Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

Kuanzia mwezi November atakuwa huru hakuna kesi hapo
 
Kufuata sheriabsio kuogopa mahakama zinazopendelea. Hapa naona unapandikiza woga wa kipuuzi. Ni hivi, Lisu hana tatizo na kesi, ila mahakama iwe huru na ifanye kazi yake bila kuingiliwa na yoyote. Sio kutuletea mashahidi wa kutengeneza kwa kesi ya kutaka kusujudiwa kwa viongozi majizi.
 

Cheki hoja sengese hii, mashitaka humfuata mtu pasipo kuyaomba ila mwisho wa kesi hukumu ndio itasema una makosa ama la, acha hoja sengese kama hujui,
 
Changamoto ni kuwa kila ombi la serikali mahakamani linakubaliwa na kila ombi la mshitakiwa linakataliwa kwenye kesi zote mbili.Hii inaendelea kuifanya mahakama kutokuwa chombo cha haki bali ni mwendelezo wa prosecution.
Rostam alishasema akamaliza
 
Huu ni uamuzi uliotegemewa, hivyo si jambo geni. Hakuna jambo gumu kama kulinda hila.
Kwa hiyo hapo hukumu ikitoka ndio wanatangaza au wanamhukumu kimya kimya tu bila watu kujua?
 
Ni uzuni kubwa kwa historia ya nchi yetu..
 
Kwa Hali ilivyo hakimu hayuko normal, Ile hukumu inaonekana ni maelekezo
 
Hii nchi yetu sio nchi ya kuishi kabisa.

Nitajitahidi kwa hali na mali kuhama hii nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…