Ina tegemea na makubaliano, unaweza kuta walimpa mkopo bila ya security ili awe balozi wao ila mkopo arudishe, so hakuna cha kuuza zaidi ya kulazimisha alipeUwa najiuliza mbona wengine wakishindwa kulipa mkopo mali zao zinashikwa na kuuzwa na wengine wanabembelezwa .Tofauti ni nini
Akishindwa kulipa, ndio hapo unaenda kuomba mahakamani kukamata mali zake ziuzwe kulipa deni