900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Mahakama dhaifu hutenda kidhaifuWakuu,
Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata
===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya video wakati wa comital proceedings hii mahakama inavizuia hadi pale itakapotoa amri nyingine itakapotolewa na mahakama hii au mahakama kuu"
haki gizaniWewe ndiye unataka kupotosha. Kwasasa watakaosikiliza ni hao tu walioko ndani na wakitoka nje hawatakiwi kuongea chochote.
Kitakachofuata ni kujaza watu wao mahakamani ili Chadema wasiwe na watu kule ndani.
Na Kisutu ndio kijiwe cha kuchapa wahalifu mvua ya miaka jela. Commital ina baraka za Mungu, mtu anaenda kunyongwa, watu wanaonyongwa mara nyingi huwa wana knya pale wanapokaribia kukata rohoLeo toka alfajiri mpaka sasa ni mvua tu hii ni ishara nzuri kwa lisu siku saba zijazo.
I think so. Ni mbaya sana kufanya kazi kwa maelekezo.Huenda alikuwa anasoma kitu ambacho hakijui ameletewa tu soma
Safi sana,nyumbu wamewezwaWakuu,
Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata
===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya video wakati wa comital proceedings hii mahakama inavizuia hadi pale itakapotoa amri nyingine itakapotolewa na mahakama hii au mahakama kuu"
😤😤Ngoja tuanze kuwaripoti chadema wanaokiuka amri hii. Meaning TV zote na digital platforms zote zikae kimya.
Shnzy type
Ili mshinde mnahitaji kuungwa mkono na watanzania kwa maana bara na visiwani acheni kueneza chuki za kikanda haitosaidia kituSamia Mzanzibari amedhamiria kumuua Lissu Mtanganyika kwa kuwatumia Watanganyika.
Watanzania tumekwisha,tumerudi rasmi utumwani wa mkoloni mweusi.Wa mtaa wa manyasi ya kijani .Huamini ni wewe endelea kuamini unavyoamini.Wakuu,
Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata
===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya video wakati wa comital proceedings hii mahakama inavizuia hadi pale itakapotoa amri nyingine itakapotolewa na mahakama hii au mahakama kuu"
Sheria ipi sasa Lissu kavunja...Kama ww unaona Mahakama zina upendeleo mwingi!!!
kwanzia sasa fata Sheria za Jamhuri ili usijekujikuta upo chini ya Mahakama usizozipenda !!!
ukiwa uraiyani kichwa kinakuwa kikubwaa kelele nyingi siogopi Siogopi kitu.
Ukibwagwa Mahakamani unataka Dunia ijue matatizo yako. Fata Sheria au hatutaki kilio cha mtu mzima.
Mkuu, hukulijua hilo! kwani uliona wanyama (simba na wengineo) wana tusumbua sana hapa TZ, ukilinganisha na wasiojulikana.Hii dunia nimeiogopa ,adui yako ni bibadamu mwenzio
Wanaona aibu huo utoto wao kusikika na kila mtu, ndio maana hawataki itangazwe kwani ni aibu kwa muhimili wa mahakama kwa mashahidi wa kutengeza.Ukienda ndani wamejaza mapolisi tu. Hatapewa nafasi ya kuingia ndani
Dada yake James delicious upoNgoja tuanze kuwaripoti chadema wanaokiuka amri hii. Meaning TV zote na digital platforms zote zikae kimya.
Shnzy type
Samia ndiye analeta chuki kwa kuua WatanganyikaIli mshinde mnahitaji kuungwa mkono na watanzania kwa maana bara na visiwani acheni kueneza chuki za kikanda haitosaidia kitu