Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

Uwa najiuliza mbona wengine wakishindwa kulipa mkopo mali zao zinashikwa na kuuzwa na wengine wanabembelezwa .Tofauti ni nini
Ina tegemea na makubaliano, unaweza kuta walimpa mkopo bila ya security ili awe balozi wao ila mkopo arudishe, so hakuna cha kuuza zaidi ya kulazimisha alipe
Akishindwa kulipa, ndio hapo unaenda kuomba mahakamani kukamata mali zake ziuzwe kulipa deni
 
Huyu jamaa kila siku nasema ni bwege, kwanza alienda kukopa magari amuhonge Kajala, afu alipoachwa akaanza kusema ana roho nzuri eti amemwachia gari na deni bado analipa, kiuhalisia kajala alimuwahi kwenye kadi vinginevyo angempokonya gari zote. Pia kulipa ilikuwa ni lazima kuficha aibu kwani kama asingelipa wenye gari wangelifata kwa Kajala na Harmo angedhalilika zaidi. Huyu dogo ushamba mwingi sana.
 
😂😂😂😂
 
Mama ake Faraji kahangaika sana tena sana
Faraji aliletwa amana kutibiwa
Akiwa chini ya pingu,nkafanya mchongo tukamvisit na mama yake alikuwepo...
Mama kuna maneno aliongea pale ya busara sana ni kama alimony mwanawe kuhusu uhusiano wake na yule K
Faraji alikuwa smart sana kichwani,ange stick na taaluma yake na ku concentrate na ajira
Yake mpk leo angekuwa mbali sana...ila kutaka hawa viumbe wa kwenye luninga pasuaaa

Ova
 
Ndio shida ya kutaka slay queen
 
Mtandale yuko smart upstair na ana timu nzuri
 
Mtandale yuko smart upstair na ana timu nzuri

The guy is ahead of the time ana timu nzuri pia anajua destination yake ni ipi akurupuki

Naona yule jamaa atatawala hiki kiwanda cha music na maisha kwa muda mrefu Sana .

Smart
Humble
Financial intelligence
Good team work

Also the guy never get complacent -Ana njaa na MAISHA haridhiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…