Mahakama yakataa maombi ya Serikali, Dhamana ya Boni Yai sasa kutolewa Oktoba 7, 2024

atakoma si alikuwa anajifanya jeuri?tarehe 7 tena wanapiga karenda mpaka mwezi wa 11 ili heshima irudi bado mdude

..halafu mnateka na kuuwa wengine.

..badala ya kusogeza muda mtatue tatizo, mnasogeza muda ili mtende uovu zaidi.
 
Kuna ishara njema! Naona dhamana inaenda kutoka.
 
Mnafunga mlipa Kodi lakini uvccm msiolipa Kodi mmekalishwa Lumumba kusambaza ujinga mitandaoni nakuteka watu
 
Labda lengo asiweze kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, asije akapata udiwani eventually umeya.
 
hakimu clip yake iilisambaa sana miezi kadhaa iliyopita, nikiipata nitaiweka hapa....Suala la Kombo wa chadema aliyetekwa mpaka RB ikaandikwa polisi baada ya siku 29 polisi wakakiri kuwa naye lipo wazi kwenye mitandao....google tu mwenyewe
Inasikitisha Sana tunaua vipaji na uweledi wa watu wetu na anayefanya hivyo utakuta Shule Yake ya kubabaisha.
 


Mahaka za Prof zina mambo ambayo wakati mwingibe siyo rahisi kuyaelewa
1. Mwanzo polisi waliweka mapingamizi mawili
2. Wakayatoa wenyewe na kuleta jipya la usalama wa Boni Yai
3. Leo mahakama ikasema halina mashiko. Maana yake hadi muda huu hakuna pingamizi la dhamana.
4. Mahakama ya Prof ikashindwa kutoa dhamani hadi baada ya siku saba ndipo itafikiria habari ya dhamana.
5. Sijajua hakimu anasubiri rihusa au?????
TZ raha sana pote pote ni kama burudani tuu
 

..Na serikali wakileta pingamizi lingine hiyo Oct 7, Hakimu ataahirisha kutoa uamuzi wa dhamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…