DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Huyu ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni nani?
Matusi ya nini jamani!Umejiunga JF lini? Hizo unazoona huko juu, bila mimi kutuma zisingepanda, mods wamerekebisha uzi, mtoa mada hakuweka wala hakutaka kuweka na alisema kwa maneno yake, fatilia uzi, mimi nikazileta. Mshamba mama yko.
Wahuni Bado Wapo Wengi Sana, Kukopa Harusi Kulipa Matangaduwh juz kati nilikutananae classic mall yuko na range moja matata kaingia crdb moja kwa kwenye getto la branch manager tukasema dah mwamba kishapita level za kukaa kwente mnyororo yeye fungu anaenda kuchukulia kwa wakubwa kabisa.
kumbe muhuni ana majanga makubwa kuliko sisi
Hapana madam kwakuwa wewe ni mwalim wa kuke huwezi elewa ila wanaume ndo wanaelewa ni kiasi gani ilivyo ngumu kuendesha familia na kipato kiduchuUmelaaniwa!
Ni 90.44M, hakuna cha bure kikubwa upeleke sehemu husikaHapo riba ni 54 million kwa miaka mitatu alooo 🥵
Atalipiwa na wale kijani 😄Alidanganyia tu kwa kupata mkopo lakini huenda akitaka kugombea Ubunge
Na wanafanya upuuzi kwakuwa wana backup ya wanasiasa wakubwa nchini, sijui walitumia vigezo gani kumpa mil300
Mimi ningekuwa wewe ningejiuliza; je, benki wanaweza wakanipa mimi milioni mia tatu? Ukipata utajua vigezo pia ukikosa utajifunza kuwa na vigezo vinavyo hitajika. Soma post namba 17Na wanafanya upuuzi kwakuwa wana backup ya wanasiasa wakubwa nchini, sijui walitumia vigezo gani kumpa mil300
Atalipa tu mfanyabiashara yoyote hivi ni vitu vya kawaida madeni, hasara, kesi etc **** huwezi kuvivumilia hivi basi baki kuajiriwa tuHaina shida tokea 2019 Mkuu?
definitely...of character 😂
Utata mpaka kwenye hela ya mikopo wa bank(CRDB)Hela anazo ni mtata tu hapendi kulipa madeni.
Mama ake Faraji kahangaika sana tena sanaUishi na kajala usit3geme atakuongoza zaidi ya kutaka kula bata
Amulize yule faraji aliyekuwa benki
Alipiga hela akaishia jela
Faraji katoka ila kajichokea yuko tbt huko 😄
Ova
Sijui huo ukoje ila mimi nimekopa CRDB Kwa dhamana ya ajira, mkopo ulikuwa 6,000,000/= (miaka miwili)Nje ya mada kuna jamaa kapiga hesabu ya muda * riba + mkopo ili kupata rejesho la jumla
Muda - 3 years
Riba - 18%
Kisha akahitimisha kwamba mkopo wa 300M inatakiwa kurejesha 354M kwa miaka 3.
Mimi nina experience na industry ya Fintech (mfano mkopo wa kampuni kama za Watu Simu, Watu Pikipiki, Laina, Branch etc)
Na kwa Fintec huu mkopo unapigiwa hesabu kwa mtindo huu mkopo/muda+mkopo*riba. Hapa tunataka kuona kila mwaka mteja atalipa sh ngapi
300,000,000 / 3 + 300,000,000 * 0.18 = 154,000,000
This means kwa huu mkopo wa Harmonize alitakiwa kulipa 154,000,000 kila mwaka kwa miaka 3. Ambapo jumla inakuja 462,000,000
Hivyo jumla ya rejesho la mkopo wa 300M ni 462M kwa miaka 3.
Kama kuna mtu wa benki aconfirm, but hii ndiyo sababu mikopo huonekana mwiba kwakua watu wengi hawaulizi hesabu za kweli ili wajue kiukweli malipo yatakua sh ngapi
Samahani mkuu ningeomba ufafanue zaidi maana kuna kitu kwenye comment yako imenifikirisha sana. Kuna vitu vizito umeviongea ila kwa lugha ya uficho. Nina jirani yangu kanasa kwenye mkopo wa bank yaani wanavutana na bank kesi bado mbichi , jamaa kalamba 170M. Kwa hìvyo naomba utoe elimu hapo kuna jambo litanisaidia. Asante mkuu.hawana lolote hao CRDB
wangekuwa wanajua banking and lending wangeshikilia dhamana
Konde Boy, wapige kisawa sawa hao wasomi uchwara wa CRDB
Walikutaka ufungue akaunti ya. biashara ili waone miamala yote ya maokoto na ma bills ya kampuni.
Biashara went burst, and they see all the accounting records, what they what you to do, rob the bank to pay the bank ?
Wamezoea predatory lending kwa wanyonge wasio na sauti. Konde, kaza hapo hapo. We don't commiserate with these predatory banks. Eff them!
Wamakonde wanawaza humu tyuuHata Mimi nimeshangaa Sana mmakonde kumbe kichwani hazimo kbsa
hawahawa crdb walisababisha kifo cha komba kwa mamikopo yao ya kipuuziKwa crdb kayakanyaga itamtokea puani
Kabisa ,bila mikopo hatutoboi hata kidogoUpuuzi kabisa mtu unakuta anatamba eti kazi ya ualimu ni kazi ya Laana,Sasa tangu nizaliwe sijawahi sikia mwalimu kafikishwa mahakamani Kwa kushindwa kulipa mkopo wa benki au kauziwa assets zake Kwa kushindwa kurejesha mikopo ya benki.
Sasa Harmonize kashindwa kulipa M 100,Huu upuuzi,Sitaicha kazi ya ualimu kamwe,hapa navuta Muda nije niende nikavute mpunga M 32 nione mtu ananilaumu Kwa kutegemea mikopo , nijivinjari zaidi.Asante Mungu kwa kazi ya ualimu,Kiufupi huwezi toboa maisha bila kukopa ,kama unakopesheka kopa