 
Kutaka luxury life na status mjini...
Na Huwa hawayapati hayo maisha mazuri.
Noel juzi tu hapa kabadilisha IST tena Kwa gari used l ujerumani.
Kelvin events walau kayapatia.

Anyway nimemuonea huruma sana Diva Noel naona kama anaumia.
Such a sweetheart very humble person, a real diva 😄 mapoti wetu wa oyster bay muoneeni huruma Noel msikaumize hakanaga shida kenyewe 😀😀😀
Ila Kwa upande mwingine nimefurahi huyo mzungu mshenzi sana maana anatuharibia vijana mno.
Mshenzi sana.
 
Big up sana serikali ya Mama Samia. Mambo namna hii. Tulihisi serikali imeshindwa kabisa mapambano haya. Mtaani sasa hakufai kwa hawa viumbe. Wana kazi ya kuwaiga hao wenzao maana wanaona wamepata mafanikio ya maisha kwa shortcut hiyo. Wasiachwe kina Juma, Kumbuka, Aggrey, etc.
 
Back
Top Bottom