Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Kwa bank amenoa, tatizo yupoyupo disorganized life na ujinga mwingi.Ila Harmonize ni mtata kwenye kulipa madeni, nakumbuka miaka kadhaa hapo nyuma amewahi kukimbia deni la kodi ya nyumba aliyokuwa akiishi huko Mbezi Beach kwa Mchagga mmoja kama 150 Milioni hivi.
Yah, mkuuVigezo vya mikopo ni kama capital, capacity, cash flow, collateral na CHARACTER! Hapo kwenye Character jamaa kazingua.
Nicole kala pesa zake.....Ile nyumba ya engineer nani!
Kutwa kuvimba yake
Wasani tatizo wanaishi kwa kufake
Huyo sana sana madem wanamlia tu
Asione msambwanda huyoooo
Ova
NimechekaUko sahihi. Hiki kibibi kisivyo na simile kinaweza kumlipia.
Jiwe angekuwepo asingelipa na kusingekuwa na case.Tatizo wakati wa kulipa Jiwe akaondoka, angekuwepo sidhani kama tungefikia hii hukumu.
Alianza utundu zamani, Wakati huo kabinti alikuwa anakaa kwa mjomba wake oysterbay polisi kota Kila siku vikao kwa usumbufuSasa huyo mshamba anahaingaika na kajala wakati hyo kajala kaanza utundu tokea yuko darasa la 6 ashapigana vita vingi
Ova
Sasa kama ni kweli hauna hiyo pesa ya kulipa huo mkopo utafanyaje na mipango yako imekwenda ndivyo sivyo!!?? Mikopo safe ni bado ile ya ajira,yaani kibarua chako ndiyo kinakuzamini kutokana na Mshahara wako wa kila mwezi! HR ndiyo anasimamia show yote na wwe kazi yako ni kuangalia ile amount ulio taka na.ku sign tu!!watu wanajisahau kua mkopo ni hela ambayo si yako
na benki mpaka wanamwanika walishaona red light mbele, kiufupi wameshalijua anguko lake hata kimuziki na fame.Haya ndio matatizo ya kupata pesa nyingi ukiwa bado umri mdogo.Bank hawawezi kuwa wajinga kiasi hicho kumkopesha mtu bila dhamana,vinginevyo kuna nguvu kutoka serikalini ilitumika,na dogo kwakuwa ana ka ushamba flani ka asili anaona kutokulipa ni ujanja,kumbe hajui hilo linaweza kuwa ndio anguko lake...
Hivi taaluma ni nini kwa kiswahili?
Ila Harmonize ni mtata kwenye kulipa madeni, nakumbuka miaka kadhaa hapo nyuma amewahi kukimbia deni la kodi ya nyumba aliyokuwa akiishi huko Mbezi Beach kwa Mchagga mmoja kama 150 Milioni hivi.
La wasafi alishalipaUmesahau Deni la wasafi
fi
Lakini inaelekea analipaUna uhakika gani kama na yeye hana madeni?
Tengeneza App upige pesa kama "Da Mange".Ninazo nyingi sana, mchawi muda tu sipati wa kuandika.
...of character 😂Defamation