Samvurah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 532
- 515
Wewe ni Malaya wa kisiasa ,unatumia makalio kufikiriaBony aache ubishi,atowe code kwa simu yake watu wafanye uchunguzi wa mauwaji ya Mzee Kibao la sivyo atasota sana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni Malaya wa kisiasa ,unatumia makalio kufikiriaBony aache ubishi,atowe code kwa simu yake watu wafanye uchunguzi wa mauwaji ya Mzee Kibao la sivyo atasota sana!!
Unatoooooototooatakoma si alikuwa anajifanya jeuri?tarehe 7 tena wanapiga karenda mpaka mwezi wa 11 ili heshima irudi bado mdude
atakoma si alikuwa anajifanya jeuri?tarehe 7 tena wanapiga karenda mpaka mwezi wa 11 ili heshima irudi bado mdude
Ataishia kuvunjwa mataya tuAkitoka ndio kwanza atakuwa na hasira kama SATIVA.
Acha waendelee kujifunga...Bon anaenda kuwa GIANT soonKama hawajui ndo kwanza wanamjenga kisiasa
Ni uhuni tu unafanyika, kumtoa Boni. Zinapigwa Dana Dana ilimradi tu akae ndani. Kinachofanyika hapa ni kumjenga kisiasaNdo alichokataa mzee wetu wa katiba mpya jaji warioba kuikutanisha mihimili pamoja kuinywesha chai ikulu haileti picha nzuri ndo haya tunayoyaona
Labda lengo asiweze kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, asije akapata udiwani eventually umeya.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai.
Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam, mfanyabiashara na mwanasiasa, anakabiliwa na kesi ya uchapishaji taarifa za uwongo kwenye mitandao, ambayo upelelezi wake bado haujakamilika.
Hata hivyo Mahakama hiyo imepiga kalenda tena uamuzi wa maombi ya awali ya upande wa mashitaka ya kuzuia dhamana ya Boni Yai, ambao awali ilikuwa imepanga kuutoa Septemba 23 ikaahirishwa mpaka Septemba 26, ambapo pia Mahakama ilishindwa kuutoa baada ya Serikali kuomba kuwasilisha kiapo cha ziada.
Sasa Mahakama hiyo imepanga kutoa uamuzi huo wa maombi ya awali ya Serikali ya zuio la dhamana Oktoba 7, 2024.
Au ni kama alivyosema nabii Rost Arm?😄😄😄Kwanini hakuitoa leo? Kuna nin nyuma ya pazia?
exactly! Hvi kwanini samia anajiharibia jina?Au ni kama alivyosema nabii Rost Arm?😄😄😄
Inasikitisha Sana tunaua vipaji na uweledi wa watu wetu na anayefanya hivyo utakuta Shule Yake ya kubabaisha.hakimu clip yake iilisambaa sana miezi kadhaa iliyopita, nikiipata nitaiweka hapa....Suala la Kombo wa chadema aliyetekwa mpaka RB ikaandikwa polisi baada ya siku 29 polisi wakakiri kuwa naye lipo wazi kwenye mitandao....google tu mwenyewe
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai.
Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam, mfanyabiashara na mwanasiasa, anakabiliwa na kesi ya uchapishaji taarifa za uwongo kwenye mitandao, ambayo upelelezi wake bado haujakamilika.
Hata hivyo Mahakama hiyo imepiga kalenda tena uamuzi wa maombi ya awali ya upande wa mashitaka ya kuzuia dhamana ya Boni Yai, ambao awali ilikuwa imepanga kuutoa Septemba 23 ikaahirishwa mpaka Septemba 26, ambapo pia Mahakama ilishindwa kuutoa baada ya Serikali kuomba kuwasilisha kiapo cha ziada.
Sasa Mahakama hiyo imepanga kutoa uamuzi huo wa maombi ya awali ya Serikali ya zuio la dhamana Oktoba 7, 2024.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai.
Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam, mfanyabiashara na mwanasiasa, anakabiliwa na kesi ya uchapishaji taarifa za uwongo kwenye mitandao, ambayo upelelezi wake bado haujakamilika.
Hata hivyo Mahakama hiyo imepiga kalenda tena uamuzi wa maombi ya awali ya upande wa mashitaka ya kuzuia dhamana ya Boni Yai, ambao awali ilikuwa imepanga kuutoa Septemba 23 ikaahirishwa mpaka Septemba 26, ambapo pia Mahakama ilishindwa kuutoa baada ya Serikali kuomba kuwasilisha kiapo cha ziada.
Sasa Mahakama hiyo imepanga kutoa uamuzi huo wa maombi ya awali ya Serikali ya zuio la dhamana Oktoba 7, 2024.
atakoma si alikuwa anajifanya jeuri?tarehe 7 tena wanapiga karenda mpaka mwezi wa 11 ili heshima irudi bado mdude
Kwanini hakuitoa leo? Kuna nin nyuma ya pazia?
Mahaka za Prof zina mambo ambayo wakati mwingibe siyo rahisi kuyaelewa
1. Mwanzo polisi waliweka mapingamizi mawili
2. Wakayatoa wenyewe na kuleta jipya la usalama wa Boni Yai
3. Leo mahakama ikasema halina mashiko. Maana yake hadi muda huu hakuna pingamizi la dhamana.
4. Mahakama ya Prof ikashindwa kutoa dhamani hadi baada ya siku saba ndipo itafikiria habari ya dhamana.
5. Sijajua hakimu anasubiri rihusa au?????
TZ raha sana pote pote ni kama burudani tuu